mlio ughaibuni bila shaka mmepagawa kwa kuona jinsi bongo inavyojitangaza kwenye kituo cha tv cha cnn. kwa habari zaidi nenda oslo kwa kubofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 46 mpaka sasa

  1. Michuzi ni hii komasho nimeiona cnn wiki ya 3 sasa, niliuliza hapo nyuma (nadhani blog ilikuwa inahusu uraia)kama kuna aliyeiona hiyo komasho na nani kaitengeneza. It is very well done kwa kweli, walioidizaini wamefanya kazi nzuri sana.
    Hapo nawasifu wamecheza kama Pele.

    ReplyDelete
  2. JK seems lakini very nice guy na wala sio mtu wa rushwa lakini nisichomuelewa kwanini anaacha watu wasaidizi wake wanahujumu nchi maana sio siri kabisa rushwa ni all over the country na sioni JK akiwa mkali na kuweka mikakati solid ya kudeal nayo...JK ile 80% tuliyokupa sio mambo hayo unayotufanyia na baada ya muda watu wataanza kukutuhumu na wewe usipoangalia

    ReplyDelete
  3. Safi sana kaka Misupu, wape wape wape!!! Wabeba maboxi wanadhani vitu vizuri hufanywa ulaya tu... na bado!!! Mtashangaa kuona hospitali zenye full equipment na AC vijijini + qualified doctors na underground speed trains in Dar, that is in 5 years to come. NEVER SAY NEVER!!!!

    ReplyDelete
  4. Sasa michuzi, si ndo kazi inabidi wafanye? mimi siwapongezi ndo kazi wanatakiwa kufanya na kuacha longo longo. We unafikiri kwa nini tunalipa kodi? Viongozi wetu wanataka wasifiwe kwa kutimiza wajibu wao, Hell no!!! Michuzi hiyo komasho CNN alieitengeneza amelipwa na jasho letu, ni kama wewe unavyoamka na kupiga mguu kwenda daily news! Its your duty hustahili kusifiwa. Kama komasho ni nzuri, basi jamaa aliyeitengeneza anaonekana anaipenda na kuijua kazi yake!

    Unastahili sifa kwenye HII BLOG yako kwa sababu hakuna anayekulipa, watu tunaangalia picha bure!! Hapa unastahili pongezi za dhati, lakini sio kutimiza wajibu wako.

    Hayo ndo mambo, tunataka viongozi wawajibike. HICHO NI KITU KIDOGO MNO NA WALA SIONI KWA NINI JK APEWE CREDIT, NI KAZI YA WIZARA YA UTALII! Yaani watz..bado tumelala mno. haki yetu tunaona ni favour! Get life my brothers and sisters!

    Thats why we pay tax. Kwa yeyote anayelipa kodi bila kuona outcome zake kama bongo ataelewa naongea nini!

    ReplyDelete
  5. Hata mimi niliona. I was so happy. Very well done ad.. I love that na hata channel yenyewe ya kutangaza ni very clever thing. Walala hoi wa USA hawaangalii hiyo channel kwa hiyo hapo itawapata wale watu wenye hela za kutalii.

    ReplyDelete
  6. Yaani mpaka Rais! Hii ni kazi ya Consul-General! Lakini kwa kuwa hatuna huyo mtu, basi Balozi wetu nchini Amerika angeweza kumaliza. Na endapo kulikuwa na haja zaidi, basi Waziri Utalii angenaliza majambo hayo!

    ReplyDelete
  7. hii ni brain child ya nkapa 'kigulu.' jk nchi imeshamshinda. kazi yake ni kufungua miradi aliyoanzisha nkapa

    ReplyDelete
  8. Hata mimi nakubaliana na anon wa October 4, 2007 6:45:00 PM EAT

    Huu ni wajibu wa Serikali hawastahili pongezi hata kidogo. Watanzania wanalipa kodi kila siku ili hawa viongozi wafanye kazi zao kiuadilifu na wamekuwa wanaboronga tu kila siku. Hapa hakuna cha kumsifia JK wala nani kwani hili lilikuwa ni jukumu lao toka mwanzo.

    ReplyDelete
  9. Consul-General umenena!

    Rais ana mambo mengi sana ya kufanya!

    Sio kufungua duka la Shoprite Mlimani(kazi ya Meya wa Kinondoni - hata Kuhanga Mkuu wa Chuo Kikuu hapo Mlimani angeweza kufungua); kuzindua tangazo la utalii New York (kazi wa Balozi wetu au Waziri); kufungua wodi ya akina mama wazazi (Musoma) na huku hawana shuka za vitandani - wanalalia kanga; na kadhalika.

    Rais, unachoshwa bure.

    Ama huna imani na hao wadogo!

    Ama unapenda sana misifa; si ulikataa kusifiwa sifiwa?

    Achana basi na onekana yako kila mara kwa vitu vidogo, kama hivyo!

    ReplyDelete
  10. Wewe Anon October 4, 2007 6:14:00 PM EAT, nanukuu usemi wako, ambao unatia huzuni:

    "Safi sana kaka Misupu, wape wape wape!!! Wabeba maboxi wanadhani vitu vizuri hufanywa ulaya tu... na bado!!! Mtashangaa kuona hospitali zenye full equipment na AC vijijini + qualified doctors na underground speed trains in Dar, that is in 5 years to come. NEVER SAY NEVER!!!!"

