miss popularity 2007 helga tarimo aliyebeba taji hilo na kitita cha milioni 5 kesh. nyuma yake wanafuata richa na anayebeba shela ni lilian abel

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. ah!...haipendezi...yaani mhindi mmoja kati ya waswahili wote wale ndio kashinda yeye?...i got nothing personal but haipendezi...ushindi wa huyu richa is a testimony of ubaguzi in itself hasa kwenye hivi vijambo vinavyoandaliwa na wahindi wenyewe...basi ile black kwa flag iwe changed...praimari si tulishindiliwa vichwani kwamba nyeusi ni RANGI YETU?...mbona haikusemwa ni ubaguzi?...let us decode rangi za bendera yetu tena tuone nyeusi ni kitu gani...mambo mengine tuyaache yalivyo jamani

    ReplyDelete
  2. USHAURI KWA MISS TANZANIA.

    NASHAURI KAMATI YA MISS TANZANIA WAJITAHIDI KUMFUNDISHA TWISHENI YA HISTORIA TANZANIA PALE KWA KADE AU KWA NYAMBARI NYANGWINE.

    MFANO AJUA TANZANIA NI ZAIDI YA DAR KUNA MWANZA N.K

    PIA AFUNDISHWE KUFAHAMU MUHASISI WA TAIFA ILI SIO GHANDI ILA NI NYERERE MAANA NA YEYE NI BINADAMU ANAWEZA AKACHANGANYA AKIWA ANAULIZWA.

    PIA AFUNDISHWE JAPO CHOROUS YA WIMBO WA TAIFA.

    PIA AFUNDISHWE KUJUA BENDERA YA TANZANIA INA RANGI NGAPI NA KILA RANGI INAWAKILISHA NINI.

    MWAMBIE ASIHOFU AKIULIZWA RANGI NYEUSI ASEME INAWAKILISHA WATU WOOTE WANAOISHI TANZANIA BILA KUJALI RANGI.

    KILA LA KHERI RICHA HAMNA JINSI TENA TUPO PAMOJA.

    ReplyDelete
  3. MISS NORWAY 2007 NI MFILLIPINO.NA POPULATION YAO HUKU NORWAY NI SAWA NA ZERO.SASA UTASEMAJE WEWE MICHONGOMA?ACHA UJINGA AMKA!!

    ReplyDelete
  4. miss norway 2007 mfilipino sawa, wajanja hao rangi inabaki ALMOST ileile...nasubiri sikia siku miss sweden,miss finland, au miss norway, akiwa m TZ mweusi...sijuui

    ReplyDelete
  5. Mnaolalamika kuhusu ushindi wa huyo binti pelekeni hoja zenu kwa wabunge wenu ili sheria ya uraia ibadilishwe. Huyo binti ni raia wa Tanzania na kama raia kwa mujibu wa katiba anastahili kushiriki katika shughuli yoyote halali (ikiwemo kugombea umiss TZ). Jengeni hoja si kulalama tu! Hivi mtanzania kwa definition yenu ni wa rangi gani?

    ReplyDelete
  6. Video na picha zaidi zinapatikana bongo5.com

    Bofya hapa kuangalia videos

    ReplyDelete
  7. Hivi Tanzani kuna nini jamani. Yaani unataka kuniambia hakuna watanzania halisi ambao wanaweza kuwakilisha tanzania na kuifanya tanzania kuonekana kama ina kichwa na ubongo ndani yake.
    Jamani tutachekwa kweli na wazungu ulimwenguni kwani wataona sasa ndio wamewamaliza, mtu mweusi anakuwa represented na mweupe.
    Nothing personal lakini wabongo poleni.
    Wahindi watawamaliza jamani kila kona bungeni sasa hata watoto wenu wa kuwazaa wenyewe mwawaona Ugly hawafai kuwa-represent ulimwenguni inabidi kuwaomba wahindi.
    kila la kheri.
    Na kwa kejeli wazungu watambeba huyo mpaka mtaona aibu wenyewe.

    ReplyDelete
  8. Big up NDAKI! If only they will listern!

    Tutafika tu kimkanda-mkanda!

    ReplyDelete
  9. Oya, Michuzi!! Hebu weka picha ya wachezaji wa timu yetu ya taifa ya Rugby tuone kuna wausi wangapi. Hawa wote ni waTZ either by default or naturaklization and nobody is saying jack schit!!!

    Richa ni mbongo tena wa kuzaliwa hapa hapa in Mwanza. Si ajabu ni 2nd or 3rd generation mzaliwa wa bongo. Nzuri zaidi huwezi kumteta kwa kiswahili manake kinapanda kama kawa!

    Maybe cha kufanya ni anawezaji kubridge the differences between mtazamo wa watu kwa wahindi wa kibongo and vice-versa.

    ReplyDelete
  10. we waulizeni big brother uk what happened kwa mamno ya racial did u see who won last friday?mtu mweusi wenzetu wanaamka and they dont tolorate any racial issues sasa na nyie watanzania mtabakikia hivyo hivyo nyuma mimi naomba Mungu amsaidie dada wa watu ashinde miss world watu ndo wataacha kuchonga.

    mimi nasema hivi basi hata sisi tunaokuja nchi za watu je mngekuwa mnanyimwa visa bcoz ur black mngefurahia au mnachonga tu bila kufikiria.we talk more and do less.

    ReplyDelete
  11. Hili jamaa hapo juu linavyomsifia huyo mhindi, eti tungenyimwa visa. Utadhani huko liliko linaishi kwa uhuru, jitu linanyanyasika halafu linajipa moyo eti hakuna ubaguzi, aa hatujafika huko mwanawane lakini wanaopenda kwao wakirudi wanasema kabisa "hawa wazungu waoneni hivi hivi wakiwa hapa, huko kwao hakuna utu" halafu eti ubaguzi, mweeee, lione kwanza, ndo maana mnauitwa wabeba maboksi fikra mukichwa zimelala mwanawane, kaoshe wazee tu huko. mdebwedo

    ReplyDelete
  12. ppl talk point that makes sense to everybody. I don't think utaifa or rangi is the issue, laaaah! the whole point is, there were others who passed in every category and didn't win compared to her. I personally don't mind kama ni gabachori or from wherever, though I don't agree with her being the winner for reasons I mentioned earlier. Namuunga mkono Hoyce!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  13. Hivi wewe odb na anonymous- sep 3 5:27 00 am ni wajinga kweli,

    Hivi rangi ndio nini? mbona huyo hoyce anatumia mkorogo, wacheni ubaguzi loh! Mama zenu na dada zenu wenyewe wantumia mgorogo wafikie kama miss tz. Miss Tanzania wala wasikutie nuksi.

    Halafu kingine baba yako na mamayako wenyewe wameajiriwa na wahindi hao hao mnaowakataa, hivi hamuoni aibu. wacheni ubaguzi

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...