
moja ya madege yetu yatavyokuwa. redio mbao zinasema mapailoti kibao wa atc wako ughaibuni kujinoa kurusha airbus kadhaa ambazo kampuni yetu imeagiza kuendeleza libeneke.
burudikeni na youtube toka bongo kwa kubofya hapa
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hivi jamani hatuwezi kuburudika kwa staili ya kitanzania? kwa kweli inasikitisha na inatia kinyaa na tena huu ni ushenzi
ReplyDeletehivi ni lini sisi watanzania tutajivunia staili zetu za mziki ama kweli tumekwisha loh!
yaani hivi sasa mpaka kwaya zinapiga mziki wa kikongo !
halafu bado tunajisifia eti vipaji tunavyo hapa nyumbani ! ooh,bongo mziki wetu bab kubwa ! upi huo?
kama tunavyo mbona kazi yetu sisi ni kuiga staili za mziki wa nchi zingine?
nimesikitika sana hivi,ni lini sisi tutajivunia staili za kupiga muziki kibongo bila kuiga vionjo na kuungurumisha mabezi ya kikongo?
huu ni ushenzi na tena ni taka taka
sijui ni uite nini huu!
ndio maana ninawaheshimu sana msondo na mlimani,kwa kutunza muziki halisi wa dansi wa mtanzania
Watu watamsema Mataka kwa mambo mengine , ila mimi namkubali huyu jamaa kwani siku zote ana deliver! I wish tungekuwa na viongozi wengi wa aina yake.
ReplyDeletekawaulize hao wa KWAYA! you seem to be off the point...siyo kweli marubani wameenda AIRBUS...engineers ndiyo hivi tunavyozungumza wapo CANADA kuna ndege mbili equivalent ya ATR za precisionair ambazo zinaandaliwa na zitakuwa delivered hivi karibuni...AIRBUS will follow but for the time being tunawapigieni makelele na BOEING zetu mlizozizoea
ReplyDeleteKwa kweli nawapongeza Mwenyekiti wa bodi hiyo Mheshimiwa Balozi Mustafa Nyanganyi na Managing Director MR. Mataka, nadhani hii ni timu nzuri na watarudisha shirika hili back to work. Ukizingatia Balozi Nyanganyi aliliacha shirika hili likirusha ndege almost all African countries hadi London alipokuwa waziri wa mawasiliano na uchukuzi baada ya kuteuliwa kwenda wizara nyingine na kuondoka nchini kuwa balozi wetu USA na UAE ambapo pia amefanya kazi nzuri huko ughaibuni. GOODLUCK!
ReplyDeleteMwaka 1980 tulileta madege mawili mazeeeeeeeeeeee yaliyokarabatiwa eti ni mapya! Wazee walikula pesa! Madege hayo yakaruka hadi Tanzania.
ReplyDeleteYakaanza safari.
Moja toka DSM hadi KIA (Moshi); likafia hapo!
La pili likaruka Dar hadi Gatwick (Uingereza).
Aviation ya Uingereza ikasema poleni kuwa mmefika salama. Lakini dege hili halitaruhusiwa kutuka tena. Likafia hapo Gatwick Airport!
Marubani wakarudishwa Tanzania kwa ndege nyingine ya kuaminika ya abiria!
Sijui ni nani alikuwa Waziri wa Uchukuzi na Mawasialiano wakati huo?
Nothing was done kuwafikisha mahakamani waliohujumu pesa za nchi kwa kununua madege mazee yaliyopakwa rangi upya na kukarabatiwa kuwa mapya!
Mwaka 1980 tulileta madege mawili mazeeeeeeeeeeee yaliyokarabatiwa eti ni mapya! Wazee walikula pesa! Madege hayo yakaruka hadi Tanzania.
ReplyDeleteYakaanza safari.
Moja toka DSM hadi KIA (Moshi); likafia hapo!
La pili likaruka Dar hadi Gatwick (Uingereza).
Aviation ya Uingereza ikasema poleni kuwa mmefika salama. Lakini dege hili halitaruhusiwa kutuka tena. Likafia hapo Gatwick Airport!
Marubani wakarudishwa Tanzania kwa ndege nyingine ya kuaminika ya abiria!
Sijui ni nani alikuwa Waziri wa Uchukuzi na Mawasialiano wakati huo?
Nothing was done kuwafikisha mahakamani waliohujumu pesa za nchi kwa kununua madege mazee yaliyopakwa rangi upya na kukarabatiwa kuwa mapya!
Nimefurahishwa na habari zinazoonyesha maendeleo ya Kampuni ya Ndege ya Tanzania (ATCL).
