Michuzi shukrani kwa kazi nzuri unayoifanya.Miaka miwili si mingi lakini kazi uliyoifanya ni kubwa nakutakia afya njema na mafanikio zaidi katika kazi zako.
Advocate Jasha

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. mshikaji anapiga chabo la nini tena?

    ReplyDelete
  2. Nakuona mzee Jafary S. Tuwasilane basi! Wadau wenzio huku USA!!
    Tafadhali mpe Michuzi picha ya yule binti yetu mdogo abandike humu tumuone jinsi alivyokuwa! kila la kheri mzee ndani ya Petersburg.

    ReplyDelete
  3. Kula pilau watu wanaangalia

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...