bosi wa easy finance isaac kassanga (shoto, kulia ni raisi wa shirikisho la ndondi alhaj shaaban mwintanga) akifafanua juu ya udhamini wa sh. milioni 50 ambayo kampuni hiyo ya kukopesha imetoa kusaidia shughuli za shirikisho la ndondi nchini.
amesema leo kwamba easy finance ilitangaza udhamini kwa shirikisho hilo tarehe 11/08/2007 wenye thamani ya sh. milioni 50 kwa muda wa miaka miwili.
alifafanua kwamba huo haukuwa udhamini kwa ajili ya safari ya chicago bali wa shughuli za kuweza kuindesha ofisi ya shirikisho hilo, na kwamba hadi sasa easy finance imeshagharamia sh. milioni 21 ambazo ni pamoja na udhamini wa safari ya mazoezi ya sri lanka septemba 5 na shughuli zingine.
kassanga alikazia pia kwamba easy finance bado itaendelea kusaidi shirikisho hilo kama ilivyoahidi na kwamba kampuni hiyo ni wadau na inapenda michezo.
alikuwa akitoa ufafanuzi baada ya kudhaniwa awali kwamba easy finance ingetumia hizo milioni 50 kwa mkupuo kuisaidia timu kwenda chicago. aliahidi pia kuisaidia shirikisho hilo kusaka wafadhili wengine ili kufanikisha safari yao

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. ...hizo pesa mtatoa kweli au usanii tuu? msije mkawapa viongozi laki tano tano wafunge midomo kumbe mnatafuta umaarufu tuu,lakini kijana wangu isaack nakuamini hope utafanya kweli na kuwa honesty na hili maana ndio utafanikiwa hata biashara zako la sivyo kama ni usanii usije kushangaa hata kampuni yako ikaporomoka kwa vitu kama hivi...big up lakini kuwa mwaminifu si unajua honesty & intergrity ni muhimu sana kwenye biashara

    ReplyDelete
  2. so what,kama wameishiwa si waseme?

    ReplyDelete
  3. Kunradhini, kwa kutoka nje. Haya yangu yanahusu rushwa, ufisadi na kunyonywa kwa maliasili na wawekezaji wa nchi za nje na wazawa wetu wachache. Mengi yapo na tutaendelea kuyasikia na kuyatafukari.

    Rais wetu Jakaya Mrisho Kikwete alitamka hakuna kusaini mikataba mipya ya madini yetu hadi hapo tukakapokubaliana upya.

    Mkataba wa Buzwangi umekuwa upepo makali wa kimbunga kwa nyanda za kisiasa na kibiashara nchini.

    Katika toleo la leo, Thisday online, kwa kifupi tu, kuna habari hii:

    Canadian firm in new search for diamonds at Mwadui -

    A CANADIAN company, Canaco Resources Inc., has started exploring for new diamond deposits near the Williamson mine in Mwadui, Shinyanga Region.

    Kwa maelezo zaidi, soma http://www.thisday.co.tz/News/2916.html

    Kinachonishangaza ni ukimya wa kutoandika habari za mikataba ya dhahabu (ambazo nazo zilitangazwa na Canaco Resources Inc. wakati huo huo).

    Je, kuna kuogopa homa ya Buswangi?

    HANDENI DISTRICT: Magambazi, New Kilindi, Kwadijava, and Negero (http://www.canaco.ca/index.php?page=handeni):

    The Handeni Gold District consists of numerous gold discoveries in an area of eastern Tanzania, highlighted by the Magambazi prospect, which currently hosts an active artisanal gold mining operation.

    Recent gold discoveries in the Handeni region have occurred on a district scale and have defined an extent of mineralization with a strike length of over 100 km. Canaco Resources’ management believes these discoveries are evidence of a highly prospective emerging gold district in Tanzania and have been successful in establishing a large land position in the district.

    The Property

    The Handeni Gold District consists of four contiguous claims totaling 3,473 km²: Magambazi, PMLs 0007812, 0007813, and, 007814, 0.34 km², New Kilindi, PLR 3322, 2,702 km²; Kwadijava, PLR 2987, 575.3 km²; and Negero, PLR 2957, 195.5 km². The district is located adjacent to the town of Handeni. Local roads access workings on all four claims.

    Local mining related infrastructure is non-existent as a result of the recent emergence of the region’s mining potential based on discoveries made since 2003.

    MOROGORO DISTRICT: (http://www.canaco.ca/index.php?page=morogoro):

    The Morogoro project is a gold and base metal discovery located in eastern Tanzania. Canaco Resources optioned the property in 2006 and has been working to develop the project through geologic mapping, geochemical analysis, and diamond drilling.

    The Property

    The Morogoro property is comprised of two claims covering a total area of 234 km², Morogoro, PL 3510, and Morogoro North, PL 3117. The property can be accessed via paved highway. The nearest town is Morogoro, the regions capital city.

    ReplyDelete
  4. Hawa nao ndio walewale kina MANJI. Wanaiba pesa huko na kuziingiza katika mifumo halala (Kuzisafisha) halafu wanatumia udhaifu wa serikali yetu kushindwa kugharamia majukumu yake kununu uhalali katika jamii na hata kisiasa...

    Na washindwe kwa nguvu za mungu na machungu ya watanzania..

    ReplyDelete
  5. Boxers finally out of Chicago bouts

    2007-10-20 08:36:57
    By Somoe Ng\'itu


    Tanzania has pulled out of the World Amateur Boxing Championships which starts on Sunday and ends on November 3 in Chicago, United States.

    The Boxing Federation of Tanzania (BFT) President, Shabaan Mintanga, said yesterday that they withdrew after failing to get money to send the team to the games.

    A contingent of four boxers was earlier scheduled to leave for Chicago yesterday to compete in the champions which will be used as the next year`s Olympic qualifiers.

    He said Federation of International Boxing Amateur (Fiba) would fine Tanzania 8,000 dollars (about 9m/-) for pulling out in the last minutes.

    `The fine would be required to be paid before we compete in the next Olympic qualifiers game to be in Kampala, Uganda next month,` Mintanga said.

    About 13 boxers have been training at the JKT Mgulani under coaches Benjamin Mwangata and Nassoro Michael for the last two months.

    They are Ally Kimwaga, Emillian Patrick, Petro Mtagwa, Joseph Martine, Muhsin Mohamed, Hashim Simon, Rajabu Omary, Mohamed Rashid, Mrisho Adam, Leonard Machichi, Lusajo Mwaipopo (light) and Amosi Godwin.

    SOURCE: Guardian

    ReplyDelete
  6. SIO LAZIMA KUWA NA MANJI, DEWJI KUFADHILI TIMU ZETU, TUNATAKIWA KUWA NA MIPANGO SOLID/MADHUBUTI YA KIFEDHA ILIMICHEZO IENDELEE."..OMBAOMBA HUFA MASKINI.."

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...