    Dar sio Tanzania yote. Kitu kikubwa ni kuacha "preferential treatment of Dar." Kwani hii ni kama "apartheid" nchini ukilinganisha na walalahoi wetu huko vijijini!

    Inaonekana huna moyo na hao ndugu zetu wa vijijini. Kwako maisha ni Dar tu! Na hii Dar yetu si inajipima na miji hiyo waliko hao unaoita "wabeba maboksi"?

    Kuna wabeba maboski hata hapo Shoprite, migodini, makuli relini na forodhani!

    Acha hiyo lugha ya "wabeba maboksi"! Mbona vihela vyao wakina Membe, Lowassa na JK wanavililia? VILETENI NYUMBANI!!!!

    Kazi ni kazi tu! Heshimu kazi kijana kuliko kukaa vijiweni!

    ReplyDelete
  11. NATOKA NJE YA TOPIC KIDOGO. HIVI DR. SLAA ANAMAANA GANI KUPELEKA MAJINA YA MAFISADI MAREKANI? HAJUI KUWA CHIMBUKO LA UFISADI NI MAREKANI? KAMA MAMBO NDIO HIVI NAONA KAISHIWA.

    ReplyDelete
  12. Komasho hiyo mliyoona CNN ndipo mtakapo malizwa Watanzania,mimi ni inside I claim my self.Tumechajiwa hela nyingi sana,mtu aliyeleta idea amelamba milioni kadhaa sitaki kuwa specific kuna middle men kama watatu mi nawajua na kila mmoja sasa hivi ni tajiri kwa hilo pigo moja tu.Ikifika wakati wa kampeni ukiuliza serikali imefanya nini watakuambia tumeitangaza TZ kwenye CNN kwa dollar milioni mia nne utakataa?Naomba wote mtakaosoma hii msg mrekodi uchaguzi ukifika tubishane.Hiyo komasho inaisha soon

    ReplyDelete
  13. anony hapo juu na akili yako unazania hilo tangazo limetengenezewa TZ? hata kama wamechukua picha bongo lakini finish product imefanyiwa hapa.

    kama hujui USA kuna sheria za color ndio maana kila siku ukiona picha zilizopigwa na finish edit nchi kama iraq sasa hivi kila siku utaona huko na siku nyingine angalia picha za africa zinaonekana kama jangwa vile na zinaonekana zimechoka sana....sio kweli ni color standard wanayoruhusiwa kutumia ndio inawalimit....Tulifundisha hii kwenye darasa la communication au international, marketing au something nimeshasahau lakini theory yake ni kuwa ili color iwe na std quality ni lazima wafanye finish edit here otherwise lingekua na color kama hizo tulizozoea kwenye picha za inernation.

    I will be so happy kukiwa na hospital vijiji achia mbali ziwe na full AC

    ReplyDelete
  14. we hapo juu tumefundishwa hivi sijui nini yara yara, who cares umefundishwa nini? why are u trying to show off

    ReplyDelete
  15. We anon wa 4 October 6:14 acha kuwa Zero! Soma vijuri, nimeandika kuwa mahospitali bora VIJIJINI! Na speed train Dar kwa sababu tunaadhibika na foleni. Na sijasema kuwa Dar ndo kila kitu ila uelewe kuwa kama nyie wabeba maboxi mnavyokimbilia huko ughaibuni, basi na huku Tanzania Dar ni kama USA. Kijana akitoka Mtwara vijijini au Songea kuja Dar kutafuta maisha, is the same kama wewe ulivyotoka Dar na kwenda Washington DC.

    Shida zile zile wanazopata wamachinga hapa mjini wakikimbia shida za mashambani, ndizo shida hizo hizo mnazopata nyie wabeba maboxi mkikimbilia marekani na kwingineko.

    The only difference is the infrastructure and other essentials manzozipata huko nje. Na wao hivyo hivyo, wanona maisha ya bongo ni bora kuliko, wanapanda dalaladala badala ya kukata mbuga makilometa kibao; wanaweza kuafford chips mayai kuliko kulala njaa; wanaweza kuuza maji na kupata faida sh.2000 kwa siku kuliko kulima mwaka mzima na kuishia kupata elf5000 baada ya wanyama kuvamia mazao.

    So take the Chill Pill brother! Wabeba maboxi ni jina la utani. Anayejua utani hakasiriki. Nyingi wabeba maboxi na sisi ni watani wa jadi. Mkirudi home mtakuwa mabalozi. But for now, the name stands, Mbeba maboxi we!

    ReplyDelete
  16. anony 1:38 what I am trying to show off???? nakuonyesha kuwa sikukimbia umande...na ujinga wako haukupata point yangu na wala hutapata. STAY IN SCHOOL.

    ReplyDelete
  17. weew anony 10:36 acha kutetea ujinga wako...wewe nani kakwambia watu wanafurahia infrastructure za USA au wako huku kwa jili jiyo tu. watu wanatafuta dollar wewe unakalia watu wametoka vijijini kwenda Dar.

    Umeona lini JK amewaambia hao wamachinga hata siku moja hela pelekeni vijijini kwenu? mwangalie anavyobembeleza hao unaowaita wabeba mabox wapeleke hela bongo....Get life na elewa maisha ni kila mahali...na nyie huko ndio mna wasiwasi sana ya maisha ya watu wengine lakini mngejua watu wanaoishi nje ya nchi wala hawaoni kuwa ni jambo la kujisifia au kujiringia au wako juu zaidi ya wewe uliyeko Dar...It is just the way of living na msipoelewa na kuweka kwenye brain zenu ..mtaishia kufa na vijiba vya moyo.......

