Home
Unlabelled
eatv
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
he he he kaazi kweli kweli kama ndio hivyo bongo sirudi jamaa anafanya mazoezi na sandos?? acha nifie huku huku na jamaa ni mfanyakazi wa ubalozi marekani.
ReplyDelete..we fala wa kwanza hizo sandos zina uhusiano gani na wewe kurudi bongo?usitafute visababu hapa kama unasubiri urithi sema tu,jamaa anacheza mpira kujifurahisha tu na viatu viko nje vina mngoja,hiyo ni warm up tu we zubaa hukohuko shangaa maghorofa.
ReplyDeleteHuyo binadamu wakwanza hapo nadhani upeo wako umefika ukutani hata uwezo wa kufikiria huna. kama unajua unaingia kipindi cha pili kwanini uvae viatu vya mpira ukitoka kwenu?
ReplyDelete