jk akiwa na mazungumzo rasmi na kiongozi wa kanisa Katoliki Papa Benedict wa 16 huko vatican

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Na huyo aliyesimama kwenye background ya hii picha ni ndiye body guard wa Pope. ha ha ha haaa. Hivi body guard wa pope anakuwa na cheo gani kanisani, au anatakiwa awe askofu, au kardinali? Naona amevaa kama askofu Antony Mayala
    Tehetehe....heheee. Msinizodoe jamani, ni mawazo tu

    ReplyDelete
  2. Sasa bro kikwete hicho kikaratasi alichoshika cha nini?? Tuseme do cha majibu au??? mbona mwenzie hana?? Ina maana jamaa hawezi ongea bila kushika kijikaratasi??? Tena hii ni mara zaidi ya mia moja!!!

    ReplyDelete
  3. Anonymous wa Saturday, October 20, 2007 7:03:00 PM EAT
    Kuwa na mawazo simple, Mh Rais ndiye aliyekwenda kumtembelea Pope, kwa hiyo alikuwa na yake ya kumwele Baba Mtakatifu, sasa Pope ataandikaje majibu kabla hajaulizwa?
    Grow up kifikra otherwise utadumaa kama wengi wa waosha vinywa.

    ReplyDelete
  4. I'll like Kikwete,anaona mbali lakini watanzania tunaona hapa tu we don't think about mbele......anyway nimependa pia alivyokaa hapo,kakaa kiheshima sana even though yeye ni raisi but mnaona respect ya hali ya juu kwa pope???

    Go Kikwete wanataka kukuharibia but watu watakuja kurealise u r another NYERERE when it is toooooo late for them kujua hilo

    ReplyDelete
  5. JK.. !DD! UL!KUL@ ROM@ KW@ P@P@ @U..?

    ReplyDelete
  6. Woote mliotoa maoni mngekuwa mnajua papa ni nani katika Dunia hii








































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































































    woote mliotoa maoni hapo mngekuwa mnamjua papA ni nani na ana mpango gani na Dunia yetu MNGETOA MAONI TOFAUTI. Mjitahidi basi mjue hata JESUITS yatosha kubadili mawazo yenu!!!

    ReplyDelete
  7. woote mliotoa maoni hapo mngekuwa mnamjua papA ni nani na ana mpango gani na Dunia yetu MNGETOA MAONI TOFAUTI. Mjitahidi basi mjue hata JESUITS yatosha kubadili mawazo yenu!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...