    ReplyDelete
  18. JAMANI NATAKA KUONA HIYO KOMESHO NA MIE YAPATIKANA WAPI? ANAYEJUA ANISAIDIE.

    ReplyDelete
  19. HIVI HILI NDIO TANGAZO LA KWANZA?
    HAKUNA JIPYA HAPO

    ReplyDelete
  20. CORRUPTION IN TANZANIA MEMBE CRITICIZE FOREIGN ENVOYS

    2007-10-06 09:05:30
    By Judica Tarimo


    The government yesterday openly criticized foreign diplomats accredited to Tanzania for pushing hard the authorities to respond to grand corruption allegations.

    `Foreign diplomats should be patient, as investigations on the allegations are going on. The government cannot act on mere allegations,` Minister of Foreign Affairs and International Cooperation, Bernard Membe, told members of the diplomatic corps during a special meeting in Dar es Salaam.

    The government reaction follows a series of statements made by several foreign envoys, who have called on state authorities to respond to grand corruption and embezzlement allegations raised by high-profile opposition figures.

    The British High Commissioner, Phillip Parham, had called on the government to respond to allegations on fishy transactions carried out by public officers.

    Recently, the Dutch ambassador, Karel van Kersten said he was concerned about corruption allegations hitting headlines in the local media, adding that delays in government action could adversely affect aid commitments and other investors.

    `How can we encourage Dutch investors to come here if that is what they can expect?

    Should I not tell them to invest in safer and more profitable places, such as many emerging economies in other parts of the world?

    ` The Dutch envoy singled out grand corruption allegations made against the Bank of Tanzania?s top management.

    Likewise, former US envoy Michael Retzer said that the US government expected the Prevention and Combating of Corruption Bureau to nab ?big and not only the small fish.? He called for a full-scale investigation on the BoT scandal.

    Yesterday, Foreign Minister Bernard Membe, prior to his meeting with foreign diplomats, told editors at the ministry headquarters that during his just-ended trip to the US, President George Bush had patted President Jakaya Kikwete on the back and told him that he was doing a good job to fight corruption.

    `So how come an ambassador issues a statement to the public that is contradicted by his Head of State shortly thereafter?` Membe asked.

    Other diplomats who had joined the fray to demand that the government responds to grand allegations made by Chadema legislators Wilbroad Slaa and Zitto Kabwe were head of the EU Delegation Maddens Peter, German Embassy Deputy Head of Mission Ingo Herbert, the Swedish ambassador and the Vice President of the World Bank.

    Maddens was quoted in the local press as saying that the donor countries were answerable to their taxpayers on how the donor funds were spent.

    He also called on the BoT auditors to undertake a deep investigation.

    For his part, German envoy Ingo Herbert told a news conference at Maelezo in Dar es Salaam that for the past four decades, Germany had spent Euros 1.8 for development expenditure and it was good if German tax payers knew that their money was being spent properly and for intended purposes.

    Talking to the diplomats at Karimjee Hall in Dar es Salaam yesterday, Foreign Minister Membe said the fight against graft topped government`s agenda, but the authorities could not take action before completion of on-going investigations.

    `Corruption fight is the fourth phase government`s agenda.

    It is not an opposition agenda. We are determined, committed to sustain this fight, but can hardly act until the anti-corruption watchdog?PCCB?and other relevant institutions complete their investigations,` said Membe
    `No matter how long investigations will take, it is better to delay rather than act without having concrete evidence.

    Thorough investigations must be conducted first before the government takes action. That`s the universal principle,` added the minister.

    Membe described corruption in public circles as `a sophisticated and complicated phenomena` which needed `complicated investigation techniques`, and appealed to foreign envoys to provide space for investigations.

    `Please give us time. I am surprised to see some diplomats have become impatient. It is extremely difficult for the government to knock on PCCB doors and ask them to give us the report and take action,` he said.

    During the same meeting, the government expressed concern over the reluctance of UK Prime Minister Gordon Brown to attend the crucial European Union-African Union (EU-AU) summit scheduled for Portugal in December this year.

    The British PM has already publicly declared his stance of not to attend the meeting?an important forum expected to address common challenges and issues facing EU and AU?if Zimbabwe President Robert Mugabe will be invited.

    `It will be regrettable if the British Prime Minister, one of the necessary components and pillars in the EU, will not attend the EU-AU summit.

    We appeal to the international community and diplomats gathered here to use your diplomacy to convince the British Premier to attend the meeting,` said Membe.

    `We cannot resolve the on-going Zimbabwe crisis through isolation. Am I defeating my enemy by making him a friend?.

    Lets` make friends so as to resolve the impasse. We appeal to the UK to revisit its position,` said Membe.

    Defending his government`s position, UK High Commissioner Philip Parham, said: `The decision by the British Prime Minister not to attend the forthcoming EU-AU summit does not mean the UK will not be represented.

    On the other hand, it does not imply that Robert Mugabe should not attend the meeting.`

    However, the Palestine Ambassador, Yousef Habbob, supported Africa`s united position over Mugabe?s attendance, saying: `Africa should not succumb to foreign pressure. Africa should be strictly and fully represented as a united body in the upcoming EU-AU summit.`

    ReplyDelete
  21. We anon wa 5 Oct 7:15. Mimi naona nifuate ushauri wa wakubwa... 'Never argue with a fool, people might not notice the difference!'

