kuna njia nyingi za kubebea maboksi, ikiwa ni pamoja na mikokoteni.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 19 mpaka sasa

  1. michuzi hapa unatafuta maneno tu na hawa jamaa wa ughaibuni.

    ReplyDelete
  2. sorry mabox ya ughaibuni hayabebwi hivi jamani..hayo mambo yanaishia kwenye ma warehouse zana za kubebea kibao..law ya health and self hairuhusu kubeba mizigo mizito kama hiyo..mabox yanayobebwa huku niya simu less than 5kg, cornlfex etc..hayo mazito yanabebwa na cranes ndugu zangu

    ReplyDelete
  3. sidhani, wewe uliyesema ughaibuni ndo unatafuta maneno . MPAKA LEO WATU WANAJUA TOFAUTI YA MAISHA YA UK. NA BONGO .

    mimi nipo harakati mdogo wangu atimke Bongo, kaka yake anatusaidia sana ,... ACHILIA MBALI HAYA MANENO YA WAKOSAJI .

    ReplyDelete
  4. MIMI NIMEISHI UGHAIBUNI SANA MIAKA MINGI MABOX YANABEBWA HIVYO HIVYO NA MBAYA ZAIDI KIPINDI CHA BARIDI UNAKAKAMAA MIKONO NA BARIDI.NDIO PESA YA UGHAIBUNI INAVYOTAFUTWA KWA WASIOKUWA NA KISOMO.

    ReplyDelete
  5. We anon wa 12:30 na Anon wa 12:19 msitake kujishaua hapa. Kubeba maboksi iwe kwa crane au kwa kichwa ni mbeba maboksi TUUUUU! Tuseme ukiwa unabeba mchanga kwa magari makubwa huko USA tukupe jina gani? Dreva wa malori au mbeba mchanga?! Msitaubabishe nyie wabeba maboksi! Mnasoma degree zenu hapa miaka minne mnaishia kwenda kubeba maboksi ughaibuni.

    Nyie hamna tofauti na wabeba maboksi wa bongo, kazi ni kazi jamani. Heshimuni na kazi na kazi zitawaheshimu. Mkiitwa wabeba maboksi msikasirike, mbona hawa wa wabongo wakiitwa wabeba maboksi hawakasiriki?

    ReplyDelete
  6. mtaa gani huu michu, tupe basi mzee wa kazi, maana napa miss home sijatia mguu kama miaka ishirini toka nitoke na sijui lini nitarudi maana sina paper

    ReplyDelete
  7. anony 1:50 kama kweli ulikua nje basi unadanganya. na inaelekea ulirudi home kwa zali. Inaonyesha ulivyo na hasira. Hukumaliza PhD nini? Donge la nini kama wewe ulisoma na kurudi home na wenzako wanafanya hivyo hivyo. kama wewe ulilibeba box sasa kwa nini wenzako wasibebe nao? Grow up...manake naona elimu uliyopata haikukutosha.

    ReplyDelete
  8. Anon wa 17 Oct at 6.20. Yaani naonaga raha sana mnavyojipandisha chati wabeba maboksi wakati hamna lolote. Yaani wewe kusoma PhD unadhani umefiiiika! Watu wanarudi na PhD zao huku wanakuta vijana under 30s huku zaidi ya mamia wana ma PhD. Housegirl wangu mimi anasoma diploma, au unaona usomi ndiyo deal?

    Tanzania ya zamani sio ya sasa wewe! Wasomi wamezagaa kama nzige. Kwanza wanaokuja na vijimasters vyao uchwala lakini hawawezi kazi! Tunaishia kuwafundisha kazi masikini. Pumba tu, mpe ofisi au mpe report aandae anahangaika kama kuku. Msijishaue jamani, bongo kuna wasomi na wansukuma gurudumu la maendeleo.

    Ungekuwa umeelimika usingeikandia elimu ya mwenzio. Sasa na mimi nakukandia ukasirike. Kama ni gari mimi nakuona wewe kibito.

    Nyie endeleeni kubeba maboksi na kutukana kuwa sisi ni wala rushwa na corrupt country. Ndiyo kazi mnaoiweza vizuri sana.

    ReplyDelete
  9. Maanony wa 4:23 na 6:59 naona kama una machungu na usongo wa majuu? ndugu zangu box dili na linalipa kichizi..hivi namalizia ghorofa langu na mprado wangu nikija nakutemea mate kimapozzzz..fanyeni basi muwaombe maboss wawape hata vitrip vya majuu kidogo mkoshe macho mtoe tonngotongo kidogo..nyie mkija hamrudi ng'oo

    ha haa haaa box dili pita ubalozi wa uingereza au marekani saa saba usiku uone foleni.

    ReplyDelete
  10. Duh wewe unayesame umeishi ughaibuni, unatia aibu. ... maana kama ungewahi hata kuishi na jirani aliefika ulaya ungejua ukweli na tofauti.

    hata maifisa wa serikali ebzi hizo, walikuwa wanafnya kazi wanapopata course fupi . wakirudi home wanaleta vijizawadi, sasa vijana wameamua kuzamia kabisa ulaya inakuwa nongwa.

    KAZI NI ZILE ZILE TOKA ZAMANI, KAMA KUTUKANA UNGEMTUKANA BABA YAKO ALIPOENDA NA KUKULETEA ZAWADI, ..AU NDUGU YANGU UMASKINI UMERITHI TOKA KWA WAZAZI ?????
    POLE SANA !

    kitu kibaya ni kuwa kuna wajinga weznzako wanaamini unaweza kukutna na mkokoteni ktk Hwy za London , funny .

