Home
Unlabelled
mkono wa iddi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Iddi njema na wewe . Mimi si muislamu lakini hii sherehe tulikua tunasherekea wote nyumbani. Jamani ilikua raha tupu.. Unanikumbusha mbali sana.
ReplyDeleteI hope you had a good one.
Ahaa mjomba unanitia machozi sana huku ulaya wala si pazuri,maisha na raha zote ziko nyumbani,sisi tunateseka tu huku. shida ndiyo zinatuweka huku. idd njema mjomba
ReplyDeletewe unayesema - i hope you had a good one. UNAJUA maana yake??
ReplyDeleteMichuzi, Idi Njema wewe na my wife wako!
ReplyDeleteMichuzi Idi njema yakhe, tunakushukuru sana, yaani hata siku ya sikukuu ambayo ni mapumziko lakini uko kazini
ReplyDeleteRespect bro
MICHUZI EID MUBARAK INGAWA HUKUTUWEKEA PICHA ZA KULAMBA MSALA (MSIKITINI) KAMA SIKU HII IPASAVYO KUSHEREHEKEWA KWANZA KABLA YA VIKOLOMBWEZO VINGINE VYA BICHI.
ReplyDeleteSWALI LANGU NAOMBA ULIWAKILISHE KWA MASHEIKH WA BONGO NA WAISLAMU WENGINE NI HILI;
HIVI NI KWA NINI WAISLAMU TUNASHEHEREKEA SIKU HII SIKU MBILI TOFAUTI NA SIYO SIKU MOJA KAMA ILIVYO WENZETU WASIO WAISLAMU WAFANYAVYO KWENYE SIKU YAO YA KRISMAS NA PASAKA?
KWA NINI BONGO NA NA KWENGINEKO WALE EID EL FITR JUMAMOSI NA WENGINE WALE IJUMAA WAKATI SOTE TUNATUMIA MWEZI MMOJA NA JUA MOJA?
KAMA KUPISHANA INGEKUWA SAA NA SIYO SIKU NZIMA; YAANI IJUMAA NA JUMAMOSI.
AU NDIYO BADO TUNA KALE KA MTINDO KA LAZIMA TUONE MWEZI NDIYO TULE EID NA TUSIKUBALI KULA AU KUSIKIA WALIONA KWENYE NCHI YAO HATA KAMA NI CHINA, ALASKA ILI MRADI TU WAISLAMU WA HUKO WAMEWASILISHA SALAMU ZA KUONEKANA KWA MWEZI?
NARUDIA KUULIZA SWALI HILI KWA SABABU SIONI SABABU WATU WA DINI MOJA, MADHEHEBU TOFAUTI KUJITENGA KATIKA SIKU HII MUHIMU YA KIISLAMU.
CHA AJABU IFIKAPO MFUNGO TATU(EID EL HAJJ)SOTE TUNASHEHEREKEA SIKU MOJA BILA KUJALI NANI ALIANZA KUONA SHAWALL(MFUNGO MOSI)NA HUWA NI SIKUKUU YA DUNIA NZIMA.
WENZETU WASIO WASIO WAISLAMU NA WENYE MADHEHEBU TOFAUTI IFIKAPO PASAKA AU KRISMAS HULA SIKU MOJA. SIJAWAHI MAISHANI MWANGU KOTE KUSIKIA JERUSALEM WAMEKULA KRISMAS DISEMBA 24, BONGO 25 NA US 26!
HUU MKANGAMANYO WA KISASA WA KUJIFANYA TUNAKWENDA NA WAKATI WAKATI BADO TUPO NYUMA, NI MBAYA NA UNACHANGIA KUZOROTA KWA KUFANIKISHA SIKUKUU HII.
MAHESABU YA RAMADHAN NADHANI HUWA RAHISI KAMA VILE ULIVYO MWEZI WA PILI (FEBRUARI) AMBAO KAMA MWAKA HUU HUISHA SIKU YA 28, BASI MWAKA UJAO UNAMALIZIKIA 29. HAKUNA MCHANGANYIKO KATIKA HILO KWA NINI SIKUKUU HII EID EL FITR IJICHANGANYE KILA MWAKA?
NAOMBA KUULIZA NA KAMA KUNA MTU ANA JIBU SI VIBAYA AKANIFAFANULIA KWANI MSIFIKIRI MIMI NI MAAMUMA.
NIMEJARIBU KUTAFUTA UHALALI WA WAISLAMU KULA EID EL FITR KUPITIA VITABU VYOTE; VYA HADITHI NA QURAN SIJAAMBULIA KITU.
WASAAALAM ALEYKUM, EID MUBARAK
iddi mubarak mr muhidini nilikua napenda kujuwa hapo ni wapi?zenji au mrima?
ReplyDelete