    Sasa wewe kalagabaho na ubozo wako. Utaishia kubeba maboxi na dola za kutuma home utazipata wapi? Watu wako huko miaka 20 iliyopita hawajatuma hata dola 500 nyumbani. Wakija huku wanaishia kutuomba pesa. Njaa tupu. Kwenda zako, wadanganye hao ambao hawajawahi kuja huko. Mie natembea kila nchi na its only 2% of Tanzanian's living abroad who can afford kutuma pesa nyumbani. JK awalilie nyie kama nani kwanza?!

    Nyinyi ni WALALA HOI na WAAMKA TAABANI. Nenda ukaoshe vibibi huko, acha kupoteza muda wako, una masaa ma4 tu ya kulala. Sisi huko ndo tuna muda mwingi wa kurelax kwenye mijikompyuta yetu na kubofya bofya.

    ReplyDelete
  22. tangazo mliloliona CNN ni mkakati wa serikali unaojulikana kama Brand Tanzania "kuirajamu tanzania" lengo ni kuitangaza nchi na vivutio vyake ulimwengu mzima na hii ya CNN ni mwanzo tu,wenzetu wamefanya hivyo muda mrefu sisi tupo nyuma sana katika kutangaza utalii wetu ndiyo maana hata nchi kama jordan,syrian kila saa kwenye cnn na watalii wanakwenda kutembelea huko pamoja na hali tete kiusalama.
    sasa ni zamu ya te sisi watz.

    kama kuna watu wamejitajirisha na hilo itakuwa ni mambo yaleyale ya BUZWAGI,BOT,RADA NDEGE YA PRESIDAA,

    Anon wa October 4, 2007 11:20:00 PM EAT

    NAKUNUKUU.....
    Komasho hiyo mliyoona CNN ndipo mtakapo malizwa Watanzania,mimi ni inside I claim my self.Tumechajiwa hela nyingi sana,mtu aliyeleta idea amelamba milioni kadhaa sitaki kuwa specific kuna middle men kama watatu mi nawajua na kila mmoja sasa hivi ni tajiri kwa hilo pigo moja tu.Ikifika wakati wa kampeni ukiuliza serikali imefanya nini watakuambia tumeitangaza TZ kwenye CNN kwa dollar milioni mia nne utakataa?Naomba wote mtakaosoma hii msg mrekodi uchaguzi ukifika tubishane.Hiyo komasho inaisha soon....MWISHO WA KUNUKUU.

    Anon hapo juu toa hizo data za hao watu mara moja kwa makamanda wetu dr.slaa na tundu lissu au tuma kwenye email ya tanzania daima hili tuwaweke kwenye list ya mafisadi maarufu"list of shame"
    hapo utakuwa umetimiza wajibu wako na kuitendea haki nchi yako badala ya kukaa na data nzito.

    ReplyDelete
  23. Bongo hamnirudishi kwa komesho za DAR.mimi kwetu kitumbini hakuna ubaridi.Fuck that shit.Ain't comming back with or without CNN bulls.Bora nibebe box marekani nitalipwa,utumwa wa bongo siwezi.Totos kibao zina ngoma,nitaoa marekani msijemkaniua bure.Nabeba box nalipwa halali,na medical insurance juu na 401k,vile vile tax return napata.Je mbeba box wa bongo anpata hivyo.Hebu niambie nyie wapetaji wa bongo mna.Matapeli wamezidi Africa mpaka misaada inashindikana kutolewa,nani atasimamia kwa moyo?Hospitali za kisasa mnazofungua je wafanyakazi wake wanujuzi kweli na je wanawajibika au mnatutaka wabeba mabox tuje kuwafundisha,how is to be done.Heart attack in TZ you will die in a minute.Mnitumie msalaba mwekundu videmu vichwa maji wanasoma CPR mwaka na bado hawaipatii.Mtu ukinunua kiwanja bongo usipoangalia kitauzwa mara kumi.Halafu leo mnataka tuje kujenga,bull shit,viwanja mnatuibia tulio ughaibuni.Hivi bongo kuna 911? hell no polisi wenyewe wezi,wakiitwa hawafiki,watakuambia wako lunch.Ughaibuni nikibeba box likiniangukia 911 wamefika kunisaida na hawaibi kandambili zangu.Kwanza kuna medic bongo kweli?au ni wale manesi wanyanyasaji ukifika wanakusechi kwanza,demn!!ukitoka hospitali kandambili zimepotea.Mahouse girl mnawapiga mpaka wanapata amnesia halafu unajiuliza mbona sikuizi sauda husikii,kumbe kichwa ushamkoroga kwa mangumi.SIRUDI NA MNIKOME.

    ReplyDelete
  24. michu mie napendaga mashushu ya humu tuu....watu wako tayari tayari .....kumvamia mtu he he he!kazi mnayo...!!!!
    kuhusu JK sini mnachookifagilia wala kuponda??! vyote upuuuuzi mtupu!
    wabeba maboksi oyeeeeeeeeeeeeee!
    Ney-bham.

    ReplyDelete
  25. Anon wa 6 Oct 1:90 bozo kweli kweli. Yaani ndo inaonyesha jinsi gani muafrika anavyothamini vya watu na kudharau kwao.

