Takribani wiki mbili tu zilizopita, Richa Adhia (pichani) alitwaa taji maarufu la Miss Tanzania kwa mwaka huu wa 2007. Maswali mengi na majibu mengi yaliibuka kufuatia ushindi wake. Bado ni gumzo linaloendelea huku kila mmoja akiwa na maoni yake. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake bila tu kuvunja sheria, kumkashifu au kumtukana mtu. Hiyo ndiyo misingi ya ustaarabu. Nenda www.bongocelebrity.com umsikie Richa mwenyewe anasema nini..

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 37 mpaka sasa

  1. blaza mchuzi mimi siendi bongo nini sijui wala bongo wapi sijui, suala langu linabaki palepale...hivi huyu akenda nadiwa kule mtyangimbori au longido au maswa au makunduchi au iloga nzala au mchinga au kaole au mchukwi au matemanga au uwondwe au mangesani au marangu au thame au chunya au hata hapo bunju tu kwamba wananchi eeeh!, HUYU NDIE MWANAMKE MZURI KULIKO WOTE TZ NA ANAKWENDA KUIWAKILISHA TZ uchina nani atakueleweni?...call me a racist or whatever i will swallow...but i smell a rat

    ReplyDelete
  2. Mbona Michuzi unalazimisha tumwunge mkono kwani sisi watoto wadogo. Elewa watanzania wanajua kipi kizuri na kipi kibaya. Mbona ni mwakaa huu tu watu wanalazimishwa kumuunga mkono.

    Nafikiri historia na mazingira wanayokaa watu wengi ndo maana wameshindwa kabisa kuwa wanafiki. Unafiki sio kitu kizuri hivyo watanzania wanaompinga nao ni haki yao.

    ReplyDelete
  3. Congratulations Richa. I support you 100%. It was sad to hear about her boyfriend. I think I heard somewhere that she lost her boyfriend few weeks before the Miss Tanzania contest. Congratulations Richa and you deserve this title as most people would not have been able to come strong as you did considering the situation. Mimi kama mtanzania sisi binadamu waswahili tunalalamika kukiwa na jua kukiwa na baridi, kukiwa na weupe kukiwa na weusi, kukiwa mwanga kukiwa giza kwa maneno mengine si rahisi kuwatosheleza binadamu katika somo hili waswahili. Peperesha bendera vema na mafanikio mema katika huo muda wako.

    ReplyDelete
  4. Hongera Richa, Kazi butu unasafari ya China achana na maswali na majibu ya waosha vinywa. Waambie Siku Hazigandi!!!!

    Tatizo sio la Richa tatizo ni Waratibu wa Miss Tanzania hao akina Lundenga wasio jua wafanyalo muacheni binti wa wenyewe jamani Kha!!

    ReplyDelete
  5. Tunaomba usituletee tena picha ya huyu MISS INDIA jamani tumechoka kumuona kwenye hii blog, kila siku lazima uanzishe ishu kuhusu yeye. Anakupatia 10% nini? Kuna mambo mengine ya muhimu kuliko huyu MHINDI. Ahsante.

    ReplyDelete
  6. Kaka michu kumradhi naingia bila hodi.Kwakweli kaka tusilazimishane,tumegomesha hapa wengine.Badala ya kumpeleka FLAVIANA MATATA mwenye mandhari ya kiafrica mnatuletea ukoloni jamani.Ndio tumetawaliwa na waarabu miaka iliyopita na tuna mixtures za kiarabu Tanzania,ndio maana visura weupe wengi lakini kubali yaishe huyo si mtanzania kamili jamani ni majikupwa.Ni mzuri kweli lakini kweli kapita orignals wote? I don't think so.

    ReplyDelete
  7. Huyo mdau wa juu hapo anayesema sisi waswahili,he?she had lost it upstairs.This is not about sis waswahili tunalalamika,is about facts and truth.Msituletee mambo ya kisouthafrica.Miss south africa huwa ni mzungu mara nyingi for some reasons.Don't kiss A.S.S.Stay black.

