Nasi wadau wako wa Sofia Production ya hapa Dar hatukubali hizi siku tano za kusherehekea miaka miwili ya issamichuzi.blogspot.com zipite hivi hivi. Tunakupa mkono wa juu kwani blog hii ambayo ndiyo ilikuwa kiunganishi kizuri na wadau wa filamu ya Bongoland II kutoka Marekani akina Sam Fischer na Josiah Kibira ambao walipokuja kutengeneza filamu yao hapa Bongo. Kaza buti Bro. Pichani crew ya Sofia Production ikitengeneza sehemu ya filamu mpya ya Valentine,
Happy 2nd anniversary
Sofia Production

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Ah Ibra, Bosi, na wengine wana Sophia Productions! Nawaona! Endeleni na kazi nzuri. Nangojea kwa hamu kuona sinema ya Valentine. Wasalimie Rajabu na Patrick.

    ReplyDelete
  2. ALLOO MISUPU EEE.WANAPENDEZA NA WANAONEKANA ''SIRIAS'' HALAFU NICHONGEE BASI KWA DA CHEMA KAMA HAJAOLEWA.MWAMBIE AJE TURKEY NIMPE LIFE.MPE MAIL YANGU
    king_kong84@hotmail.com

    NAMZIMII KINOMA.ANIANDIKIE NTAMPA INVITATION AJE PAMUKKALE,ANTALYA,BODRUM,ISTANBUL NA HATA NYUMBA YA MAMA MARIA PALE IZMIR.TAKE CARE

    ReplyDelete
  3. Eeh bwana eeh kudadadeki wallai hii ndiyo trupu ya Sofai Production, jamaa nawazimia sana kwa ubora wa kazi zao nimeona Tone la damu, my wife na Mikasa ni bomba kichizi, Misupu nipe address yao na nani bosi mkuu hapo waambie waendeleze libeneke na mwisho happy 2nd Annivessary jitu la nguvu MICHUZI

    ReplyDelete
  4. jokate..girl im proud of ya..uve been workin hard.u inspire others to be better n u also challenge them for the better keep it up girl!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...