kituo kipya cha tv cha c2c kesho kinaanza kurusha matangazo ya michezo kuanzia saa moja jioni, baada ya kuwa kwenye majaribio kwa muda kikirusha video za muziki. hapa kikosi cha c2c kikijiandaa kunihoji kuhusu mambo ya uandishi wa michezo leo klabu ya gymkhana

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...