    ReplyDelete
  8. haya leo kajisuka nywele aonekane black.Well she is trying maybe she will never go back.

    ReplyDelete
  9. Hakuna mtu mwenye presha bendera bawna huyo mdau wa juu hapo kachemsha akalikorogee mbali.Watu wanasema maoni yao wasizuiwe.Asante kak michuzi kwa ukurasa huu.

    ReplyDelete
  10. Asante tumesoma hiyo habari. Mimi maoni yangu kuwa, hili suala la ubaguzi wa rangi halitakwisha duniani. Hawa watu weupe wanatupenda tu pale wanapotaka kututumia hiyo lazima muelewe.

    Hivyo suala la kuwalazimisha WaTZ kumkubali Richa nadhani mjadala ufungwe kwani hatakubalika kamwe.

    Katika jamii ya watu weupe tunaoishi nao hapa Tanzania Wahindi wanatudharau sana tena sana, hata kama yupo kwenye taasisi gani anajidai anajadili na kusaidia maswala ya nchi, anajua anachopata sio kwa vile ana mapenzi na Tanzania.

    Hivyo kwa kweli nakusikitikia sana bibie, sio kosa lako ila ujue babu zako na bibi zako waliowatesa babu na bibi zetu na wale ambao wanawatumikisha dada na kaka zetu kwenye majumba yenu vibaya yaani kwa unanyanyasaji ndio wanaoleta ubaguzi huu ingawa wapo waafrika wenye roho mbaya tena sana kupita. Hapo dada tatizo ni Rangi tu!!!

    Nakuonea huruma kwani washiriki wenzako wa EA wameshajua kuwa hatukupendi hivyo hata huko China ukienda ukajidai Tanzania ni nchi ya amani na upendo hakuna ubaguzi wa rangi watakushangaa kwani hatukupendi kabisa kweli lazima tuseme. Omba tu hao Wahindi wenzako wakupigie kura kwani kwa rangi nyeusi ni wachache sana watafanya hivyo.

    Pole nakuonea huruma kwani umevaa ngozi ambayo halingani na moyo wako!!

    ReplyDelete
  11. Like one anony who had, sometimes back, also put a request like this one.
    I would also like to have and INDIAN GIRLFRIEND,
    but it is very difficult to get them.
    Richa, I believe you visit and read this blog. Can you please assist me to get an Indian Girl friend for a “serious relationship?”
    I am a black Tanzanian.
    You can use the e-mail address ZeMdau@gmail.com to give me the “hints”.
    Or if you have your friend who will be ready to accept me, its ok.
    I will give you/her my details, including a photo, after we communicate.
    Please Dear. I am serious!

    ReplyDelete
  12. kaka misupu kama unataka sisi tumkubali huyo miss wako ni kwa sharti moja tu ,kila gabacholi mwenye uwezo au income kubwa atoke kwenye nyumba za msajili kule mjini na awaachie watanzania vijana wanao anza life na wakajenge nyumba kule kawe,mbagala,ukonga,kimara ambako kila mbongo wa kawaida anatoka na sio wao wanajitenga town tu.then hapo tunaweza kuona wao ni wenzetu ila kwa kujijaza ktk nyumba za msajili toka zilivyojengwa na mpaka wanakufa sisi hatuwataki na ipo siku cha idd amini kitawakuta kama hawatumii akili awa wakina kapecho

    ReplyDelete
  13. swala hapa sio watanzania wabaguzi ila hawa watu wa jamii ya kihidi ni wabaguzi na sisi hapa ni mother land so wakae mkao wa kupasuka kabisa,na huyu kupenda kwake fashion na modeling sasa lazima tumtolee asira zetu kwake za baba zake na mama zake la sivyo wajirekebishe

    ReplyDelete
  14. Michu acha kulazimisha watu. Walionza ubaguzi ni weupe sio weusi nani hajui history ya SA?
    black americans? hatutaki hatutaki ingawa kashinda kivyake.

    Wengine acheni unafiki mpende msipende penye weusi na weupe ubaguzi upo hata tufanyeje.

