njia zote huelekea coco bichi siku za mapumziko. sehemu kama hii pangekuwa na bembea na michezo ya watoto badala ya kupaacha tu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Nii kweli unavyosema lakini Michuzi nyie mliojaliwa kutoka nje ya nchi na wenye uwezo wa kuongea na municipal leaders ndio muwape idea. Wanheingiza hela sana wakati wa sherehe. Na weather yetu ni nzuri sana mwaka mzima hela ingejiiingiza tu

    ReplyDelete
  2. Nikweli, tena wangeingiza pesa nyingi kama kile kiwanja cha michezo Kariakoo Zanzibar kinavyoingiza pesa wakati wa Idd

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...