    Nyumbania ni nyumbani, hata kama mnakula dagaa na ugali wa kulumangia lakini ni nyumbani? Huwezi ukakimbilia kwa jirani eti kwa kuwa kuna TV! Wewe ndo wale wankuwa na marafiki zao wakija home wanawakaribisha kwa jirani ili kuficha aibu ya kwao kuwa hawana sitting room. Sasa nikuulize, mama yako, dada yako, shangazi zako, na babu zako wote waje waishi huko ambako kuna 911. Kwa nini uwaache huku kwenye shida we uishi huko kwenye raha peke yako? Ulizaliwa huko? We hukuvaa katambuga kweli wewe? Hukuvaa asante salim? Hukucheza halaiki? Hukukimbia mchakamchaka? Sasa kama jibu ni ndiyo iweje leo ukandie home?

    Viwanja mnanunua kwa email? Pesa mnatuma za manati, eti $200 ununliwe kiwanja mbezi beach, unaota? Halafu ukirudi huku unagombana na ndugu yako tumbo moja eti kakuibia. Unajua bei ya mfuko wa cement weye?!

    Wenzetu wanaendelea because they THINK BIG! Kama ambavyo amesema mmoja hapo juu, Tanzania anaota siku moja iwe na underground trains and fully equiped hospitals Tanzania vijijini. Inawezekana jamani! Kwani wao wameweza wana nini hata sisi tushindwe tuna nini?

    Hatuwezi kuendelea because ALL AFRICANS THINK NEGATIVELY about their country, its people and its leaders. Na hawatambui kuwa mawazo yao yanakuwa kweli, tena wanafanikiwa kwa sababu tumejawa na chuki na hofu na hatuna imani na nchi na watu wake.

    Wewe kama mwenye busara, from now onwards, start thinking positively about your country. Think positivie ideas and give postitive praises. Usiongelee rushwa, magonjwa, njaa, shida na kero ndogo ndogo. We are more than 36 million Tanzanians, do you think we all need to come to America kubeba maboxi?!!! Hell no!

    So, my dearest limbukeni brother, please do us a big favour and start talking positive things about your mother land. Whether you like it or not, wewe ni MTANZANIA. Utakufa na hilo doa, wheter you like it or not, kama wewe unataka kuona ni doa kuwa mtanzania basi endelea kubeba maboxi lakini ipo siku utajamba cheche na utakojo moshi. Na hapo utalia machozi ya damu kutaka urudi home na vijidola utakuwa huna, tax return zitakuwa zimegoma.

    Masikini akipata, matako hulia mbwata.

    ReplyDelete
  26. Jingo,

    Kwanini unataka habari zinazohusu tangazo hili tuzitume Tanzania Daima? au (GAZETI LA FREEMAN MBOWE Mwenyekiti wa CHADEMA)

    Kwa Kamanda dr. Slaa? (Katibu Mkuu wa CHADEMA) au

    Kwa Tundu Lissu? (Sijui wadhifa wake huko CHADEMA)

    Naomba unifahamishe, is this CHADEMA issue?

    ReplyDelete
  27. Hivi wabongo tunapendana kweli au ni wivu tu. Ukipitia forum na blog za jirani zetu, unaona jinsi wakwao wanavyowasisitiza wenzao wasirudi nyumbani waendelee kutafuta maisha huko waliko. Wanawaeleza ukweli wa maisha ulivyo nchini kwao kote. Lakini kwenye blog za wabongo ni tofauti sana hata zinakatisha tamaa kusoma wa kwetu hasira kama nini. "rudini mjenge nchi","mnaleta dollar 200 tu" Mnashida sana huko", "wabeba mabox", Waosha vibibi", "Dar kumekucha sana", "Dar kuna kila kitu siku hizi", too much talkings na malumbano nyingi tu...this all is wasting of time... Sijaona hata mtu anayesema Nchi imekucha sana...ni Dar tu, Dar tu .... Naona wakenya , wacongo na waganda wanaosoma hii blog wanajua jinsi mind zetu zilivyo....It is a shame..

    ReplyDelete
  28. we anonymous wa oct,6.1:19 kenge sana,inaonekana ulikuwa umeshiba vi heineken ndiyo maana unaongea mashudu hapa,eti wanawake wa bongo wote wana ngoma!kwani huko ulipo hakuna?inawezekana hata mama yako anayo hiyo ngoma,we zaa na hao wamarekani na child support it will be in ur ass fool,halafu huje kutusumbua huku bongo,watu tumekaa huko na tumeona we kaa na kasumba zako,halafu baadae mnarudishwa kwenye majeneza,we fala ulizalishwa na manesi hao hao unaosema hawAjui CPR sijawahi kuona kibonde ka wewe,kwanza umelipa morgage yako au unakaa kwe jumuia ya watu?ninavyo jua mimi wabongo mtaishia jela kwa tamaa zenu,mtaishia kulipa child support,mtashindwa kulipa morgage zenu,mtashindwa kulipa car note zenu.solution inakuwa bongo,unanisikia wewe uncircumsize bamboo.

    ReplyDelete
  29. Ila twaombaa sana tena sana kwa heshima na taadhima wasilete Buzwagi nyingine ikazaliwa tokana na mimba ya matangazo ya CNN ambayo bila shaka yataleta biashara nzuri sana lakini wala nyama za watu hawawezi kuwacha sababu ukila lazima utarudia !

