Hongera Mdau Michuzi,
Mimi ni mdau wa www.mtukwao.com, nikiwa na watanzania wenzangu tulipokuwa tunamkaribisha Mama yetu Dr. Asha Migiro na familia yake New York. Ninapenda kukupongeza kwa kutimiza miaka 2, Mwenyezi Mungu azidi kukupa afya njema wewe pamoja na familia yako. Tafadhali... tafadhali liendeleze hili libeneke kwa ushujaa mkubwa, naamini limekuwa sehemu moja muhimu sana kwa jamii kubwa ya watanzania duniani kote...
-- Michael T. Mwakilasa

tatizo letu watanzania ni moja tuache tabia ya kunyenyekea .utakuta kubwa nzima kwa sababu mtu anacheo basi inakuwa tabu eti ,mama.sasa huyu ni mama yako wa wapi;ndiyo chanzo cha rushwa kisa mama kasema ;hapo upo ulaya .je ukiwa huko kwenu kwenye maji ya mifereji michafu hata kusema inakuwa shida .utabaki kusema shikamoo mama jibu lake utapewa asante
ReplyDelete