Home
Unlabelled
baba brian
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Back in those days!
ReplyDeletekaka michuzi brian ni wa kulia mwisho halafu wa kushoto kwake ni kaka yao mkubwa anaitwa walter na wa kushoto kabisa ni wa pili katika familia yao ambaye anaitwa jesse wakiwa na baba yao katikati kama ulivyosema wakiwa marekani. wao wote katika picha hiyo ni ndugu mmoja siyo rafiki naomba usahihishe kaka michuzi.
ReplyDeleteni mimi rafiki yao wa karibu
NAZA.
wee NAZA acha zako...yaani jamaa kushinda hako ka $500 ndo sisi tusipumue humu ndani ya blog? hamjawai kushika PESOS zaidi ya hiyo nini? yaani hatupumui kisa brian kashinda hako ka $500. nitakuwa houston thanksgiving nikuonyeshe kwamba michuzi kumpa huyo brian $500 ni jambo la kawaida kabisa kwetu sisi ambao tupo kansas..
ReplyDeletekasera
kansas city
Watoto wa vigogo tu wanashinda?
ReplyDeleteAma Kweli "Ukubwa bunduki" na siku zote "aliye nacho huongezewa". Yaani Michuzi huwezi jua ni kiasi gani ungeokoa maisha yangu endapo ningeshinda hiyo dola 500!! Lakini huyu mtoto wa Balozi ataichezea tu, we si unaona kwanza kwa jeuri kamsusia mama yake!! Ok mungu atajalia tu, wala sijakata tamaa. Hongera sana Brian!!
ReplyDelete"Lakini huyu mtoto wa Balozi ataichezea tu, we si unaona kwanza kwa jeuri kamsusia mama yake"
ReplyDeleteYou assume too much.
P.S Naza what's good?
ReplyDeleteKAKA WALTER PUNGUZA McDONALDS KAKA,AU MUOMBE NDUGUYO AKUMEGEE HIYO DALA 500 UENDE GYM, UTAKUFA BADO MTOTO.
ReplyDelete"KAKA WALTER PUNGUZA McDONALDS KAKA,AU MUOMBE NDUGUYO AKUMEGEE HIYO DALA 500 UENDE GYM, UTAKUFA BADO MTOTO."
ReplyDeleteI'm literally laughing out loud(there's 3 things wrong with your comment) XD
Halafu wanaonekana wana mwogopa Baba yao, maana hizo pozi zinaoneysha walivyo stushwa na ujio wa baba yao TX, hii inaonyesha imepigwa kabla ya Baba yao kwenda kuchunguza kama wana piga kitabu kweli au wanatesa kwa party zisizo kwisha na kubeba box.
ReplyDelete"Halafu wanaonekana wana mwogopa Baba yao, maana hizo pozi zinaoneysha walivyo stushwa na ujio wa baba yao TX, hii inaonyesha imepigwa kabla ya Baba yao kwenda kuchunguza kama wana piga kitabu kweli au wanatesa kwa party zisizo kwisha na kubeba box."
ReplyDeleteYes,we were completely oblivious to the coming of our father,seeing as how he just jumped out from behind a bush and yelled "Surprise!" right before the pic was taken :|
"Kubeba box"?Yet another person who assumes a little too much ;)