mbunge wa zamani wa dodoma mjini akimtuliza mama kapuya muda mfupi kabla ndege iliyomle

ta mumewe toka tabora kuwasili jioni hii, shoto ni wanawe mh. kapuya

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Duuh kabwe(mwana wa manyema) punguza kasi utawamaliza wenzio hawana kinga hao.

    ReplyDelete
  2. speed,speed, speed...huwa wanakimbilia wapi???...ushauona msafara wa kikwete wakiwa wanakwenda bagamoyo?!...wanapita pale makumbusho spidi 120 plus...WHY???...sawa magari ni mapya, lakini matairi hayaambiwi hivyo...rubber fails while embracing MURPHY'S LAW...spidi ndiyo CHANZO...akina sie huwa twaambiwa tuweke gari pembeni tunabugia mavumbi...why these speeds

    ReplyDelete
  3. sasa tunatakiwa tuchukue hatua baada ya kupata ajali zopte hizi za watu wengi tusijali cha waziri wala nani,kule mbeya basi liliua na kila kukicha yanazidi kumalizi sasa serikali itafute aina nyingine ya usafiri kwa wananchi kama train au ndege kila mkoa,pole sana bro kapuya tutakumiss sana pale leaders,get well sooon

    ReplyDelete
  4. Mmmmh!
    Mawaziri wote waliopata ajali,walikuwa katika serikali ya awamu ya tatu.Wote magari yao yamepinduka mara tatu.Wote walikuwa katika majimbo yao ya uchaguzi.Wote wamefuatwa na ndege.Na wote wanamiliki bendi za muziki hapa nchini.Wote nininininini......
    Ntawambia baadae kidogo ngoja nimalizie ramri yangu.
    Majita

    ReplyDelete
  5. baraka na zawadi poleni kwa ajali ya mzee,nakumbuka tumesoma wote darasa moja pale mlimani na tumeshawahi kupigania,hahahha

    ReplyDelete
  6. We Michuzi we.
    Hivi kwani na huyu nae aliisapoti ile hoja ya Mudhihir kule bungeni dodoma!?! Mweeh!

    ReplyDelete
  7. Hawa watu wote wa ajali kuanzania Mudhihiri walikua wakiwahi futari,JK jiulize kweli hujawadhulumu wakristu?Mi muislam yakhe lakini naomba tusilipize kisasi japo tumenyanyasika,wazee wetu a kariakoo ndo walioleta uhuru wa TZ eti.Majina machache Chaurembo,The sykes,Rupia, na wengine wengi ila nakuomba usipilize J.K

    ReplyDelete
  8. Baraka umetunza shati lako sana,vipi nilisikia umerudi bongo for good sio pole sana ya mzee JK

    ReplyDelete
  9. Kaka michuzi mimi nasikitishwa na kitu kimoja ukisoma magazeti ya bongo wanaongelea kapuya,na wengine wote wanye vyeo sasa yule driver kwani sio mtu hii nchi inajali viongozi kuliko wananchi wanao wapa wao chakula na kuvaa utasikia kapuya anaenda nje kutibiwa driver ataendelea kufia muhimbili wakati yeye ndio ameumia zaidi je ni haki wananchi hiyo JASHO la wananchi jaribuni kuwa na utu kidogo sio sana lakini kidunchu all in all kwa upande wangu mimi nadhani kikwete ana ubinadamu kulinganisha ni wengi wao.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...