simba leo wamenyukwa 1-0 na prisons mbeya katika mchuano wa ligi kuu.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. PRISONS SIKU ZOTE NI MBABE WA SIMBA ! JAMAA WALE KWELI NI WAKALI KINOMA, SIMBA HUWA ANASHIKWA SHARUBU NA KUWA MPOLE SANA. PRISONS NI KIBOKO KWA KWELI NA MWAKA HUU SIJUI NI NANI ATAWASHIKA. OSWALD MORRIS NA YONAH NDAMBILA WANAPIGA BAO KAMA HAWANA AKILI NZURI.

    MZOZAJI

    ReplyDelete
  2. Michiu hii hoja si mahala pake hebu tupe ile stori ya JK alipokwenda mwanza kwenye campagn nakumbuka kuna mjamaa alitaka kumkata mtama akakutw na mahirizi kibao..kuna jamaa huku ughaibuni hawaijui nilipowasimulia ukazuka ubishi mkubwaa wanaona mimi fix..hebu nisaidie ndugu yangu niondokane na jina hili la ufix

    ReplyDelete
  3. Sasa hao wachezaji wa Simba walikuwa wanambong'olea nani?

    ReplyDelete
  4. Najua wapo mashabiki wa Simba ambao ni mabingwa wa kubishana lakini hawawajui wachezaji wao kwa sura.

    Kwa faida tu kwao, kuanzia kushoto waliosimama: Juma Kaseja, Nico Nyagawa, Said Sued,Said Kokoo, Joseph Kaniki, George Owino.

    Walioinama kutoka kushoto: Yondani, Kisiga, Moses Odhiambo, Yahaya Akilimali na Sudi Abdallah.

    ReplyDelete
  5. Walikuwa wanawabong'olea prisons mbeya..ti ti tiiii

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...