piga ua africa online bado wako kileleni katika masuala ya mtandano barani, na hapa bongo wanazidi kutisha. kwa habari zao zaidi bofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Asante kwa linki Kaka Michuzi.

    ReplyDelete
  2. asante kwa link hii naona mambo yao ni mapya sasa hivi mara ya mwisho kuingia huko walikua na pop ups nyingi sana tu.

    Na mpangilio wa hata nilikua sielewi lakini sasa hivi imekua poa kishenzi.

    ReplyDelete
  3. Kuna huyu mtu pia ameandika habari kuhusu nchi yetu. Nimesoma nikamwandikia email...Anajibu hata haelezi vizuri.

    nataka tu kuwaonyesha kuwa tuwe mamcho na hawa watu wanaenda bongo kuvolunteer au kumaliza project zao halafu wakirudi wanaadnika tu vitu kupata point au kwa upeo mdog wanaoishi nchini kwetu.

    Nimemweleza kwa week mbili alizokaa hapo hawezi kugeneralized the whole country like we have the law mentalitly. Sijui kama I was wrong lakini watu kama hawa sio wakuwakalia kimya..Ukimweleza ukweli mmoja ni better than nothing

    Link hii http://www.bw.lehigh.edu/story.asp?ID=20944

    ReplyDelete
  4. Ni kweli wako kileleni na wachacheee sana huku wakituacha sisi wengi ardhini.
    Hivyo kama kusudi lao ni kumeiteini ze digito divaidi basi waendelee hivyo hivyo mpaka watakapoanza kuporomoka kama theluji ya Kili wakati sisi tunapanda na provaida wengine wanaojali hali zetu kama vile juasun.net n.k

    Nyakatakule unyilisya echalo

    ReplyDelete
  5. Safi sana anony wa October 3, 2007 11:07:00 PM EAT, wajinga kama hawa wako wengi, kukanyaga Africa siku moja hujidai wanajua kila kitu hasa wanapoongea na wenzio hapa ulaya, hata mi nijitahidi kuwaelimisha kuwawanahitaji kujifunza zaidi ili kuweza kuzungumzia nchi au bara la Africa. Kuna wengine wanafikiri Africa ni nchi moja na pori tu mpaka leo!!! What ignorance!!!?

    ReplyDelete
  6. Safi Sana
    Africa Online wanajitahidi kwanza kwenye swala la mtandao wa intanet.

    ReplyDelete
  7. kama mteja wa africa online, naona customer service yao bado kidogo, japo wako juu kuliko baadhi, lakini they are slow to react/respond on problems

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...