Home
Unlabelled
kipanya wa enzi hizo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Sijui Chakubanga na Polo wangefikiriaje hayo ya dhahabu yetu kuporwa bure, kama stori yangu hapa chini inavyoeleza:
ReplyDeleteKama wengi wetu tunavyofahamu, kuna majadiliano ya “siri” yanayoendelea kati ya serikali yetu na makampuni ya migodi yetu ya madini ya dhahabu. Lengo ni kujaribu kutafuta makubaliano ili Tanzania ifaidike kutokana na madini ya dhahabu.
Ni wazi kuwa Tanzania ina madini mengi ambayo “providence” alituzawadia. Lakini yale yaliyogunduliwa na kuanzisha migodi, kwa mfano, dhahabu, hatunufaiki nayo!
Kwani makampuni hayo ya kigeni (AngloGold Ashanti, Barrick Gold ya Canada na Resolute ya Australia) huchuma dhahabu yetu bila kulipa kodi hadi hapo yatakapoweza kurudisha gharama yote ya uwekezaji. Muda huo unaweza hata kufikia miaka 20!
Jamani, mpaka wawekezaji wanatuhurumia kwa kutunyonya, kama kampuni ya AngloGold Ashanti inavyoonekana kukiri! Wewe fikiria mnunuzi akikuhurumia kutokana na bei yako ndogo ambayo kila siku unamwuzia nyanya zako - (huu ni mfano tu)!
Soma mtundiko huu nilionukuu kutoka vyombo vya habari vya kuaminika vya Internet:
AngloGold tax deal in Tanzania (By Tom Burgis and Barney Jopson
Published: September 30 2007 22:13):
AngloGold Ashanti is to waive tax breaks and pay levies on its huge gold mine in Tanzania amid a fierce political tussle over the country’s mineral wealth.
The move, which has been hammered out with the government in private but has not yet been officially announced, follows similar renegotiations by Barrick Gold of Canada, the world’s biggest gold miner, and Australia’s Resolute.
“[Ministers] want the sector to contribute a bit more,” Hatibu Senkoro, AngloGold’s country manager, told the Financial Times in an interview. “The government is keen for accelerated payment of corporate tax. Any newcomer is not going to enjoy the same benefits Anglo has.”
Incentives to lure major gold companies into Tanzania’s nascent mining sector over the past decade included capital allowances that defer tax liability until companies’ costs are recouped – a tax holiday that could have lasted up to 20 years.
Jakaya Kikwete’s victorious 2005 presidential campaign included a pledge to secure a “fairer” distribution of mineral revenues.
AngloGold, Barrick and Resolute will pay annual levies of $200,000 directly to local authorities on each of their Tanzanian gold mines and pass up a 15 per cent tax allowance on unredeemed capital, hastening the day they will begin to pay the 30 per cent national corporate tax.
The 3 per cent royalty rate will be unchanged. Barrick will also make “voluntary contributions” of $7m a year to the Tanzanian government for five years.
The renegotiated agreement means that AngloGold, which is 42 per cent owned by South African mining giant Anglo-American, estimates that it will start paying corporate tax on its $500m Geita operation – east Africa’s biggest gold mine – by 2011, four years earlier than initially planned, Mr Senkoro said. That date would have come next year, had it not been for a shaft collapse.
It remains to be seen whether the settlements and the companies’ promised community projects will be enough to quell a political storm over a sector that produces about half of Tanzania’s exports but contributes less tax than the country’s biggest brewer.
___________________________________
Kuna maswali kemu kemu…mnajua tena hoja ya binafsi iliyomfukuzisha kwa muda m-Bunge wetu “kijana” Zitto Zubeir Kabwe!
Je, Tanzania inawezaje kuhakikisha kuwa dhahabu hiyo itakuwa bado ipo mwishoni mwa miaka 20?
Je, tutafanya nini kama miaka hiyo ikifika na makampuni hayo yaamue kukunja virago na kuondoka - kwa kisingizio kuwa hakuna faida ya kuwekeza zaidi kwa sababu dhahabu imekwisha (dhahabu ni “non-renewable resource”)?
