Hello Kaka Michuzi!
Sisi wadau tunakupongeza sana kwa kuturushia habari nyepesix2, pia twakupongeza sana kwa kutimiza miaka nakwa kuwa unasonga mbele bila kusita, big up sana! Kutoka kulia ni Ms.Elina, Imaculata, Emmy & Safinah

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. hakuna mtu hapo sura mbaya wala hamjapendeza mnatafuta mabwana na sie mabwana wenyewe tumewakataa

    ReplyDelete
  2. ningependa kuuliza hapo ni mkwawa high school?mlipopigia picha?

    ReplyDelete
  3. Dada mwenye bahasha,wa pili toka kushoto kama wewe ni Imaculata(Kadyanji) na ulisoma Bunge primary sch. tafadhali tuwasiliane kwa e-mail hii rayrehema@hotmail.com.

    ReplyDelete
  4. WE ANON WA KWANZA KABISA MBONA UNA ROHO MBAYA NAMNA HII? KWANI HATA KAMA WANATAFUTA BWANA NI WEWE NDIO UTAWACHUKUA WOTE AU? ACHENI ROHO MBAYA MADADA WA WATU WAMEPENDEZA KWELI.MUNGU AWAJALIE MPATE WALIO WAZURI KAMA NYINYI.USIWASIKILIZE WENYE ROHO MBAYA KAMA ZA WACHAWI WANAOLOGA HATA WATOTO WASIOONGEA.DUH!
    SAMEER-ATHENS

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...