Home
Unlabelled
maandalizi ya shoo ya bw. cooper
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
..jamani mambo ya comedy yanaenda na culture,isije mkawa offended na jokes zake kumbe kwao ni joke kwenu ni taboo na sijui hata kiingereza wengi kama mtamuelewa,hapo mmechemsha naona bora mngetumia locals tuu...asije kuanza kusema this mafaka president mutherfucker fucker baby mama lakwisha mkaona katukana
ReplyDeleteCha kwanza lugha itapanda kwa wabongo hapo kweli? Si unajua wanugu tena mwendo wa kasi. Mimi mwenyewe niko huku huku kwao lakini bado ni challenge kuwaelewa wanaongea nini sometimes.
ReplyDeleteYaani nitoe ELUFU HAMSINI zangu kisa kwenda kumwangali Mr. KUPA!
ReplyDeleteHamjanipata. Si bora hizo nikanunue nyama na maharagr nile na wanangu.
Wakati Joti na Masanja nawaangalia buuuure kwenye Ze komedy.
Si UJINGA huo!