Uncle Michuzi,
Hongera kwa blog yetu kutimiza miaka miwili. Hii blog yako ni babu kubwa, Dingi kila siku lazima aingie kwenye blog yako.
- Mosses Mwitta kutoka Poland.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. MOSSES EEE PIGA SHULE URUDI HUKU KWETU SISI WAKURYA WOTE SASA TUNAFANYA KAZI KATIKA MAJESHI MBALIMBALI KAMA JESHI LA NBC,CDRDB NA HATA JESHI LA BANDARI.HARAFU UMEPENDEZA SANA MAMA ATAKUWA MZUNGU.MLETE HOME TUFANYE TAMBIKO HAPA MARA.ASENTE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...