    Mzushi

    ReplyDelete
  30. Nawaunga wadau wa mabox na waosha vibibi.Mmekazana sana kutusema wa ughaibuni.Wacha mpashwe.Even myself naiogopa ngoma ya Africa,watu hawasemi ukweli,kazi kuambukizana.Wamarekani huwa wako open mara nyingi so I still have a chance to survive the hit.Waafrica hatupimi na tukijijuwa tuna ngoma basi kusambaza njenje.Noma,wacha nipunge hewa.AAAaaaaaHHHHHH!!!!IIIYaa

    ReplyDelete
  31. Daahh.Madau wa juu hapo anyesema harudi kaniua nadhani ni komidian huyo.Maana comenti yake imepandisha watu midadi,mijitu imepata hasira.Kafanya blog ichangamke maana hiyo mitusi inayotolewa mimi mbavu sina.asante kaka michu

    ReplyDelete
  32. Wadau sekta hii mmeivalia njuga!!! mdau kasema harudi na sioni ubaya,anasema ukweli wa kiroho na hakusema kama kaikana bongo hebu someni vizuri,kazungumzia matatizo ya bongo na ni ya kweli,kama ngoma watu ni kweli hawapimi na wanaambukizana makusudi wengine,hapo katoa pointi ya kweli.Hivi mmeshaona kwenye history channel waliposhuti TZ kijiji kimoja vijana wawili wana ngoma na walikuwa wanenda kwenye madogoli kusambaza na walipoulizwa wanasema wanjua wanakufa kwahiyo lazima wafe na watu.Jingine mdau kasema kuhusu mabox hayaachii.Hivi mbona mnawabeza sana wadau wa ughaibuni???? mnawatakia nini na sasa wanajibu mashambulizi vinawauma mnaanza kutukana.Korapsheni imezidi Africa,watu hawawajibiki ikiwemo tanzania,ingawa inajitajidi sana,lakini bado haijafikia shwari.Waacheni wabeeb mabox na waoshe vibibi wasaidie familia zao,dola kubwa mbishe msibishe.Tunachoomba tu ni wasikalie mabox tu na shule waende maana hatupendelei kuona watu wetu wakiwa chini.God bless

    ReplyDelete
  33. ehheehee!!! chapachapa dengu, oyaaa msiujaze usiku.Mdau mbishi kama dume la shupaza safi sana.Waparukie hao wamezidi kuwasema.Kaka michu akhsante sana kwa hii blog inafurahisha mno.Mdundiko,mganda na gombe sugu yote humuhumu weeehh hear the sound.tik tak tik tak

    ReplyDelete
  34. Anon wa 7 Oct at 6:30. Unauliza wabongo tunapendana kweli? Kama tusingekuwa tunapendana tungeoana na kuzaana? Tuko more than 36 million of us!

    Kama wewe mdaku kazi kupita blog za nchi za watu kuchunguza wanaongea nini, sisi hayatuhusu. Its non of our business, this is a Tanzanian blog, so we speak our minds! Kama wewe unawapapatikia wakenya, waganda na wacongo na kuona wao wanaongea akili na sisi tunaongea pumba basi acha kutembelea hii blog, nenda ukajiunge nao! Sawa?

    Kuna nchi kama Zimbabwe, Iraq, Afganistan, Liberia, Angola, zina maisha magumu, vita na uchumi mgumu unaodidimiza maendeleo, lakini wananchi wake huisifia nchi yao kinomi! Sasa iweje nyie wabeba maboksi muikandie nchi yetu yenye amani na maraha tele, na sisi wabongo tuliopo home tukae kimya tu! Tukisema, ooh... waganada watatucheka. Who are they by the way?!

    And for your information, sio Dar tu kumekucha, its all over TZ! Kalagabaho na ubozo wako, uliza uambiwe.

    Utaji June July!

    ReplyDelete
  35. Mdau umechemsha kusema eti tanzania yote imeendelea unatudanganya wadau wa ughaibuni kama hatuna familia bongo au hatusomi habari.Leo kwenye news za majira nimetoka kusoma sasa hivi,KUNA VICHWA VYA HABARI KAMA,MIKAKATI YA NEWALA KUMALIZA TATIZO LA MAJI.hIYO NI MIKAKAKATI TU HAPO.Jingine linasema,HOSPITALI YA MWANANYAMALA INATISHA.Hii inausiana na manyanyaso na kejeli wanzopata wagonjwa katika hospitali hiyo kwa muda mrefu na Hakuna wakubwa wanao wajibika kustopisha.Je wasoma ile habari kuhusu Dar waliposambazwa na risasi mbagala na kisa kikiwa ni kucheza mchezo wa pool ambao polisi wanapiga marufuku time fulani je hayo yote nyie kwenu ni maendeleo.Mnadahni ughaibuni hatusomi magazeti na kufuatilia news.Karopokeeni mbali.Na huyo mdau anayewasifu wakenya,hivi unadhani hatujuwi habari za kenya nini?Hivi wale majambazi waliouawa na moja likiwa jike walikuja tanzania kuvunja mabenki si walikuwa wakenya wote tena wanajeshi wa jeshi la kenya.Bahati tu polisi wetu waliwakabili na kuyauwa yote katika mashambulizi.Mnadahni habari hizo hatupati???Mnasema kuhusu waliberia mbona kwao hawarudi wamejaa MENESOTA USA tena wana kijiji chao haswa na wana roho mbaya.Waliberia wana roho za chuma bwana,na tena wanadharau nchi zingine kama nini,leo wewe mjinga unawasifu.Wamejaa hapa marekani kibao wanajidai mapasta kumbe fake pastors,wahuni tu.How about University of Dar na ubaguzi?? Habari zote soma kwenye majira.