    Watanzania halisi wengi tu wazuri wapo kwani mmesahau rushwa ipo kila mahali. Sasa tumechoka hii issue ifungwe. Mi inanipa kichefu chefu

    ReplyDelete
  15. Kweli Mbaazi ukikosa Maua husingizia Jua!Huyo mliomtaka ashinde kashindwa sasa mnatapatapa kwasababu zisizo na kichwa wala miguu.Nyie manaojidai wazalendo wa kweli wa nchi hii na mnaojidai kuufahamu vizuri utamaduni wa TZ na makabila yake hasa nyie mlio na Ndimi chafu na za kinafiki mnaoendeleza Wimbo huu wa Ubaguzi usio na Rhythm wala beats, wimbo ambao mashairi yake yamepandikizwa vina vya fitina na mizani yake ikiwa imesheheni kisasi cha kwanini wao (wenye asili ya Asia) wanafanikiwa na kuelea katika utajiri na sisi akina Kufa kunoga twaendelea kupiga mbizi katika Umasikini. Ninyi ni wale wale mnapoombwa kuwakilisha mavazi yenu ya sili mnakimbilia kufunga Lubega kwa staili ya wamasai huku mkijidanganya eti hilo ni vazi la Asili la mtanzania wakati mkisahau kwamba hata Kenya kuna wamasai.Hata mkitukana matusi yote yakaisha Ushindi hautabatilishwa huyu binti(tena mrembo kweli) kashinda ushindi wa kishindo (makofi tumpongeze tafadhali).Wapo wengine eti wanomba kusikia sauti yake ili wa hakikishe kama Lafudhi yake ni ya kitanzania huku wakisahu kuwa makabila ya tanzania yana accent(lafudhi) tofauti wanapo zungumza kiswahili!!Ahahahaaaaa! Lafudhi siyo kipimo cha Utanzania! Wasilize wachaga, wakuria ,wajaluo, wahaya wasukuma siwezi kutaja wote, kati ya hao nani ana lafudhi yakitanzania???????Kuhusu Utamani pamoja na upeo wangu mdogo(lakini mkubwa pia)nijuavyo ni kwamba kila kabila lina utamaduniwake ambao umejengwa katika Mila na Desturi na haya yote hutofautiana katika kabila na kabila na Tz tuna makabila zaidi ya 120 ina maana (kwa hesabu ya kichwa) tuna tamaduni zaidi ya 120! Kati ya hizi ni upi Utamaduni wa Tanzania? Jibu we msema ovyo? Hapa tunajidanya hatuna kitu kama hicho na wala hatutakuwa na utamaduni wa Tanzania kadri dunia inayozidi kuwa kijiji!!!!!!Tanzania ya leo haina tofauti na marekani ambapo watu wakila pembe ya Dunia hupatikana

    ReplyDelete
  16. we Richa,Mehboob ni nani katika maisha yako?ina maana huyo mtaliano(RIP) ulikuwa unamchanganya,au?

    ReplyDelete
  17. Zemarcopolo upo wapi? Unamwacha mluguru mwenzio anabaguliwa!! Kwa kweli sisi wa TZ si wabaguzi hao maponjoro akina Richa do wabaguzi. SIWAPENDI kabisa! kama kweli si wabaguzi, basi waje tuoane.

    ReplyDelete
  18. jamani huyu ebu acheni kwanza hayo mambo ya Miss Tanzania,huyu mtoto RICHA,is Very APPEALING TO SEX!seems very INNOCENT into LOVE JUST IMAGING KAMA UNAPATA PRIVACY NAYE WEWE MWANAUME RIJALI!

    ReplyDelete
  19. hongera sana mtoto !!!!!
    unakaribishwa philly just hit me up ukiwa ziarani usa.

    ReplyDelete
  20. Ili hii issue ifungwe yabidi tusitoe TENA maoni ya aina yoyote. Maana ineleweka fika,sasa,kuwa MISS GOA(maana asema yeye ni mGOA)hajapokelewa na wala hatapokelewa nasi kama mwakilishi wa Tanzania huko China,ok?OK!Wacha tushindwe,potelea mbali!!
    Miaka nenda rudi tumekuwa tunafichwafichwa huko nyuma,sasa baaasi!!
    Enough is enough.

