kava ya albamu mpya ya tmk wanaume inayotarajiwa kuwa sokoni karibuni

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. Nice Cover,neat shirts and trousers....ila hiyo logo yenu mhhh,inatishia maisha,hamuwezi kuibadilisha?,hao waliosimama unajua mtu ukiwa mweusi vaa nguo light na sio dark ,ukivaa dark unazidi kuonekana mchafu,the rest mlovaa light colours mmependeza....

    ALL IN ALL,WISHING YOU ALL THE VERY BEST

    ReplyDelete
  2. Jamani hawa jamaa wanaonekana kama wametokea Louisiana, America. Hizo rasta,duh!

    ReplyDelete
  3. jamani mmependeza natafuta mume nipigie simu basi nipo michigan marekani na nina makaratasi.269-861-6293

    ReplyDelete
  4. KR murrah naona unakaa mikao ya kuaribu,dalili zako zinapnyesha umewahi kuvamia sana sherehe za uswahilin,sasa mkao wako huo na huu mwezi basi ni dalili unavizia futari mitaa ya kati...by da way mnafanya kazi sana ila we kr kama sio mziki basi ungekuwa mwizi au konda..au mpishi wa sherehe...

    ReplyDelete
  5. HII ALBAM NINAISUBIRI, MHESHIMIWA TEMBA NDANI !!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...