BAP,
ReplyDeleteChakubanga, Polo na Bushiri wangefufuka leo wasingeitambua Tanzania walioiacha. Na vijana wa kizazi kipya wangejiuliza hivi hawa wametoka sayari gani?!
Chakubanga nakumbuka ndio cartoon iliyonifanya nijue kusoma kwa kuipenda katika gazeti la uhuru. Chakubanga bwana michuzi inaonesha ni cartoon iliyokuwa inafundisha jamii zamani mtu ulikuwa unaiona inachekesha ila haichekeshi hivyo ni ina elimu tu na jamii kama ki siasa kwa enzi hizo kufundishana ustarabu. ukitizama katuni za kiswahili sasa hivi matusi,rushwa, na picha zisizofaa kwa jamii yetu haifai sababu watoto wengi wanajifunza kwenye katuni kuliko kitu chengine, Kingo anachekesha japo hasemi.
ReplyDeletepoint of correction jakubanga cartoon alikuwa anazichora mtaala anaitwa mohammed kassam siyo gregory bwana. acha hizo.
ReplyDeletemungu amlaze pema peponi amen.
Mpumbavu mkubwa weee anon wa 6:06pm
ReplyDeleteUnaambiwa Mtaaalam niGregory we umeng'ang'ania ni kassam.Senzi kabisa we
BABAKEEEEEE!!!
ReplyDeleteUstaarabu na ungwana kitu cha bure matusi ya nini wee jitu la pori pori wa oct 3th, 10:21 Eat,
.Inaonyesha kila ukisomacho na kuambiwa huwa unakinga'nga'nia kama ruba.
.BABAKEEEEE!!! kwa ustaarabu wangu na ugwana wangu naona sina muda wa kukujibu matusi yako.Na usione kwamba nashindwa kuyajibu, ohoo!! usijaribu hapa ohooo!!!! sema mimi sitaki kuharibu ustaarabu wangu na blog hii.
Nakuachia na domo lako kaya ubwabwaje kadri utakavyoo kwa sababu huna unalolijua zaidi ya mitusi na kujiona umefika kumbe bado mpori pori....
ANON WA October 2, 2007 6:09:00 PM EAT
ReplyDeleteebu iangalie hiyo katuni kwa makini kabla ya kubisha na kukosoa kwa ina-signature ya mchoraji ni kama za kipanya nazo zina signature!
binafsi naamini zinatoa somo zuri na ujumbe wake uwafikia wengi/makundi yote kama sikosei.
ANON WA October 3, 2007 10:21:00 AM EAT
punguza jazba,possibly ame-overlook anyone can do that bro.!
JINGO
ReplyDeleteNIMEKUPATA MWANANGU LOUD AND CLEAR AND THANK YOU. NA JAZBA ZANGU NILIZIPUNGUZA NDO MAANA SIJAMJIBU HUYO JAMAA KWA MATUSI ALIYONITUKANA NA NASISITIZA TENA ASINIONE FARA MAANA AKIJARIBU NAMPA FACT YA MICHORO HII NA MITUSI JUUU IWE BAK-SHIS-YAKE..
NA KAMA KUWAKA KIWAKE NA MICHUZI ANIFUKUZE KWENYE BLOG YAKE, MAANA UJINGA UJINGA SIPENDII..
NINACHOSISITIZA MIMI NIKWAMBA SIGNATURE UNAWEZA KUWEKA KAMA MCHORAJI LAKIN MUAZILISHI/AU MWALIMU WAKO ALIYEKUFUNZA NAYE APEWE CREDIT ZAKE SIYO LEO UMEFUNZWA HALAFU UKACHUKUA MOJA KWA MOJA SIFA ZOTE NA HAKI MILIKI NA HALAFU KUJIFANYA MUAZILISHI....
HATUJALALA JAMANI NA HAKUNA KULALA, TUPO KADO,TUPO MACHO WAZI MCHANA KUTWA USIKU KUCHWAAA, NA LONGA LONGA ZA KIJIWENI BILA YA UKWELI WA UTHIBITISHO HATUZITAKI.
JINGO L.A INASEMAJE MWANANGU? NA RAMADHAN JEE?