
Wadau wa mjini Washington waliofika kushuhudia Tanzania ikipewa
heshima ya Rais wake kuzindua utaratibu wa marais wa Afrika kutoa
hotuba Washington. Kutoka kushoto ni Santa Chacha, Victor Kileo,
Yassin Njayaga, Mobhare Matinyi, Aristotle Maruma na Augustino
Malinda. Ukitaka kufuatilia kwa karibu ziara ya jk pamoja na habari za uhakika za sasa hivi nenda www.tztimes.com
heshima ya Rais wake kuzindua utaratibu wa marais wa Afrika kutoa
hotuba Washington. Kutoka kushoto ni Santa Chacha, Victor Kileo,
Yassin Njayaga, Mobhare Matinyi, Aristotle Maruma na Augustino
Malinda. Ukitaka kufuatilia kwa karibu ziara ya jk pamoja na habari za uhakika za sasa hivi nenda www.tztimes.com
Hongera sana Bw. Michuzi kwa tztimes, japo nahisi hukuwatendea haki wadau juu ya ujio wa site hii, lakini naona chemi kaweka wazi. Keep it up, unakuwa na kutanuka katika fani ambayo ameelekeza nguvu zako. Pongezi nyingi.
ReplyDeletewadau hiyo bendera ya kwanza kuia ni y nchi gani na inafanya nini hapo?
ReplyDeleteduhhh hii kali imenikumbusha mbali sana nawaona wshikaji zangu kina Mobhare Matinyi na huyu Victor Kileo. Victor tulisoma naye Tabora Boyz tukapoteana miaka mingi enzi zile tukiwa na kina Daudi Masoli, David Korosso, Emmanuel Mathias, Luwaga Kizoka na Wengine wengi kichizi. Uko wapi Viktor
ReplyDeleteMichuzi hii times yako umeiharakisha muno! ifanye basi atilisti bure ili nione ka ni subscribe nasabsribe vitu gani. La pili angalia kama subscription ndio ela nyingi au matangazo. Fanya nyuzi bure matangazo kulipia ukiw ana trafiki nyingi itajilipa tu yenyewe badala uinvest resosezi kwa ajili ya kumeneji watumiaji wa kulipia.
ReplyDeleteushauri wa bure tu kaka
By the way what are they doing in USA these six guys??
ReplyDeleteStop hating wewe Anonymous hapo juu! Kwani wewe shida yako nini?
ReplyDeleteActually they are very sucessful young Tanzania men.
Michuzi,
ReplyDeleteIngekuwa swadakta kama hiyo tovuti ya tztimes.com ingekuwa na version 2 yaani ya kiswahili na kiingereza. Kwa sasa unachanganya lugha hizo mbili na haipendezi - kiswainglishi noma! Mfano mdogo "WEEKLY POLLS; Ushindi wa Miss Tanzania ni halali? Yes; No; I don't care." Ni ushauri tu, una hiari ya kuukubali au kuusigina!
There are only three things that one can do in US and elsewhere in the world: Going up, Going Down or Remaining at the same level. What about you? Visits them and you will see why are they hanging in the USA. For your information, there are about 15,000 plus Tanzanians in the US and in UK about 10,000 and you are not one of them. In Oman it is half a million and again you are not one of them. What are you doing where you are?
ReplyDeleteHiyo ni bendera ya Umoja wa Afrika na ipo hapo kwa sababu ilikuwa ni sherehe ya Umoja wa Afrika na AED ya Marekani.
ReplyDeleteKaka Augustino Malinda,unanikumbusha mbaaali enzi hizo miaka ya tisini na kaka Chris pale Kinondoni Morocco na Dogo Mwombeki.Kweli siku hazigandi.Nashukuru kwa msaada wako wa passport kwani ilinitoa ushenzini.
ReplyDeletekumbe yassin njayaga is cute and handsome, jamani mwambiyeni nina mtaka sana na nina mzimia na pole sana kwa kufiwa na mama yake
ReplyDeletevictor kimei umeiva kaka yangu, kitambi cha bia kinakunyemela nini? Njoo umchukue mdogo wako "rapper Langa" huku dodoma, anachoma nyasi zote. tutabakiwa na jangwa kwa jinsi anavyounguza nyasi kwa kasi.
ReplyDelete