sidhani kama kuogelea ndiyo kipitisha muda pekee wakati wa siku za mapumziko. halmashauri za miji inabidi zifanye ubinifu wa kuondoa adha hii kwa kweli. wadau mnasemaje??

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Jmani, mbona sioni kibanda cha wale jamaa wanaookoa watu (life guards) wakati wa dharura?

    ReplyDelete
  2. Waswahili wanasema maskini hampendi mwanawe,nayo serikali ya bongo siyo siri haiwapendi wananchi wake.There is no way watajenga sehemu ya kuchezea watoto na hata kama watajenga haitakuwa FREE kama ilivyo sasa,
    AB

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...