Home
Unlabelled
wiki ya wanyama
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Wako wapi? Wa nyumbani au wa porini? Shuleni tulijifunza pia, kuwa ubepari ni unyama! ( CHEKA)
ReplyDeleteSiku hizi Brass Band hawana uniform?Hawapendezi kabisa
ReplyDeleteJamani kweli sisi ni wa kuburuzwa tu. Nchi zilizoendelea masuala ya ustawi wa wanyama yamepiga hatua sana kutokana na wao kuwa na maendeleo makubwa. Lakini huku kwetu hata huo ustawi wa binadamu bado ni wa mashaka, eti hao na matarumbeta mitaani. Tusiige kila kitu jamani!? Au hii ni NGO ya mtu???
ReplyDeleteWiki ya wanyama? Halafu tunasheherekea mjini? Kweli tunawaona hapo wanapita.
ReplyDeleteDuh! Hiyo brass band inapita town si foleni hiyo leo wajameni!! Kama mjamzito anawahishwa basi atajifungulia kwenye gari tu... mmmh!
ReplyDeleteTumeanza lini huu utamaduni? badala ya kuandamana kutetea haki za beki tatus na shambaboys tunaotaabishwa na bosi zetu mnatetea wanyama ,wapi sasa dogis au ze batas? bongo kwa kuiga!
ReplyDeletemichuzi bwana, SIKU YA WANYAMA halafu hapo juu kidogo tu umeweka picha ya mchizi anakula paka mzima mzima?? tena hadharani polisi walikuwa wapi au hawakuona halafu wanapita na band kusherekea nini sasa? uvivu tu wakazi si waende kukamata majambazi
ReplyDeleteWorld Wildlife Fund walitoa posho kwa ajili ya hiyo maandamano.
ReplyDelete..hapo nikiangalia naona majaa rushwa tupu na kupiga wananchi bila sababu na kubambikizia kesi watu
ReplyDeleteHee!!jamani mambo mengine yatupite hivi tunaelewa haki za wanyama kweli? hayo tuwaachie wazungu wanaolea mapaka na mambwa kama wato wao..sisi wanyama tunawatesa kama alivyo fanya "TOBOATOBOZZZ" si mmeona paka alivyofanyiwa unyama? kwa style hiyo sherehe ya wanyama ya nini?
ReplyDeleteAcheni kutembea barabarani nendeni mkamtafute yule jamaa mchawi anayeuwa mapaka.
ReplyDeleteha ha ha haaaaaaaaaaaaa mie hoooooooooooi!
ReplyDeleteeti wako wapi ao batasss na dogissssss hahahahaa
kazi ipo!
Ney-bham