    ReplyDelete
  21. Richa ni Mtanzania. Acheni mambo ya ukaburu. Mimi sikujua kuna wabaguzi wengi namna hii katika jamii yetu. Wakati Afrika Kusini wanahangaika kufuata ukaburu, sisi inaonekana ndio kwanza tunaudekeza huu ukaburu. Aibu tupu.

    ReplyDelete
  22. This is what I have to say...Kaka Michu acha kumfagilia huyu binti! Kweli ameshinda, na kwa uzuri ni mzuri tu....kama wasichana wengine ambao walishiriki na HAWAKUCHAGULIWA! swala hapa sio kwamba amewapita uzuri washiriki wenzake, swala ni somehow amewazidi ujanja! Ni nani hajui biashara za wadosi jamani? wadisi bila rushwa hawaoni mambo yanaenda! Lazima watatoa hongo, rushwa...you name it! naona walipokaa msikitini waliamua tu "Bana chacha ni jamu yetu kupata hii miss TZ title, nani taka toa kitu kidogo kwa jaji?". The miss TZ was rigged bwana. Hivi masponsa wengi sio wadosi jamani? sasa tunashangaa nini kama mdosi ameshinda? Mwache aende huko China, afanye atalofanya halafu arudi. lakini SISI HATUMTAKI NA HATUMKUBALI KAMA MWAKILISHI HALALI WA TZ!

    ReplyDelete
  23. Habariz a huyu Miss Tz India zimenichosha.

    Michuzi isingekuwa wao wahindi wabaguzi na kutu-treat weusi nadni ya ardhi yetu vibaya sidhani kama kuna Mzt angesema maneno ya kibaguzi kuhusu haka ka binti.

    Wahindi ni wabaguzi hakuna na hiyo ndio inayowatia hasira watanzania wengi na mimi nikiwa mmoja wao.

    Sudhani kama kuna Mtanzania na tatizo na Richa ila nafikiri tatizo linakuja kwenye asili yake ambapo watu wajumuisha WAHINDI wote kutokana na uzoefu wao. Hawa jamaani wanafiki, wabaguzi na wezi.

    Embu angalieni Kuna ma-MissTz wengi wamepita mliwahi kuona Jumuia za makabila/asili zao wakijikusanya kumpongeza Miss Tz huyo?

    Siku zote huwa jumuia ya wanawake which inajumuisha mwanamke wa tabaka lolote, Jumiya ya vijana, wanafuzi n.k. sio ASILI ya muhusika...............kama sio ubaguzi huo ni nini?

    Wao ndio sababu ya yote haya kutokana na tabia zao za kujitenga na kujibakua, kujiona ni bora kuliko wengine wakati sote tuko ktk kundi la Dinia ya 3 katika jumuia ya Kimataifa!

    ReplyDelete
  24. Nduguzanguni !
    Hivi mnajua maana ya ubaguzi wa rangi kama ule wa Afrika ya kusini, USA pamoja na sehemu nyingine za Europe ?
    Hivi ukimkuta Richa nje ya nchi na yeye akakwambia kwa kishwahili kuwa ni mtanzania na ana shida hivi kweli hautamsaidia ?
    Mnawajua kina Al noor Kassum na wengineo wengi waliowai kuliletea taifa sifa kama waTanzania katika utawala wa Mwalimu ?
    Jamani tubadilike. Mimi naumia sana huku nje kubaguliwa na wazungu...we are doing the same thing we complain about.
    POrojo

    ReplyDelete
  25. Richa....Wewe mtoto bomba sana....achana na hawa waswahili wabaguzi, sio wote wanachukia rangi nyingine! ACHENI Ubaguzi nyie...Miss TZ ushindi umeshatolewa basi....!