ReplyDeleteLakini hatupaswi kubweteka tena na kuamini kila kitu kitakwenda sawasawa.
Ni vema malengo makuu ya kuwepo Air Tanzania ni muhimu yatimizwe ili kuonyesha maendeleo ya kweli. Kampuni inatakiwa iwe na mikakati thabiti ya jinsi ya kufanikisha malengo, vinginevyo tutaishia kuona rangi mpya zikijitokeza kutoka muda mmoja hadi mwingine (kama hiyo nafasi itakuwepo tena).
Ni muhimu kuwe na usimamizi mzuri na ufuatiliaji wa karibu wa uendeshaji wa Kampuni hiyo na kufanya maamuzi ya haraka na yenye manufaa kwa wakati wote.
Ili ATCL iweze kuwepo na iwe na siha nzuri yafuatayo ni lazima yapewe kipaumbele:
Kuboresha huduma kwa wateja, kuongeza mapato na kuyadhibiti, kupunguza matumizi (siyo kubana), kuwa na mipango endelevu katika kuboresha sekta ya anga.
Ninashauri pia kuwa mikakati ya kibiashara ifanyike sasa hivi ili kukuza soko la ndani ambalo nafasi ATCL imepungua kwa kiasi kikubwa. Vilevile ATCL haina budi kuimarisha na kukuza nafasi yake katika soko la maeneo ya jirani kwa maana ya Regional Routes.
Kuimarisha ushirikiano na Mashirika mengine ya ndege (kwa mfumo wa alliance) ili kujiongezea mapato na kukidhi matakwa ya wasafiri. Kwa mfano ikiwa ATCL ina ushirikiano na mashirika mengine ya ndege, inaweza kupata abiria anayetoka New York kwenda Mwanza kwa portion ile ATCL itakapoanza kumbeba abiria yule.
Ni muhimu pia ATCL ikaimarisha nguvu katika kitengo cha Mipango na Utafiti ili kuwezesha Kampuni kufanya kazi kwa ufanisi mkubwa. Katika dunia ya leo ukiwa na mipango mizuri iliyotafitiwa kitaalamu nafasi ya kupiga hatua za maendeleo ni kubwa sana ikilinganishwa na vinginevyo.
Kabla sijafika mwisho, ni vema mwenye mali kwa maana ya serikali isiwe mbali na matatizo yatakayojitokeza katika kipindi hiki cha kuiimarisha ATCL, ni wazi masuala ya kiuchumi duniani yako-regulate na 'wakubwa' kwa maana ya nchi zilizoendelea. Support ya serikali at certain time inaweza kukwazwa na wakubwa hao, lakini ni vema ikajitahidi ifanye kadri itavyowezekana kuifanya ATCL ifanikiwe katika yale inayotarajiwa kuyafanya.
Ninaelewa kabisa uwiano wa gharama za uendeshaji na mapato kwa mashirika ambayo hutegemea kwa asilimia kubwa manunuzi yake kutoka katika masoko ya nje, kama vile Aviation Fuel, Aviation Insurance, Aircraft Spares & Parts, Major Aircraft Maintenance nk, huleta matatizo kwa nyakati fulani kwani huweza kuyumbisha Kampuni kwa kiwango kikubwa kama hatua za haraka hazitakuwa zimechukuliwa. Ni kawaida hata hapa USA kwa mashirika mbalimbali ya Ndege tena maarufu kuokolewa.
Mwisho kabisa, ninaitakia Bodi, Menejimenti na Wafanyakazi wa ATCL mafanikio mema katika kuiendesha ATCL ifike pale palipokusudiwa.
...AIRBUS will follow but for the time being tunawapigieni makelele na BOEING zetu mlizozizoea.
ReplyDeleteWewe utafungwa Boeng zetu?? Ziko ngapi?? Kwa taarifa yako nchi yako yenye miaka 45 mpaka sasa ina ndege moja tu aina ya Boeng. Nayo inasubiri kuua watu na habari iishie hapo. Ndege imeshachoka hiyo na ndio maana mashirika yanayoingia ubia yanawakimbia kila siku. Kila siku kukodisha ndege kutoka Ethiopian Airline kawaulizeni wao wanapataje ndege nyingi na mpaka leo hii wanashindana na mashirika makubwa ya ndege duniani. Hiyo Boeng 737 inabidi iistaafishwe na iwekwe kwenye kumbukumbu maana. Haya nyie kaaeni tu na hiyo ""Flying Coffin yenu"".
