Home
Unlabelled
mwalimu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Hakuna hata kimoja cha maana alichokileta chenye manufaa kwa nchi, zaidi ya ukiritimba wa Siasa za Ujima, mwelekeo wake haukuwa na msingi wowote.
ReplyDeleteTumenyanyasika kiuchumi, kielimu na kila sekta muhimu munayoifahamu.
Tumekula Yanga chungu, maduka ya UShirika, Azimio la Arusha(Squandering of peoples wealth).. Sasa tunaanza upya kwa jamii ambayo kizazi baada ya kizazi still inaathirika na fikra zake.
Hakika kama angekua madarakani, nisingeweza kufikia hapa nilipo mimi mwenyewe binafsi.
Kutokana na elimu ndogo na ujinga mkubwa uliyoikumbuka TAnzania, hususan viongozi wetu wa leo, ndio maana hatufikii popote, fikra zetu zimefungwa kutokana na kasumba na Siasa mbovu za JK Nyerere.
Yapi na mazuri munayojua nyinyi, Hakuna hata moja, mtu kumiliki passport ilikua marufuku katika kipindi chake, TV alikua anaangalia yeye tu.
Alikua ni mjinga wa fikra na mawazo. Leo hii vijana wenye fikra mpya na mawazo mapya ndio wanaiongoza Rwanda, na katu kwa siasa hizi wazee wa zamani kushikilia nchi katu hatutoweza kufika popote pale.
Zaidi kunyanyasika kifikra, kimawazo na kielimu kama tunavyonyanyasika sasa.. Waekezaji wanasquander mali zetu kutokana na kutokuwa na viongozi imara wenye mwelekeo ulio bora wa nchi, kwa sababu gani ?? You tell me, kwa sababu ya kushikana na fikra za JK.. Someone has to break loose turidu pale mwanzo baada ya kupata UHURU.. Maondeleo yalikuwepo..Huyu JK kakiwasha tu .. Hamna lolote la maana alilotuletea, na athari kubwa kama mkizidi kung'ang'ania fikra zake ndio zituelekeza pa zuri..
LAzima mutakuwa day dreaming.
FIKIRI! FIKIRI!
Halafu Michu unafanana nae!! Au ni kama anavyitwa baba wa taifa?
ReplyDeleteNaona hilo ndio vazi la taifa, halafu alikua handsome! ;-)
ReplyDeleteR.I.P Nyerere
nashangaa kwa nini haisemwi kweli jinsi huyu mwalimu nyerere alivyoilostisha nchi,?
ReplyDeleteni kusifiwa tuu kama kuna la maana alofanya
amemwachia mwinyi serikali ilofilisika na haina chochote hata kimoja cha hakiba.
acheni jamani
TUKITAKA KUMUENZI NA KUNUFAIKA NA ALIYOFANYA MWALIMU NI VEMA KUJIFUNZA KUTOKANA NA MAZURI NA MABAYA ALIYOYAFANYA. TUKISEMA MAZURI TU HISTORIA ITATUHUKUMU KWANI TULIONA YALIYOPITA NA HATUKUJIFUNZA KUTOKANA NAYO.
ReplyDeleteYapi na mazuri munayojua nyinyi, Hakuna hata moja, mtu kumiliki passport ilikua marufuku katika kipindi chake, TV alikua anaangalia yeye tu.
ReplyDelete-----------------------------------
Inashangaza watu wanavyosema vitu bila kufikiria,Unasema mtu alikuwa haruhusiwi kumiliki passport,hivi watu walikuwa hawaendi majuu kusoma,wanamichezo walikuwa wanasafiria nini kwenda kushiriki katika michezo kama olympic,commonwealth,world cup qualification,Africa Nations Cup,vipi waandishi wa habari za kimichezo(Michuzi na wenzake)nao walikuwa wanasafiria nini au walikuwa wanatumia ungo wa bibi yako?Muulize Michuzi akueleze.
Juu ya Tv naamini muda wa Jk reign palikuwa hakuna watu wenye mawazo ya kuendesha biashara ya Tv ,kina Bakhresa na wamiliki wa kumbi za cinema zilizokuwepo bongo tangu enzi za Mchonga,Si ndiyo walikuwa matajiri kipindi kile ,mbona hawakuja na mawazo ya kuendesha Tv business?Watu wengine wanashangaza.Fikirieni vitu kabla ya kusema.
Vipi juu ya viwanda serikali ya mwl ilivyojitahidi kuviendesha,si watz wenyewe ndiyo tuliovifirisi au ni mwalimu?Pili kipindi cha mwalimu watu walikuwa wana take pride kutumia bidhaa zilizotengenezwa bongo pia bidhaa za dukani(mpya) japo zilikuwa chache,,sio siku hizi ambapo mitumba ndiyo fasheni.
wengine wanadhani kuponda serikali au viongozi wake ndipo wataonekana wasomi ama vipi sijui.