    ReplyDelete
  36. hilo la juu hapo nalo,linalipuka tu ka limetiwa mafuta ya breki,kiswahili cha kizamani eti "kumekucha" hivi hujuwi maneno mapya nini?Wewe wazimbabwe,wakenya mbona nchi zao zina unyama kuliko popote Africa.Wakenya wanaishi kwa ngumi nchini kwao,serikali yao inatetereka sana na kuwanyanyasa.Mbona wanabeba mabox tu huku tena kuliko waTZ.WaTZ taifa kubwa ughaibuni wakiongozwa na wanigeria.Mdau unazungumzia wafghanista wewe umejuwaje kuwa wanasifia nchi zao.Inaelekea hujuwi mateso ya nchi zao.Unajuwa wairaq wangapi wamezamia DETROIT USA??? na hawarudi makwao,wakirudi watanyongwa.Mbona mitaa ya mexco ndio wabeba mabox wazuri tena wanaongoza wakifuatiwa na waafrica??? Kazi inaheshimika ughaibuni sio kama Africa.Mbeba mabox Africa ananyanyaswa tena anatemewa mate kabisa.Tena waosha vibibi wanalipwa vizuri kuliko some of the managers in Africa.Waosha vibibi tena hasa wadada wanahela sana ughaibuni,hamjuwi sababu hawajitangazi na kutambia watu,mavitu yao wanafanya kisiri sana.HESHIMUNI KAZI NA KAZI ZITAWAHESHIMU.

    ReplyDelete
  37. wadau mnatia shauku nyie,mwenzenu nishatia udhu,msintie hamasa

    ReplyDelete
  38. Wacha weee,eeehhh bwana,LINDU AMUOKOA KAPIRIMA AU CHILUNDA APAMBANA NA CHUI????wadau wa blog hii wakali ukiwasha domo tu wanakuzima na maji ya moto.Kaka michu mitopiki unaipatia hiyo.Hongera mungu akubariki site linameremeta tu

    ReplyDelete
  39. we anonymous hapo juu uliyezungumzia mambo ya morgage,child support,car note bora umewapasha wabongo especiall hapa marekani,watu kazi kulewa basi wameridhika na maisha ya hapa,bongo kuzuri bwana ilimradi uwe umejiandaa nilikuwa likizo hapo dar mwezi june nimeinjoi sana.na huyo anyefagilia marekani namuonea huruma sababu hapa hakuna familly value kabisa ukiwa na mtoto hapa na hawa wamerakani kama siyo gay atakuwa jambazi. na huyo jamaa asipoangalia ataishia kwenye nursing home hapa marekani,bongo is the best vijana tayarisheni makazi makwenu.

    ReplyDelete
  40. WELL, WELL, WELL...nimesoma malumbano yoote na sidhani kwamba kuna haja ya kutukanana humu. Let me say kila kitu ni mipango na mipangilio. Mimi kama mt niishie Marekani, nakubaliana na kukataa baadhi ya points. Nchi zote zina matatizo yake. Tanzania yetu ni so hard to breakthrough ukilinganisha na huku western countries. Huku hata kama ukiuza baa utaweza kulipa rent na other bills..Subutu kuuza baa Tanzania kama hujawa subjected na sexual harassment kutoka kwa wateja na mabosi wa kazini kwako. Sio kwamba nakataa hatuna maendeleo nchini, yapo japokuwa ni kwa speed ile ile. Huwa naenda nyumbani mara moja kwa mwaka..to be honest, wenye fedha ni wale wale miaka nenda rudi na wengi wanazidi kuwa maskini unless una connections na watu wenye special priviledges Serikalini ama kwenye mashirika makubwa, lakini kama ni mtoto wa hohe hahe no matter how much utapambana na umaskini utafia kwenye umaskini. On the same note..sio kila aliyeko huku U.S. ama Canada ama U.K kimeeleweka..ukija huku ukawa na nidhamu hata kama unabeba maboksi utafanikiwa tu japokuwa sio overnight. Mbona wengine tumekuja huku tume jisomesha na tuna degree za pili na tuko kwenye status na nyumbani tunafanya mambo na hayo maboksi tulibeba vile vile lakini sasa kimeeleweka? Ni nidhamu tu..hapa huna baba wala mama, kitakachokuongoza ni jinsi ulivyolelewa kwenu, marafiki wazuri, na kumkumbuka Mungu tu. Watoto wengi wanakuja hapa na wanachanganyikiwa..wana accumulate too much debt on credit card kwa kutaka vitu luxurious vya ghali bila kuwa na uwezo navyo, na wengine wakifika hapa ndio wanafungulia speed ya pombe as if zitaachwa kutengenezwa...matokeo yake..drop out mashuleni, paying child support kwa sababu ya watoto wanaozaliwa nje ya wedlock, nk.
    Narejea tena ni nidhamu tu na maisha yanapatikana popote pale hata Tanzania lakini corruption na watu wasiokuwa responsible ndio wanaturudisha nyuma. Enough said.

    ReplyDelete
  41. anon wa october 8 6.36 eat umenena.

