patrick nyembela (nyeupe) akiongoza kikosi cha eatv kupiga jalamba. hata hivyo kikosi hiki kimelala 1-3 mbele ya cloudz fm kwenye mchezo wa fainali ya kombe la nyerere na kuambulia nafasi ya pili

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. he he he kaazi kweli kweli kama ndio hivyo bongo sirudi jamaa anafanya mazoezi na sandos?? acha nifie huku huku na jamaa ni mfanyakazi wa ubalozi marekani.

    ReplyDelete
  2. ..we fala wa kwanza hizo sandos zina uhusiano gani na wewe kurudi bongo?usitafute visababu hapa kama unasubiri urithi sema tu,jamaa anacheza mpira kujifurahisha tu na viatu viko nje vina mngoja,hiyo ni warm up tu we zubaa hukohuko shangaa maghorofa.

    ReplyDelete
  3. Huyo binadamu wakwanza hapo nadhani upeo wako umefika ukutani hata uwezo wa kufikiria huna. kama unajua unaingia kipindi cha pili kwanini uvae viatu vya mpira ukitoka kwenu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...