katika kuadhimisha siku ya nyerere dei vyombo vya habari mbalimbali viliandaa mchezo wa soka ambapo cloudzzz fm (pichani) iliibuka bingwa bada ya kuigalagaza timu ya eatv kwa mabao 3-1 katika kiwanja cha gymkhana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Baba lao CRDB hawakushiriki nini??? maana Sisi ndio tulikua tunachukua ubingwa huo kila siku Michuzi nipe taarifa zaidi maana nimechomoka kidogo TZ

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...