kwa mamlaka waliyojikabidhi wenyewe, wadau wameniamuru nitungike picha la wanja lote

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Michuzi umeshaanza kiburi wewe. Tunaandika maoni huyatoi sasa msituandikie upumbavu wa mikonoz tena. Halafu unatuita mbwa we kijana hautafika mbali. We kwanza unamfikiriaje mbwa. Mbwa ni mnyama aneheshimika Ulaya. Ni rafiki mwema wa binadamu, mbwa ni mwerevu. Alitumika sana vita vya pili vya dunia na alisaidia majeshi kushinda. Na hata hapa nyumbani kuna kikosi cha mbwa pale polisi. Kijijini tunatumia mbwa kuwinda. Ni wewe tu na ufinyu wako wa mawazo ndiye unayefikiri mbwa ni kitu inferior.

    Kama hutaki maoni yenu yaonekane ondoa hichi kipengele cha kutoa maoni bila hivyo tutaanza kudil na wewe hata kama kautarusha but message sent. Umeshaanza kutuboa.

    ReplyDelete
  2. uwanja mzuri lakini finishing ya kishenzi kabisa naita huo ni ulipuaji wa kazi

    ReplyDelete
  3. VIWANJA KAMA HIVI SIVIELEWI KABISAAA - SASA KAMA MIMI MLALAHOI, BASI HATA MPIRA UKO WAPI NI NGUMU KUONA BILA YA BINOCULARS - NA KAMA MIMI NI MLALAHOI VIPI NITAWEZA NUNUA HIYO BINO? ISITOSHE - ATI KUNA SKRINI - YAANI NILIPIE KUONA JAMBO LAIVU HALAFU NIISHIE KULIANGALIA KWENYE SKRINI?? SIDHANI KAMA ILIHITAJIKA KUWA NA VIT 60,000. SASA KWA MATAZAMO MENGINE - HIVI, TULIVYO NA WATU WENYE SHIDA HIVYO, WATOTO YATIMA, NA HOSPITALI NA SHULE ZINAZOHITAJI KUNYANYULIWA NA WAHUDUMU NA WALIMU KULIPWA MISHAHARA MIZURI, KWELI KULIKUIWA NA HAJA LA WANJA LA GHARAMA HIVYO?? ILI?? EMBU WADAU NIPENI SOMO TAFADHALI MAANA ROHO INAUMA.

    ReplyDelete
  4. WATANZANIA MBONA TUNAKOSA SHUKRANI, NAONA KILA MTU ANASIFIA UWANJA MBONA SIJAONA WATU WAKISEMA ASANTE KWA RAIS MSTAAFU BEN MKAPA KWA KUTIMIZA AHADI YAKE YA UWANJA ,jamni tutendeane HAKI

    ReplyDelete
  5. Vp Michu Jeff alifanikiwa kuingia Ground ?

    ReplyDelete
  6. SIKU NA MECHI YA MSUMBIJI KATENI UMEME.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...