    ReplyDelete
  26. WABONGO WACHOKOZI MWENZIO WANAKWAMBIA BOMBA MAANA YAKE HIZO PUA ZAKO ZILIVYO

    ReplyDelete
  27. Jamani msimlaumu Richa hana makosa yeye kapewa taji au mlitaka alivyotangazwa mshindi akatae?Mpoje nyie!Pili FLAVIANA MATATA did wondersatabaki kwenye historia 2 hata Nancy cha mtoto no matter what,Kaka michuzi msaidieni she is a real model "GO FLAVY'

    ReplyDelete
  28. misupu wewe unafunga , kwanini unachochea shari kwenye mwenzi mtukufu ?? usiwe unaziweka hizi picha za richa kwa sasa

    ReplyDelete
  29. Richa.....unanifanya nianzishe msako mkali wa girlfriend wa ki-GOA! Duh! mtoto mzuri sana! Wallahi bin lahi swaumu yangu imeharibika! LMAO!

    ReplyDelete
  30. Mimi sielewi sasa, kumbe kelele zote za kumpinga Richa mnataka kufanya ngono na huyu binti, mmechelewa sana, bongo zenu zimelala kabisa!!!!

    ReplyDelete
  31. Acha kuwa kibalaka wa hawa , wahindi kila siku unatuwekea huyu Richa, tumechokaaaaaaaaaaaa.

    ReplyDelete
  32. sijawahi comment hata siku moja kuhusu hii issue ya Richa lakini naona nimechoka kusoma habari zake

    hayo mahojiano ya bongocelebrity ni yaleyale au mapya? kama si mapya kwa nini tukasome tena.

    We mpuuzi sana michuzi au photopoint tena wanahisa hawa eeh.

    we mmakonde wa wapi wewe unayetaka kujidai kwamba Richa mtanzania wa asili,fyuuuuuuuuuuuuu(msonyo).

    Hebu acha kuwakwaza watu ,wawaharibia swaumu zao,maana wengi hawaandiki maoni hapa lakini mioyoni mwao wanakulaaani.

    Endelea na misifa yakoo, Shwetaaani.Piga ua usitoe utoe message received pambavuuu

    ReplyDelete
  33. kwikwikwi acha nicheke kwanza,kweli wakina Lundenga hawajui wafanyalo.jamani kama mlio bongo mlitazama kipindi cha JE TUTAFIKA?cha mzee Makwaiya Wakuhenga Lundenga alikuwa anachemsha mwaswali aliyokuwa anaulizwa.. KWI KWI KWI yani wadau mlio nje ya nchi mngeona hiki kipindi ndio mngejua ni wababaishaji tuu.mratibu mwenyewe hajuikueleza nini SALSAFA ya mashindano haya.ooo sanaa ya urembo.nini maana ya sanaa ya urembo?HAJUI kwikwi.alikuwa anababaishababaisha tu.anyways anatafuta ugali wa familia yake tumwache tuuu.hata tukipiga kelele haisaidiii kabisa.

    ReplyDelete
  34. Jamani mie wazazi wote wametokea huku Tabora unyamwezini, tuseme in case ningezaliwa Ujerumani, nikaongea kijurumani, basi ni halali niwe mjerumani kiasili? Sasa iweje baniani azaliwe usukumani ajiite Msukuma? Atimue zake huko! Panjoro ni panjoro tu! Haifichiki. SUNCHE, HARUCHE, DANDALETI MARUCHE!! Nadhani hapo richa na nduguze watanielewa nilichokisema!

    ReplyDelete
  35. Looo jamani! Flaviana ni mzuri!!Asante sana Michu kwa picha zake.Akiwa na nywele fupi au ndefu yuko still very cute.Inaelekea ndio Naomi Campbell au Alek Wek wetu huyo sasa.Uzuri wa kizalendo!
    Inabidi tutamfagilie huku nje kama mwakilishi wetu.
    Go Flavi...!!Go!

    ReplyDelete
  36. Kama Misupu Funga Huu Mjadala Wa Huyu Mdada.Kama Mtu Anautaka Aende PONJORO BLOG

    ReplyDelete
  37. Rais wangu Mtikila tuu. Na ngoja Mtikila achukue nchi, pumbaf kabisa

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...