
Mbiu ya mgambo ikilia ujue ina jambo.".... I would like to take this opportunity to inform you that the initial response submitted by aspiring contestants is overwhelming and we would like to welcome more models to participate on this project .
Watanzania walioko Marekani nao wanajiandaa kutoa mlimbwende wao, na mrembo wao wa Mwaka. Mrembo huyo atakayejulikana kama "Miss Tanzania USA" atachaguliwa mwakani baada ya mchujo wa ushindani utakaofanyika nchi humo.
Kwa maelezo zaido ya kwa wale wote wanaotaka kujua zaidi na wangependa kujiandikisha kushirika nafasi hiyo na kujua ni zawadi gani zitatolewa na masharti ya kuingia kwenye mashindano hayo watembelee http://misstanzaniausa .com au wawasiliane nasi katika info@misstanzaniausa.com
Watanzania walioko Marekani nao wanajiandaa kutoa mlimbwende wao, na mrembo wao wa Mwaka. Mrembo huyo atakayejulikana kama "Miss Tanzania USA" atachaguliwa mwakani baada ya mchujo wa ushindani utakaofanyika nchi humo.
Kwa maelezo zaido ya kwa wale wote wanaotaka kujua zaidi na wangependa kujiandikisha kushirika nafasi hiyo na kujua ni zawadi gani zitatolewa na masharti ya kuingia kwenye mashindano hayo watembelee http://misstanzaniausa .com au wawasiliane nasi katika info@misstanzaniausa.com
Kaka michuzi, hawa waandaaji ni wababaishaji tu. Naomba uwaulize maswali yafuatayo:
ReplyDelete1. Shughuli itafanyikia wapi na lini(Mji, Siku, Muda,na Ukumbi)Mtu mwenye akili hawezi kutoa taarifa ya tukio bila kusema ni wapi tukio litatokea.
2. Kwanini waandaaji wanajificha? Itakuwa vizuri waandaji wakijitambulisha (majina binafsi au kampuni pamoja na simu). Isijekuwa waandaaji ni matapeli ambao wanafahamika huko marekani.
3. Mshindi/Washiriki watapewa zawadi gani???????Ni vigumu kuamini "akina dada wengi wamejiandikisha" kwa kuona tu tangazo bila kujua, wanapotakiwa kwenda, watalala wapi, watazawadiwa nini. KAMA WEWE UMEJIANDIKISHA BILA KUJUA HAYA YOOOOTE...BASI NI MPUMBAVU.
4. Washindani watalipiwa usafiri na malazi???????
TAFADHALI WAANDAAJI TOENI HABARI ZILIZOKAMILIKA
That's right! Nakufagilia anon wa hapo juu. This is Rubbish, sisi tulioko huku we know who is who. Matapeli wapo vile vile hivyo if this is genuine then let us know your organization. Hata ubalozi wetu in the USA hawana habari hii. Don't you think this is strange? Na nyie kina dada mnamatatizo gani? Hamsikilizi news nchi hii kuhusu utapeli? BE CAREFUL! Please let us know the real deal or package.
ReplyDeletendugu mwananchi mwenye kutaka kujibiwa hayo maswali hapo juu.Nitajibu maswali yako kama ifuatavyo:
ReplyDelete1.Hatujapanga bado haya mashindano yatafanyikia mji gani,siku,muda wala ukumbi kwa maana kwamba kwa sasa tunatafuta contestant then baada ya kujua ni watu wangapi wamejitokeza na kama wana qualify then tutakuja announce.kama ulisoma comments before ilisema kuwa hii website ni kwa ajili ya kusearch contesttant ndiyo maana unaona haipo dynamic we are working on the website.be patient.
2. Siyo kama tunajificha ila once ukishatuma maombi yako then utajua waandaaji ni akina nani.Kwa sababu utapata information zote.Na siyo kama tunajificha ila just keep in mind it's an organization so it's not just one person na jina la organization ni MISSTANZANIAUSA.
