jk akiwa na viongozi wengine katika picha ya kumbukumbu na wakuu wapya wa majeshi ambao toka kushoto nyuma ni spika mh. samwel sitta, waziri mkuu mh. el, makamu wa rais dk. ali mohamed shein, jk, rais wa zanzibar mh. amani abeid karume, jaji mkuu mh. augustino ramadhani na waziri wa ulinzi na jkt mh. profesa juma athumani kapuya.


mbele kati ni mkuu mpya wa majeshi ya ulinzi jenerali davies mwamunyange, kulia kwake ni mnadhimu mkuu mpya luteni jenerali abdulrahman shimbo na kushoto kwake ni mkuu mpya wa jkt meja jenerali

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Hongera Baba Mwamunyange. Mtoto wa nyoka ni nyoka. Mlilelewa vyema. Mungu akuongoze katika utendaji wako wa kazi.

    ReplyDelete
  2. Nchi zote na mara zote watu wanapopewa post kubwa unakuta biograph yao imeambatana nao. Tupatie angalau elimu zao!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...