ReplyDeleteHaihitaji kuwa na degree ya chuo kikuuu ili kuyaona mema ambayo Nyerere aliifanyia tanzania.Yapo wazi na ni mengi(nisengependa kuyaandika kwani nitajaza nafasi bure hapa)
Lakini muhimu Wewe na wenzako mjue tu kwamba huyu babu hakuwa malaika.Alikuwa binadamu kama wewe.Kuna makosa aliyafanya kwa sababu ya udhaifu wa kibinadamu, lakini hapaswi kulaumiwa kwamba hakufanya lolote la maana.
Hizo TVS unazong'ang'ania kwa mfano.Si zililetwa wakati wa ruksa?Labda uniambie zimemsaidiaje mwananchi wa matombo,Morogoro Kukabiliana na hali ngumu ya maisha aliyokuwa nayo?Hao wenye access na TV kwa mfano Dar-Wengi wao Wanachojua ni kuangalia michezo ya kina Bambo,IKIFIKA taarifa ya habari watu wanabadili kituo.Ok,pamoja na kuwa na lengo la kuburudisha,lakini wananchi wengi pamoja na kuwa na Tv lakini bado hawajazitumia kujielimisha.
Michuzi nipe nafasi nitoe hoja
Lawluci
Fisi watupu ninyi mnaoona nyerere hakufanya hata kitu kimoja cha kujivunia. Mnadhani kuijenge nchi iliyoibuka tu toka kwenye umaskini, uporini, njaa, magonjwa, ukosefu wa elimu ilikuwa ni kazi ndogo. Tuna kizazi kingi cha 1960s na kurudi nyuma vijini mwetu ambao hawakusoma kabisa (mfano mmoja). lakini biidii ilifanyika na mambo mengi yakaanza kuonekana-hata kama ni little ni bora kuliko hakuna.Tanzania ilikuwa kidedea Africa kwa kufuta ujinga zaidi ya asilimia 70. ROME haikujengwa siku moja au mwaka mmoja ilichukua centuries.
ReplyDeleteMbona wamarekani wanawaenzi wazee wao na hakuna hata mmarekani hata mmoja anayepingana na founding fathers wao. Tazama sanamu mbalimbali walizozitengeneza- na utakuta wabongo wanasimama hapo na kutandika picha. Sanamu ya nyerere-ooh mara ya nini hiyo? ufinyu wa mawazo tu. Lakini kuna watanzania kadhaa ambao ni wachafu kabisa- hawajivunii lolote kuhusu waanzilishi wa taifa lao. Soma historia ya wamarekani kuanzia kipindi cha akina Columbus, halafu uone hadi wakati wanapata uhuru 1776, kulikuwa na hali gani ya maendeleo.wamarekani walikuwa wakilima kwa jembe la kukokotwa na farasi au ng'ombe. Pia pekua kuanzia hapo ni lini ugunduzi wa technologia za simu, telegram, radio, TV, na mawasiliano mengine vilianza kuonekana. si chini ya miaka mia moja na kitu. Ni upuuzi mtupu kudharau kila kitu, hasa ukicheki tanzania ilipata uhuru miaka 40 tu ilopita. Sasa ni nchi gani africa ya kutolea mfano kabambe ambao wao hawakufuata siasa kama za kwetu na wanatisha kwa maendeleo. Ukisema zimbabwe ujue wale ni wazungu walikalia uchumi- si mbantu, Kenya ni jambo lile lile, Nigeria- ni wazungu na uongozi wa mabavu. Africa kaskazini-ni waarabu ndio waliowezesha yote. Nadhani mambo mazuri hayaji pasipo kupambana na ugumu kwanza na kuweka mazingira bora. Unity, tranquility, na stability, uliyo ni jambo jema mno liloweza kuleta maendeleo mkuu tanzania. tungefocus kuwabana shingo viongozi wetu waliopo ili wasiiendeleze tabia ya rushwa.Hata hapa marekani rushwa tunaiona fika- wanawadaka representatives na ngawira ndani ya freezer- sema tu hapa bunge lao na watu wao wanawakalisha wahalifu kiti moto na kuwafukuza kazi na kuwafunga au faini. ndicho ningelilia Tanzania kuanzishwa pia. si kulindana kama kesi ya Dito. Wamarekani kila siku wanaimba unity, founding fathers, wana matamasha mbalimbali-yoote hayo ni katika kudumisha mshikamano wa kitaifa. Watanzania, ni kupiga madongo tu na kusifu wazungu. wazungu wana maendeleo yoote haya ni kwa ajili ya ubeberu, vita na sera za ukoloni mambo leo. Watu hawaoni hilo. Tafadhali jivunieni chenu.