3.I think kwa mtazamo wako yes utaona ni vigumu kumuamini mtu especially kama ukiwa umeshatapeliwa au ukiwa among matapeli so unaona kila mtu ni tapeli keep in mind siyo kila mtu anakuwa mgumu wa kuelewa kitu na kutafakari otherwise.
I will tell you what!..DONT JUST JUDGE A BOOK BY IT'S COVER"...You have to read a book first...
4. Swali lako la nne no washindani watajigharamia usafiri....Are you happy now?.
Miss Katulia mmmno, sasa huyu ndio anafaakuitwa ama kupewa Taji la Miss Tz, lakini jamani mbona mashindano Bongo yameisha huyu Miss Tz US wa nini sasa? Au atakuja shiriki mwakani?
ReplyDeleteHongera bibie!
Samahani! nilidhani huyo ndio kashinda kumbe mambo yenyewe bado.
ReplyDeleteMnatuyeyusha sasa!
Umejitahidi dada kujibu maswali lakini majibu yako yamnaibua maswali zaidi.
ReplyDeleteMoja lengo la mashindano yenu hayo ni nini?
Jibu lako la pili ni la kibabaishaji, kwanini basi msitafute kimya kimya hao contestants badala ya kuweka hadharani ila kuwajua nyie ni kina nani inakuwa lazima mtu awasiliane nanyi. Pia kusema ni organization hapo ndipo unapoua, organization hii inafanya shughuli gani hizo ambazo haitaki ifahamike?
My take; kama kawaida ya wabongo ujanja ujanja ndio sehemu ya maisha. mmesikia wenzenu UK wamefanya na bila shaka kwa sababu wanaotaka umaarufu wa haraka haraka wapo wengi basi wakajipatia vijisenti. Nyie nao mnakuja na mbinu hizo za kizamani, si ajabu kuna entrance fee kwa kila contestant.
Kama hamjifichi why not let yourself be known kabla? Kuna kina dada wanao taka kujuwa who they are dealing with kabla ya kujiandikisha! Its good to be well informed before joining or purchasing anything especially siku hizi where there are so many con artists! We are not saying everybody is a con artist but one has to be careful. So, don't be so defensive and take it personally unless you are out to con us!
ReplyDeleteAs to your statement about judging a book by it's cover ---- well, You have only given us a "cover" and a lousy one at that! So, you get judged by the cover! Give us the contents! MORE details about the event and your organization and then perhaps you will receive a better review, positive remarks and more support!
ReplyDeleteMr. Michuzi --- comments za siku zilizopita zinapatikana ? kuna Archives? Ningependa kufuatilia on some of the comments. Ahsante kwa muda wako! this blog is excellent! Keep up the good work! This is democracy at its best!
ReplyDeleteKaka Michuzi, hawa jamaa wababaishaji tu. Mimi nipo hapa USA naweza kukuwambia ukweli kuwa washiriki wengi wanaweza kuwa watanzania wenye F1 visa, basi itakuwa rahisi kwao kwenda Tanzania kwenye mashindano na kurudi, lakini watanzania wengi waliobaki hawana visa even green card, wengi wanaishi na greencard feki au kiunjaunja tu. Huu ni ukweli trust me.
ReplyDeleteAlen - Boston
Kaka Issa Michuzi, naungana na wadau hapo juu. Kwa upanda wangu hawa jamaa ni wajanja tu. Kwanza watanzania wengi hawawezi kushiriki sababu hawa working permit to work hapa au greencard, kama wanazo basi ni feki. Labda watanzania wanaoweza shiriki ni wale wenye F1 visa ni rahisi kwao kuliko wabongo wengine waishio hapa.
ReplyDeleteAlen - Boston
NILIWAHI KUZUNGUMZIA SUALA LA KUMSHIRIKISHA MISS UK-TZ KWENYE MISS TANZANIA KUTALETA MASHINDANO KWA WA-TZ WAISHIO NNCHI NYINGINE NAO KUIGA MTINDO HUU.
