
piga ua africa online bado wako kileleni katika masuala ya mtandano barani, na hapa bongo wanazidi kutisha. kwa habari zao zaidi bofya hapa
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Asante kwa linki Kaka Michuzi.
ReplyDeleteasante kwa link hii naona mambo yao ni mapya sasa hivi mara ya mwisho kuingia huko walikua na pop ups nyingi sana tu.
ReplyDeleteNa mpangilio wa hata nilikua sielewi lakini sasa hivi imekua poa kishenzi.
Kuna huyu mtu pia ameandika habari kuhusu nchi yetu. Nimesoma nikamwandikia email...Anajibu hata haelezi vizuri.
ReplyDeletenataka tu kuwaonyesha kuwa tuwe mamcho na hawa watu wanaenda bongo kuvolunteer au kumaliza project zao halafu wakirudi wanaadnika tu vitu kupata point au kwa upeo mdog wanaoishi nchini kwetu.
Nimemweleza kwa week mbili alizokaa hapo hawezi kugeneralized the whole country like we have the law mentalitly. Sijui kama I was wrong lakini watu kama hawa sio wakuwakalia kimya..Ukimweleza ukweli mmoja ni better than nothing
Link hii http://www.bw.lehigh.edu/story.asp?ID=20944
Ni kweli wako kileleni na wachacheee sana huku wakituacha sisi wengi ardhini.
ReplyDeleteHivyo kama kusudi lao ni kumeiteini ze digito divaidi basi waendelee hivyo hivyo mpaka watakapoanza kuporomoka kama theluji ya Kili wakati sisi tunapanda na provaida wengine wanaojali hali zetu kama vile juasun.net n.k
Nyakatakule unyilisya echalo
Safi sana anony wa October 3, 2007 11:07:00 PM EAT, wajinga kama hawa wako wengi, kukanyaga Africa siku moja hujidai wanajua kila kitu hasa wanapoongea na wenzio hapa ulaya, hata mi nijitahidi kuwaelimisha kuwawanahitaji kujifunza zaidi ili kuweza kuzungumzia nchi au bara la Africa. Kuna wengine wanafikiri Africa ni nchi moja na pori tu mpaka leo!!! What ignorance!!!?
ReplyDeleteSafi Sana
ReplyDeleteAfrica Online wanajitahidi kwanza kwenye swala la mtandao wa intanet.
kama mteja wa africa online, naona customer service yao bado kidogo, japo wako juu kuliko baadhi, lakini they are slow to react/respond on problems
ReplyDelete