Nakuunga mkono anoy wa 9:42:00PM , mi nawashangaa wanaomponda Baba wa Taifa Nyerere kuwa hakufanya kitu, haya na hao waliokuja baaada yake wamefanya nini? Huo ni ufinyu wa mawazo na uvivu wa kuchambua mambo, halafu kuonyesha ufinyu wake wa akili eti anaona kwamba TV ndiyo kipimo cha maendeleo. Pole zako kaka.
ReplyDeleteASIYE JUWA MAANA USIMWAMBIE MAANA !
ReplyDeleteMzushi
Nawaunga mkono maanon wote waliotoa pongezi zao na shukrani kwa Mwalimu. Na wapumbavu wote waliosema hakufanya chochote hao ndo materialists na hata kama ukiwafanyia nini kamwe hawata ridhika.Na kama wanuume/wanawake kweli tuwape nchi waongoze basi. Mwalimu ametupa sifa na heshima kubwa ulimwenguni kila ukisema unatoka Tanzania utasikia jina la mwalimu likitajwa. Tanzania ni mojawapo ya nchi chache sana zilizotumia lugha kumobilize watu wake hadi kupata uhuru wake, ndio ingekua vizuri kama kiingereza kingefundishwa mapema yaani kuanzia shule ya msingi(Masomo yote). Kwa upande mwingine kiswahili ni lugha ambayo karibu kila mtanzania anuwezo wa kusoma na kuandika.Isingekua Uongozi wa mwalimu leo hii tungekua kama wenzetu wanao pigana vita na kuchinjana kama kuku. Kama walivyosema wenzangu Mwalimu hakua malaika na alikua na mapungufu yake kama bibadamu yoyote yule. Jamani kama hamuwezi hata kwa siku moja kuongea vitu positivu kwani lazima mtoe maoni. Naona michuzi siku moja toa nafasi ya waosha vinywa wato matusi yao yote labda after that people will start talking sense.
ReplyDeleteZidumu fikra za Mwalimu Nyerere.
Porojo jingi humu ndani, na matusi..
ReplyDeleteTuelezeni kinaga ubaga jambo gani amefanya hapa Tanzania, kuwasaidia wananchi ikiwa wa hali ya chini, na hao wa hali ya kati..
UJINGA WA SIASA ZA UJIMA NA KUJITEGEMEA..
Nimekula YANGA(unga wa mahindi kwa miaka mingi tu enzi zake,) ambao unga huo huo hauli binadamu bali mafarasi marekani.
Kwa hiyo musitie mapenzi ya kipepeo..
Mukitaka mutaelezwa upuuzi wake mmoja baada ya mwengine.
Sikusoma kwa tiketi ya Nyerere bali nimeathirika kimasomo kwa ajili ya siasa na mipango ya Nyerere.
Leteni facts hatutaki porojo..
FIKIRI FIKIRI
We Any, unadau elimu ilikua haipo.. YEYE ndio kaja kuiangusha elimu, He is solely responsible for that count. Baada ya UHURU tulikua na system nzuri tu ya elimu, badala ya kuiendleza yeye kaiangusha on a free fall, for his own stupidity.. We are now crawling back to the same system he abandoned.. FOOL is just a fool, full of selfishness, that what I see him, yeye amestudy abroad on our money, on tanzanian wealth, wengine anatunyima, he SHOULD not have gone abroad to study his degree..
ReplyDeleteDamn I wish he is still alive, I can say that on his face, pambavu!
SI VIBAYA KUANDIKA MABAYA UA MEMA YA KIONGOZI CHA MSINGI NI KUHAKIKISHA YA KUWA JAMBO HILO LIMEFANYWA BAADA YA KUTAFAKARI, KUFIKIRI NA KUCHAMBUA KWA KINA BILA YA KUIRUHUSU JAZBA, MAPENZI AU CHUKI KUINGILIA KATI.
ReplyDeleteKIONGOZI KWA UPANDE FULANI HUWA KAMA KIOO CHA WATU WAKE KUJITAZAMIA NA KUPATA KIPIMO KATIKA KUFANYA MAMBO. HIVYO KIOO HIKI KAMA TUTAJIDANGANYA KWA KUKIPAMBA TU AU KUKIPAKA MATOPE TU, KUJIPIMA KWETU KUTAKUWA NA WALAKINI NA HIVYO HIVYO UTENDAJI WETU.