ReplyDeleteSABABU NI KUJWA NA WASHIRIKI WENGI WAISHIO NJE YA TANZANIA NA KUNYIMA NAFASI KWA WASHIRIKI WA MIKOA HALISI YA TANZANIA.
NILISEMA TUTAKUWA NA MISS TZ-ND, MISS TZ-AUSTRALIA, MISS TZ-CHINA, MISS TZ-INDIA, MISS TZ-USA, MISS TZ-CANADA, MISS TZ-JAPAN, MISS TZ-IRELAND NA NCHI NYINGINE KIBAO AMBAZO SIKUZITAJA.
NDIYO! KWANI HAKUNA MTU ANAYETAKA KUONYESHA KUWA KUNA WATANZANIA KILA KONA DUNIANI NA SIYO UK PEKE YAKE?
NA KAMA MISS TZ-UK ALIPEWA NAFASI MWAKA HUU, KWA NINI WALIMBWENDE WA NCHI NYINGINE NAO AMBAO NI WATANZANIA HALISI KAMA HUYO WA UK WASIPEWE NAFASI YA KUSHIRIKI MISS TANZANIA HUKO BONGO?
KOSA KUBWA SANA LILIFANYWA NA KAMATI YA KINA LUNDENGA. NA HII YOTE NI KWA SABABU YA LUNDENGA KUTOFIKIRI KABLA YA KUAMUA JAMBO FULANI. WAKATI WOTE YUPO HIVYO. NAMFAHAMU SANA HUYU JAMAA.
MAONI YANGU NI HAYA; KAMA KUNA KINA DADA WANADHANI WANAYO NAFASI YA KUSHINDA MISS TANZANIA HUKO BONGO, KWA NINI WASIJIFUNGASHE NA KWENDA KUJIANDIKISHA KWENYE MIKOA WANAYOTAKA KUWAKILISHA ILI WAWE WAWAKISLIHI WA MKOA FULANI?
KWA NINI TUWE NA MIKOA FAKE MISS TZ-UK, MISS TZ-USA N.K BADALA YA KUWA MIKOA YETU 25 HALISI? HI HAYO HAYO TU.
JOSE MARIO DOS SANTOS MOURINHO FELIX.(TRUE BLUE)
Kwa kweli sijafurahisha na majibu kutoka so-called Organisers. Wako SO RUDE. Nasema achana na hao matepeli. Watu legitimate HAWAJIFICHI!
ReplyDeleteHawa wababaishaji tu kama ni legitimate kwanini unajificha na kujidai organization...kama ni organization...
ReplyDelete1. makao yake yako wapi? hatutaki jina la mtu tunataka physical address number ya organization yako.
2. mna qualification gani za kumjudge mtu "kwa sasa tunatafuta contestant then baada ya kujua ni watu wangapi wamejitokeza na kama wana qualify then tutakuja announce" Qualification zenu ni zipi…
3. Kwanini hamuweki hadharani kila kitu? Gharama za kusafiri mtu kutoka state moja kwenda nyingine sio mchezo ni lazima mtu ajue ninani atamlipa hizo kabla ya kushiriki.
I hope hauko hapa USA kwa week moja tu na unaielewa USA ilivyo kubwa from CA to NY ni mbali ...je utawasafirisha hao watu vipi? utawapa fidia yao kwa vipi...mind you USA watu ni wafanyakazi hata kama wako shuleni shurti kazi ili mtu aishi utawalipa {compasation} kiasi gani? Watakaa camp ya nani katika kujiandaa…au ndio hivyo fashion show mtaita shindano la kumtafuta miss USA -Tanzania
Ndio maana uliambiwa mwanzoni yaite haya mashindano ya state yako unayojificha kwanza. Mambo ya kujifannya Miss USA TZ huyawezi sasa hivi...mwishowe mtachukua mtu kutoka ka mtaa kenu mseme ni miss USA TZ while you real didn’t represent majority of the people from Bongo living in the US. Fanya Miss Texas - TZ, Miss Atlanta - TZ, Miss Ohio - TZ kieleweke. Sio mjidai kuchagua Miss USA TZ wakati hamuwezi kuwashirikisha watanzania wote kutoka kila angle ya USA.
