jk akipiga ngoma kuzindua tamasha la sanaa katika chuo cha sanaa bagamoyo. mwaka huu tamasha hili litafunguliwa na makamu wa rais mh. dk. ali mohamed shein kesho jumanne. mengi mwngine ya chuo hicho utayapata kwa kubofya hapa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Siyo nguma ni ngoma kaka Michuzi. Nguma ni ukoo wa wachagga.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...