TAYALILAND INTERNATIONAL.


Kwa bidhaa mbali mbali za kilimo na biashara nyinginezo tembelea Tayaliland International address:


Head Office,

P.O. BOX 38267,
NEDCO Building,
Upanga Road,
Plot No: 106
Dar -Es- Salaam, Tanzania.
Website: http://www.tayaliland.com/
Email: info@tayaliland.com
Phone: +255787000950.
Company Registered No.58755 TIN: 105-512-678


KATIBU MKUU WA WIZARA YA KILIMO NA MASOKO PANIEL LIMO, AKIFUNGUA SHUGHULI ZA TAYALILAND INTERNATIONAL HAPO MILLENIUM TOWERS HOTEL DAR ES SALAAM, WA KWANZA KUSHOTO EMMANUEL TAYARI MKURUGENZI WA TAYALILAND INTERNATIONAL. WA PILI ENGINEER MBONGO MKURUGENZI WA MECHANIZATION WIZARA Y KILIMO, WATATU NI RAIS WA TCCIA NA WA MWISHO NI DIRECTOR OF OPERTATION WA KVERNELAND GROUP OF COMPANIES AMBAYO NI YA PILIKWA UKUBWA DUNIANI KATKA KUTENGENEZA BIDHAA ZA KILMO , KAMPUNI HIYO INAWAKILISHWA NA TAYALILAND INTERNATIONAL EAST AFRICA



TayaliLand International
TayaliLand International Logo.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. michuzi P'se update us nasikia Hotel Seacliff is on fire!!!!

    ReplyDelete
  2. Sorry kwa kwenda nje ya mada

    Vipi Michuzi mbona blog ya Kitangoma imelala? what's wrong?? Zile story za akina Wanne Star kukimbiwa na wenza, mambo ya keisha, shaggy yangekuwa huku bwana sio kule story nzuri zile

    ReplyDelete
  3. Michuzi, can we please have pictures za Sea Cliff Hotel Burning...I just got news from home!!

    ReplyDelete
  4. Safi sana dogo Emma... Tutafika tu siku, mshikaji wako Lee yupo nae? Kweli hela za box zinalipa kutoka didcot mpaka kampuni ya vifaa vya kilimo sawasawa kijana...Shemeji wa sweden yupo???

    ReplyDelete
  5. NINI MAANA YA NENO TAYALI AU NDIYO HIYO HIYO TAYARI?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...