msije mkadanganya watoto wa watu muishie kulala nao tu hapa. Mngekua mnajiamini au sio matapeli nyie na organization yenu hapa si mngejiweka majina tu ya watu wanayoiongoza hiyo organization? Na hao watu waliojiandikisha tayari ni kweli au ulibwebwe tu? Huyo anayejiandikisha bila kujua ni nani anayaandaa haya mashindano, na ni wapi yatafanyika, na ni lini yatafanyika nani nani atagharamikia matumizi yake akiwa katika maandalizi ya mashindano haya she real needs a life and matured guideness.
wewe alen -Boston speak for yourself..kama unatumia fake things is your business lakini usiseme watanzania wote wanafake working permit na green card ...mfyooo
ReplyDeletemimi namuunga mkono anony 11:12 kama mu unataka kushirikisha nchi yako kwenye haya mashindano nenda kashindanie bongo kwenye mkoa wowote.
ReplyDeleteHao watu wa bongo hawajui hata nini nini maana ya miss TZ ndio maana walichukua miss tz UK...sasa sijui angeenda kureperesent TZ wangesema huyu anatoka katika jimbo la wapi....Ujinga tu...
Kokorikooo!!!!
ReplyDeleteUkichungunguza undani wa tangazo lao tatizo laweza kuwa ni hilo hilo la kutokuwa na kibali cha kufanya kazi au hata biashara ya aina hiyo au pia hata uwezo wa kutosha kifedha kuandaa kitu kizuri zaidi toka mwanzo. Wanaweza kuwa ni Wajasiriamali wenye nia nzuri tu ambao wanajitahidi kuchukua nafasi hii kujiendeleza.
That said, bado katika ulimwengu wa sasa ni vigumu kumtaka mtu ajiandikishe na atume picha zake na kuweka details zake nyingine katika mtandao bila kujua anamtumia nani kwa hakika. Risk za namna hiyo unatakiwa uzichukuwe wewe mjasiriamali na siyo wateja wako! Imagine mtu anajiandikisha kwenye umiss na kesho yake anajikuta anaonekana kama ni mwanachama wa CYBER FREEMASONRY (Dini yenye maswali mengi kuliko majibu)!! n.k atamuuliza nani?
Nyie rekebisheni hayo mnayoambiwa na watu watajiandikisha tu.
Nyakatakule Unyilisya e-chalo.
1. The girl on the pic has tooooo many accessories on. Hereni kubwa hazihitaji na jineclace kubwaaa!
ReplyDelete2. Ukisoma comments zenu wengi hapo juu mnaonekana wabeba maboxi msivyopendana na msivyoaminiana hasa mnaoishi huko USA. Ndo maana na sisi huku Bongo hatuwaamini sana na visa zenu fake fake.
3. Rudini jamani nyumbani kuliko mkakaaa huko kujificha ficha na kuwaosha vijibibi vya kizungu. Rudini nyumbani muishi kwa raha, japo mle kaugali na kadagaa but you can sleep for at least 8 hours a day. And on weekends you have plenty of ample time see your loved ones and get time for nyama choma. Life is the same anywhere around the world! Jamani wabeba maboxi, ukweli unauma....
Miss Tanzania USA..... Hahahahaaa Halooooooo!!! Mtaji June July!
MIMI MAOMBI YANGU YAMEKUBALIWA NYIE WAKINA DADA WENGINE MNALALAMA NINI ?
ReplyDeleteKama wasichana wenyewe watakaoshindana ni namna hiiiii!Basi jamani wabongo tujidai maana ni mzuri sana.