    Mimi ninaanza kuhisi kwamba anon wa October 5, 2007 10:36:00 AM EAT ana ajenda zake za siri. Ninahisi alikua deported na hawezi tena kukanyaga ughaibuni ndio maana anakua anakandia wabeba mabox kwenye kila thread, hata katika threads ambazo haziko relevant na ubebaji mabox. Cool down ma'am!!!

    ReplyDelete
  42. .....i was deported ehee?u bet!mi nilikuwa nasoma washington seattle namshukuru mungu kwa shida nilifakiwa kuchukua nondo yangu ya accountant na saa hizi nipo dar BP OIL mambo siyo mabaya,nimefanya kazi kwenye grocery store mpaka ya kulea wazee been there done that,kinanishangaza ni mtu kutukana wala siyo kukusoa kuhusu bongo mpaka inafikia mtu anatukana watu wote bila sababu mfano huyo anayetukana manesi kwani mama yake hakusaidiwa kujifungua na hao manesi its just outrage,vile vle ninaamini ndugu zake wapo hapa bongo sasa sijui anawatukana nao jamani fanyeni bidii huko mlipo sababu utake usitake fainali ipo bongo msije mkazaa watoto na hao wamarekani baadae unaambulia fu%* u au wanaita mama zao B %*word nadhani mnaangalia jerry springer kwani famiily value hakuna marekani msijidanganye na hizo chicken wing zilizojaa cancer,its just my perspective opinion.

    ReplyDelete
  43. Anon hapo juu nikweli umemshutukia jamaa na mimi nahisi hivyo hivyo kwamba jamaa atakuwa alideportiwa kwa kuiba kwenye mastoo.Alafu kama yeye alipokuwa hapa alikuwa akibeba mabox na kuviosha vibibi anafikiri ndio kazi pekee? mbona tuna watanzania wanaofanya kazi za urubani, walimu wa vyuo vikuu, wasanii,maoperator wa vimijitambo lukuki; asituzingue nakutaja taja mabox huku kazi yoyote inaheshimiwa.Mshahala wa nfanyakazi mac donald tu ni sawa na mshahala wa meneja kiwanda cha saruji. Dola bwanaaaa!!!!!!!!!!!!!!!usintake mie nitapike kwa maneno yake huyo jamaa.

    ReplyDelete
  44. ..........i got my degree in my pocket and i enjoy my life in bongo.you all keep heads up and u better stay focus b4 u get too old!!!!tchaaooo.

    ReplyDelete
  45. Wabeba maboxi na waosha vibibi mnaumia sana mkiitwa jina lenu la halali. Ukweli unauma?! Endeleeni kuosha vibibi na kubeba maboxi, mkizeeka rudini home bongo mje kutupa shida, maana mtakuwa hamna pa kwenda. Mimi nakujaga US kutembea na naona mnavyoteseka, mnatia aibu, bora hata ya wabeba maboksi wa UK, japo nao vile vile wana shida sana. Wadanganyeni hao walio deported, au ambao hawajui mnavyoishi. Mimi na bongo, bongo na mimi. Na yeyote anayetaka kuja huko anadanganywa na movies za Hollywood. Hamna lolote njaa tupu!

    Nyinyi ni WABEBA MABOKSI. WALALA HOI, WAAMKA TAABANI!!!

    ReplyDelete
  46. Anon wa 8 October, 2007 at 11:31

    Unanisikitisha kuponda Africa eti kwa kuwa waosha vibibi na wabeba maboksi wanalipwa pesa nzuri kuliko mameneja Africa. Kwa hiyo elimu yako kuishia kuosha vibibi just because of money? Money is more important than utu? Mbona hao wazawa wa marekani hawaoshi vibibi? You are a slave but a very proud one. Ndio mameneja Africa tunalipwa pesa ndogo, lakini tuna hadhi, tuna nyumba zetu, na tena tunaheshimika sana. Money is not everything in this world.

    Na hao wabeba maboksi wenzio nataka kuwauliza, if they have decided to come to this blog of Michuzi, then they should agree to be criticized by those who see them as wabeba maboksi na hawatakiwi kukasirika. You should not make a mess of yourself by fighting with sisi wabongo on this blog.

    I have read some of your unintelligent responses on the issue of wabeba maboksi and i am always getting the same responses of your hatred towards your country. I know you are all malimbukeni but its bets you try and comport yourself as wachangiaji hoja on this blog. We all have our preferences when it comes to living abroad or home. If you are that educated as you all say you are, then stop giving empty defences.

    This blog is like politics, you will not go and kill yourself because you support living in the US or wherever and never want to return back home and you will not fight everyone because they say bad things about your hardships living in foreign countries. Kwanza maadili hakuna kabisa huko nyie wabeba maboksi.

    Immature people take criticisms in this manner. If you don't agree with people on this blog, that wabeba maboksi mnapata shida sana then you better zip itt! Otherwise, soma na ujibu hoja. Nipe mfano moja mbili tatu, ya mambo mazuri mliofanya hapa nyumbani, nyie wabongo mnaoishi huko nje. Give one thing, e.g. mmejenga shule ya secondari, mmeanzisha mfuko wa kusaidia yatima, mmeanzisha blog yenu ya wabongo waishio nje tena iko active kama hii, etc..etc....Kama ni kweli mnavyojigamba eti mnalipwa hela nzuri.

    Hovyoooo! Kama mchuzi wa jogoo

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...