Home
Unlabelled
ttc chang'ombe
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
mithupu ehee!hivi ni vigezo gani vinavyofanya kila chuo tz ni chuo kikuu?kaeni mkao wa kula na mimi changu kinakuja.
ReplyDeleteasalaleee ndio panapendeza hivi?? kweli Bongo tunapiga hatua. Tena hawa jamaa ndio wako upenuni kabisa mwa lile wanja jipya la neshno inabidi wapajenge jenge hapo bwana paendane na jirani yao wanja la neshno
ReplyDeleteJamani hiki chuo kwa kweli kinapendeza. Mambo ya hapo ni supa sana ukilinganisha na vyuo vingine. Hata mshahara wa hapa ni mnono kwa kweli. Wale mnaokula nondoz majuu pangeni kuja kufanya kazi hapop. UDSM wajiandae kwa kweli, umaarufu wake unatishiwa sasa. Sijui wana mikakati gani kulikabili hili wimbi la mifumuko ya vyuo vikuu. Naona sasa ni mwendo mdundo. Kudadeki
ReplyDeleteUDSM ya Mlimani hakuna kitu sasa hivi. Toka kidume Prof. Luhanga aondoke utawala umelega lega sana. VC wa sasa (Prof. Mkandala) amejaa porojo tu na stori za kitoto. Vyuo vishiriki wameanza kumkimbia. UCLAS sasa hivi sio Chuo Kishiriki tena, bali ni Chuo Kikuu kamili. MUCHS nao kama bado hawajajiengua basi nadhani wako njiani.
ReplyDeleteKwa kweli UDSM pamelegea sana. Luhanga alianzisha mpango wa kukiua hala Mkandala anamalizia. Sasa hivi wafanyakazi wake wanalia maisha magumu huku vyuo vingine vikisherekea. Mathalani Chuo kile cha UDoM, walimu wake wanaishi kwenye nyumba zilizojenngwa kwaajili ya mawaziri. Usafiri kutoka nyumbani hadi chuoni. Marupurupu usiseme. UDSM mlimani imekuwa sawa na Sekondari ya private inayongoja ada za wanafunzi ndipo ilipe wafanya kazi wake mishahara. Mambo ya hapa, limebaki jina tu.
ReplyDeleteMkandala kwa kweli achunge saaaaaaaaaaana