
Wasanii wa sauti ya handaki(undeground), Katika harakati.
Madjei, ma emsii, machata, michoro mbali mbali, ushairi, mabreka maigizo na usanifu mitindo.
Mahali: British Council, Dar Es Salaam
(maelekezo: Samora na Ohio, mkabala na Steers kati kati ya jiji)
Jumamosi, 29-09-2007
mida; saa 6 -mchana-hadi 11 jioni
Mada ya mwezi: Amani Tanzania, Baraka au Laana?
karibuni wote
Mada ya mwezi: Amani Tanzania, Baraka au Laana?
karibuni wote
kiingilio BURE
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...