Home
Unlabelled
julio
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Julio huwa unachonga sana! Huo ndo mwanzo wa ligi kwa Simba uliokuwa umedai baada ya kuwabahatisha Mtibwa? Ndugu yangu mpira ni uwanjani na Siyo mdomoni.Hizo longolongo zako zinasaidia sana kuzipa timu pinzani morali ya kuishushia kipigo Simba!
ReplyDeleteSimba mkiendelea kuwa na viongozi wa namna ya Dalali, Gumbo, Kadu na wenzao katika karne hii msitegemee kupata mafanikio!!!
ReplyDeleteMpira umewashinda uwanjani mpaka mnatangaza bifu na Radio One.
ReplyDeleteKwa wiki kadhaa sasa Radio One haitangazi habari yeyote inayohusu klabu ya Simba.
Kazi ipo mwaka huu!