ATC operates 3 B737-200s, mbili zimekodishwa and you are right moja ndio mali ya serikali...i just generalised to clarify about "marubani kuwa shule airbus"...logistics za ku acquire ndege sio as simple WENZETU WALIKUBALI ZAMANI, KLM 1978 WALITAKA JOIN NA ATC IKASHINDIKANA NDIO WAKAENDA KQ, AIR LINGUS YA IRELAND PIA WALIITAKA siyo kwamba hakuna airline inayotaka/iliyotaka ATC...in short mipango ya ku phase out hiyo uliyoiita coffin iko underway...you seem to talk like someone who knows very little about mambo ya ndege na history ya ATC instead you are full of emotions and a pinch of bitterness...ALSO new planes kill as well buddy...ajali hazichagui kitu kipya au cha zamani...accidents is another topic alltogether...tafuta a pilot or an aircraft engineer wa ATC akupe some insight...you need some...cheers
ReplyDeleteWEWE ANON WA 9:47, AIRLINES HAZINUNUI NDEGE SIKU HIZI...ZINAKODISHA!!!...HIZO ZA ETHIOPIAN ZOTE NI ZA KUKODI...KUNA VITU VINAITWA "AIRCRAFT LEASING COMPANIES"...AIRLINES ZINAKODISHA HUKO...IT IS EASIER TO REPLACE ONCE NEW MODELS COME OUT
ReplyDeleteJamani unajua wakati Mattaka alipokuwa Bench mpaka mbwa wake walimkimbia kwa kuruka Ukuta wakahamia kwa jirani...kwa sababu hawakuwa wakipata msosi basi akithubutu kuwafata weeeee weeee wana-Mbwaakia Grrrr grrrr grrrr inabidi arudi kwani walikuwa hawana MASIHARA !!! BIG UP MATTAKA BIG UP MATTAKA kwa kurudi kwenye CHART...
ReplyDeleteJamani hayo ya Mataka na kukodi ndege tuyaaache ..mimi nataka kutoa critics zangu kwenye logo ya ndege zetu and the motto "wings of Kilimanjaro"..
ReplyDeleteHii si sawa tumechoka kusikia wimbo huo it's so bias and out of date kila kitu Kilimanjaro weee.Hivi Tanzania hakuna kitu kingine kizuri?To me when saying kilimanjaro mean to praise Wachagga labda na waliojirani na huo mlima..it's not generalize to all people of Tanzania.It's like saying Air Tanzania wings of Mwadui au wings of songosongo.Hata sisi kule umachingani kwetu kuna madini kibao na gas ya songosongo mbona hatutaji?
If so wings of Kilimanjoro is not proper Mlima hauna mbawa bwana..
Kuhusu hayo ya Mlima Kilimanjaro, na kadhalika, tubadili tangazo la ndege na utalii wetu!
ReplyDeleteWhy not:
Air Tanzania
Soaring to New Heights!
Halafu hiyo idea ya soaring tuweke alama ya Twiga (Tanzania Bara); alama ya Dau (Zanzibar) kwani yaonekana kana kwamba hiyo ndege si ya Zanzibar, pia; na Kilimanjaro (Mlima mrefu wa Afrika ulioko Tanzania).
Alama hizo zote zina-soar. Twiga shingo lake ili twiga ale majani ya miti mirefu. Tanga la Dau lina-soar kwa upepo. Na kilele cha Mlima Kilimanjari kina-soar barani Afrika.
Mafanikio ya utalii yata-soar...na Tanzania ita-soar, kwa ujumla, kwa "ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya (CHEKA)!
P.S. najua maana ya kutumia alama ya Mlima Kilimanjaro ilitokana na Kenya kudai, "COME TO KENYA, TO SEE MOUNT KILIMANJARO."
Kuna ukweli kuwa ukiwa Nbi unaona Mlima Kilimmanjaro. Na ukitaka madhari yake pia unaweza ukiwa Amboseli National Parks!
Lakini ukitaka kuupanda Mlima mi lazima uje nyumbani Tanzania.
Jet Driver (mzee wa maboingi) nilidhani tayari uko "ughaibuni" kwenye simulator ya Airbus, plan si ilikuwa September vile?. Umempa jamaa somo tosha hapo, kama hajaelewa shauri yake. Wembe huo huo, makelele na 'maboingi 737' mpaka siku mtapoanza rusha Airbus.
ReplyDeleteAnony 1:52 EAT
ReplyDeleteyou sound kama mzee wa "fainali uzeeni"
maneno motto ya "wings of kilimanjaro" is not clear as i said hapo juu.
What if sound "Air Tanzania the wings of Lake Tanganyika" kuleee kunakotoka bigebuka? ha haa haaa