
waziri wa habari, utamaduni na michezo mh. muhammad seif khatibu (kulia) na rais wa shirikisho la soka leodegar chilla tenga (tatu kulia) wakikaribishwa na mabosi wa vodacom katika hafla ya kutia sahihi mkataba mpya wa miaka 5 ambapo vodacom itamwaga bilioni 4 kudhamini ligi kuu inayoanza jumamosi hii
nadhani huu muda ni muafaka TFF mkatueleza mihela kiasi gani mnazoa kwa mwaka,just for sake of transparency,maana nasikia NMB mnavuta 300m,serengeti 700m,FIFA 250m,CAF50m,sasa tena vodacom4bn,bado 600m uwanja mpya,230m mechi ya uganda,bado vyanzo vingine kama vile parking mechi ya msumbiji,kuuza duplicate jersey,mmmhhhh orodha ni endeless.tupeni mchanganuo jamani wa matumizi jamani isije ikawa zinaishia tumbo street.
ReplyDeletewith due respect kwa Mheshimiwa Rais wetu,mi naona hiki chumba na nature ya kikao haikuwa sehemu muafaka ya kuingia na bodigadi(ADC).jamaa angebakia nje tu.
ReplyDelete