msondo ngoma walikuwepo kuburudisha wanafunzi wa vyuo mbalimbali kwenye michuano yao leo uwanja wa mlimani

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Jamani bongo njaa kali! mpaka nyasi zinakauka? Mhh kina dada na nyie choka mbaya bwana.
    Duuh halafu mnatwambia tuache kula "Box" turudi home.Kwa mtaji huu tuacheni tuu huku ughaibuni.

    AU MICHUZI UMEKOSEA HAPO SIO KILE CHUO KIKUU BABU KUBWA BONGO?

    ReplyDelete
  2. Kiatu ina jina la mmbongo masai barefoot technology lakini bei yake mmmmmm na wala hamna soko la africa...sijui sisi hatuhitaji hii technologia..

    just google for masai barefoot technology shoes.


    http://www.swissmasai.com/CountrySelection.aspx

    ReplyDelete
  3. duu jua kali sema mjoba chuzi mashitobe ya ma sister hapo!naona nitacha ma box nirudi home maanake hapa pasi mtindo mmoja...

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...