KUMSIFU MWALIMU TU PASI NA KUONYESHA UDHAIFU NI KUPELEKA PICHA HUSUSANI KWA VIONGOZI WALIOPO SASA KUWA WAFANYE VYOTE ALIVYOFANYA JKN. JE KWELI NI HIVYO TUTAKAVYO? MIMI NASEMA HAPANA KWANI ENZI YAKE:
WATU WALIKUWA WANAOGOPA KUTOA MAONI TOFAUTI;
WATU WALIWEKWA KIZUIZINI PASI NA KUFIKISHWA MAHAKAMANI KWA MUDA MREFU;
HAIKUWA RAHISI KUTEMBELEA BAADHI YA NCHI (KIBALI LAZIMA KITOKE IKULU);
KUJIHUSISHA BIASHARA KUBWA PASI KUDHANIWA TOFAUTI;
MWELEKEO NA FIKRA ZILIKUWA ZA AINA MOJA TU, NA NI LAZIMA ZITOKE JUU (VIONGOZI) KWENDA CHINI (WANANCHI);
UHURU ULIKUWA FINYU KATIKA NYANJA NYINGI MPAKA UCHUMI, ELIMU, UONGOZAJI WA VYOMBO MBALI MBALI NK.
WOGA UKATAWALA. UCHUMI UKAANGUKA KABISA.
KATIKA UCHUMI NADHANI ANAPATA 20%
KUSEMA YA KUWA AMEFANYA MABAYA TU, HILI HALIINGII AKILINI. MAMBO MAKUBWA KAMA:
UKOMBOZI WA NCHI;
KUENDELEZA UMOJA, UTULIVU, NA AMANI KATIKA NCHI;
KUJENGA HALI YA KUJIAMINI KUWA SISI WENYEWE TUNAWEZA KUFANYA MAMBO YETU.
ALIJIAMINI, ALISEMA BILA WOGA, ALIKUWA NA MSIMAMO THABITI. ALIACHIA MADARAKA, ALIWEKA UTARATIBU WA KUACHINA MADARAKA KATI YA MARAISI,
ALIACHA SERIKALI IKIWA IMARA. ALIACHA CHAMA CHAKE KIKIWA IMARA KABISA.
SIASA ANAPATA 80%
Wengi wanaopost hapa ni watoto wa juzi, Nyerere alikubali nakukili mwenyewe kwamba alifanya makosa, wengi wao hapa hawajui. Someni kitabu cha Nyerere.
ReplyDeleteNyerere Nyerere Nyerere alivyoiua Tanga, mpaka sasa nalia.
Pindi tulipopata uhuru tu, Nyerere alifuja kila kitu kilichoachwa na mkoloni.
Kiwanda cha sabuni tanga, anjari, magadi,mbao, nyama na vinginevyo viko wapi?. Kule Lushoto ilikua mzalishaji mkubwa wa kahawa, mashamba yakakabidhiwa watu wa ujamaa, iko wapi kahawa ya Lushoto sasa?
Kiwanda cha uchapaji enzi hizo afrika mashariki nzima kilikua kule Usambara.
Akawaondoa machifu wote wa makabila ambao walikua muhimu kwa jamii, sasa hivi tunawasoma kama historia tu.
Naongelea mkoa wa Tanga tu ulivyukua na utajiri wa viwanda kibao,
Mkonge, pamba, kahawa, chai ni baadhi tu vilivyokua vinazalishwa Tanga mbali na mahindi na mpunga, Haya mazao kwa sasa uzalishwaji wake sasa hata robo haufikii
Halafu watu wamesahau kipindi kile wanawake kujifungua kwenye foleni yakupata unga wa yanga.
Nyerere alitaka kutufikisha kama Mugabe anakokwenda sasa.
Nyerere Nyerere nikimkumbuka nitatapika.
Nyie ma annon hapo juu mna akili timamu kweli ??Hivi asingekuwa huyu mzee huyo baba yako angesoma bure!!Anyway nimekumbuka usemi wa marehemu babu yangu kuwa "kuna watu na viatu",
ReplyDeleteNa nyie hapo juu ni VIATU tena katambuga.
CHA CHANDU- UK
Cha Chandu acha ushamba,"eti kama asingekua huyo mzee baba yako angesoma bure?
ReplyDeleteNilikuambieni mwanzo kwamba wengi wanaopost hapa ni watoto wa miaka ya themanini.
Cha Chandu nakuuliza je Nyerere alisomeshwa na nani?
Hao mafisadi wakubwa waserikali sasa[wazee] walisomeshwa na mkoloni.
Halafu anakuja mkichaa mmoja anasema kama asingekua Nyerere baba yako angesomeshwa na nani?