    ReplyDelete
  11. wewe mshamba unayedandia gari kwa mbele hauna point.

    Jina la boksi limetoka ughaibuni, sio Bongo.
    HUKU WATU WANAPIGA BOKSI, HAWABEBI BOKSI . UFAHAMU MDOGO NA USHAMBA NDO UNASABABISHA WATU KUCHANGANYA MAMBO.

    hAKUNA MTU ANABEBA BOKSI, ESPECIALLY USA . HUKU TUNAPIGA BOKSI KW MAANA YA KAZI ISIYO PROFFESSIONAL .

    ReplyDelete
  12. unawezaje kulinganisha ughaibuni na Tanzania ??
    .....inawezekana ukawa na maisha mazuri kijini kwenu, lakini hiyo haibadilishi ukweli kuwa Dar maisha ni bora zaidi.

    ASILIMIA NGAPI YA WANANCHI HAWANA UMEME AU MAJI SAFI ???

    WEWE UNANG`ANGANIA HOUSE GIRL WAKO KAMA MFANO, WAKATI NINA HAKIKA UNANDUGU AMBAO NI MASIKINI . AMKENI ! ACHENI WATU WAHAIKIE MAISHA, WENGI WENU INAELEKEA HAMJATOKA NJE YA NCHI .

    ReplyDelete
  13. KAMA PHDS ZIMEJAA MITAANI , KWA NINI KUNA WAGENI WANAOFANYA KAZI HAPA KWA AJILI YA UPUNGUFU WA SKILLED LABOUR NCHINI ???

    NINAVYOJUA MIMI UGANDA KUNA WASOMI WENGI KULIKO TANZANIA, NA KUNA HAJA YA YA KUFIKIRIA JUU YA E.A COMMUNITY , KWA SABABU WATANZANIA WENGI HAWAJASOMA.

    HATUNA MADAKTARI WA KUTOSHA , HATUNA WALIMU WA KUTOSHA, WASIOJUA KUSOMA WANAONGEZEKA. WAPUMBAVU TUMEJAA KTK MTANDAO .

    .. WATU MNAANDIKA BILA KUJALI UKWELI WA MAMBO , UONGO CHUKI, MIZENGWE NDO KAZI YETU .

    ReplyDelete
  14. PhD bongo under 30,chuo gani???mlimani Masters ya 2yrs watu wanakwenda mpaka 5years,na hiyo PhD duu ndo kauzibe kichizi.Haya chukulia mtu anagudua BA akiwa tayari na 25-26yrs,jumlisha hiyo na Masters,then PhD na hapo aende straight,maana kuna maswala ya sponsor,nafasi....bado hataweza kuwa na PhD under 30.sema under 35 kidogo nitakuelewa,tena ni wachache sana.
    Unapoandika hapa siku nyingine basi ufikirie kuwa kuna watu na elimu zao na busara zao wanasoma hii blog.
    USITULETEE STORY ZAKO ZA KWENYE VIJIWE WA KAHAWA
    lawluci

    ReplyDelete
  15. Wewe anon wa kwanza kabisa, unamaana gani kusema watu waughaibuni?
    nani kakuambia wote tunaoishi nje tunashughulika kwenye mabox?
    shika adabu yako
    sio kila mtu anabeba maboksi alaaaa
    aliye kunyima wewe ndiyo aliyompa mwingine
    it seems like you wish you were here

    ReplyDelete
  16. Who ever coined the 'wabeba maboksi' name, it doesnt matter. The truth hurts. Most of you fellows are miseducated. Mmesoma lakini hamjaelimika.

    Mara ya kwanza kupanda ndege ni from bongo kwenda kubeba maboksi. Wadanganyeni hao ambao mnataka waje watoe tongotongo kama nyinyi mlivyotoa ushamba. Mimi hamuwezi kuniconvince otherwise. I've been there, i've seen ya'll.

    Mna njaa. Uwezo wa kurudi home hamna. Hata mama yako mzazi akifa huwezi kuja. Why? Kwa nini? Because hamna makaratasi. Worse, hamna raha. I have two words for you CHILL PILL.

    ReplyDelete
  17. We mwehu hapo juu anon 9.37 am
    Kama kubeba maboksi ni wewe
    That is being judgmental !!!!!!!
    Kuna watu wengi wanaoishi nje na wana kazi nzuri sana ambao hawako kwenye class yako
    Kama huwajui shut up
    And speak for yourself
    Uwe na adabu

    ReplyDelete
  18. WOTE MNA AKILI ZA PANZI NYINYI.
    KAZI NI KAZI.KAZI LAZIMA IHESHIMIWE
    ACHENI MAJUNGU NA UONGO.PIGENI KAZI

    ReplyDelete
  19. SASA KAMA WATU HAWANA MAKARATASI MPAKA WANASHINDWA KUJA HOME , ..UNAWEZAJE KUSEMA HAWANA RAHA HUKO WALIPO ????

    NIJUAVYO MIMI KAMA HAUNA MAKARATASI, UNAWEZA KWENDA KUJIRIPOTI. THEN, JUST A MATTER OF TIME WATAKUPANDISHA NDEGE KWA GHARAMA ZAO.

    SIONI MANTIKI MTU AWE HANA RAHA UGENINI, KISHA AWE HATAKI KURUDI NYUMBANI

    WASIO NA RAHA NI WATANZANIA MAMILIONI AMBAO HAWANA AJIRA, HAWANI MAJI SAFI, ACHILIA MBALI UMEME .

    CHILL PILL IPO HUKU AFRICA, TUACHE UNAFIKI NA CHUKI .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...