ReplyDeleteHongera sana.
Michuzi, Hivi unaangalia points gani ziwekwe kwenye blog yako ama unazipachika tu kwa sababu na wewe ni mpenzi wa lugha ya dharau ya "kubeba maboxi". Mimi nafikiri huyu anon wa September 23, 2007 11:17:00 PM EAT alikwenda out of point kabisa.
ReplyDeleteMimi namshauri anon wa September 23, 2007 11:17:00 PM EAT apande ndege siku moja atoke nje ya nchi, then afanye analysis ya aliyoyaandika , kuliko kujiwekea dhana ya kwamba kila aendaye ulaya ni mbeba mabox.
Kwa mtazamo wangu mwingine mi naona kwamba Kazi ni kazi tuu, mradi unajipatia mahitaji muhimu ya maisha bila matatizo. Mimi nafikiri mbeba mabox wa ulaya anakuwa na better quality of life kuliko mbeba mabox wa nyumbani interms of availability of necessary essentials of life like 24 hours of running water, uninterrupted electricity, 0% police or mgambo harrassment, quality clothing for kids and adults, quality education, quality means of transportation, bila kusahau THE RULE OF LAW.
Sijasema kwamba watu wote wa ulaya wana maisha mazuri... Mi nakushauri utembee ujionee, tembea uoshe macho... I guess ukifanya ivyo utabadilika mtazamo.
Ndugu anon, tafuta viza ukaoshe macho na ili uache kubeba ndoo kila mara unapoenda chooni...
We anony mbeba maboxi wa Sept.24 7:51. usijipandishe chati. Huna lolote njaa tupu. Unamuuliza misupu asiweke point za wengine kwani hii blog yako? You are so naive! Mtu akipishana na maoni yako na mtazamo wako you are the type of person that hits the roof.
ReplyDeleteHuna haja ya kunishauri nipande ndege siku moja. Wewe ndo unatakiwa utembee utoe tongotongo. I have travelled four continents. I have visited 10 states in the US which i think is more than you and all your relatives will ever travel. I have old passports full of visas (my antique collections) I have been to Hollywood. I have been to Lagos, Nigeria. I have been to Spain I have seen bridges, buildings and architectural structures one can ever imagine. Fortunately, I was born and raised in Tanzania. Awarded my MBA at UD and I'm now working towards my PhD. Nitaendelea kuwaita wabeba mboxi mpaka mpasuke, we lia machozi ya damu lakini wewe utaendelea kuwa mbeba maboxi. It doesnt matter whether unabeba maboxi UK, US or SA.
Sio kwamba nakuwa patriotic wala nini, lakini kati ya nchi zooooote nilizotembelea, hakuna nchi ninayoipenda au natamani kuendelea kuishi kuliko Tanzania. Wewe unayejitapa kuwa living abroad satisfies your necessary essentials like 24 hours running waters shows how empty minded you are. Who told you we dont have water 24/7 in Bongo? See why we call you 'WABEBA MABOXI'?
Nani alikudanganya tunaoishi huku tunapata harrasment ya police/mgambo, hatuna quality clothing, tuna elimu duni, hatuna magari, na hatuna RULE OF LAW?
Wewe kweli punguwani. Mcheza kwao hutunzwa! Mtaendelea kubeba maboxi na kuosha vizee lakini one day you will come back home in your 60s with nothing but regrets. Na tutakuzika tu usijali... na hizo hospitali duni zitakutibu kisukari na BP utakayokuja nayo, maji hayahaya unayoyakandia yataosha maiti yako. Na ardhi hii hii unayoiona chafu itakufukia na utaozea humuhumu f*s* we!
Narudia tena. Wabeba maboxi msidharau kwenu. Na msichukiane, at least mlioko huko jengeni ujamaa, amani na upendo.
Halooooooooo! Utaji June July!
Nawakilisha.