
Ni yule mrembo wa kitanzania ambaye anaiwakilisha nchikatika shindano la kumsaka Miss Africa United State,shindano lililoshirikisha wanafunzia wa kiafrikawasomao huko.
Rachel ambaye ni mdogo wa Miss Tanzania 1999 HoyceTemu alipata tiketi hiyo baada ya kushinda taj la MissAfrica California mapema mwaka huu.
Rachel anashindana na warembo wengine wapatao 18 kutoka nchi tofauti ikiwepo Congo, Senegal,Nigeria,Kenya , Sierra Leon,Uganda , Cameroon,Gambia,Ethiopia, Zambia, Gambia na South Afrika.
Warembo wengine wanaowania taji hilo ni kutokaBurundi,Liberia,Burkina faso, Sudan, Ghana na Guinea
Ili kumchagua Rachel bofya humo
Shindano hilo linatarajiwa kufanyika Novemba 3 hivyo Shime Shime Watanzania.....Tumtoe kimaso maso Rachelaweze ipeperusha bendera ya TZ.
sizani kama atashinda kwani wasichana wa burundi ni wazuri sana
ReplyDeletehata tukavote vipi hawa wote kama wabongo tu. Wanigeria wampe mwingine kuliko wa west africa!!!! Itakua vichekesho.
ReplyDeletewameshasema hata ukivote...poll hiyo haiaffect uamuzi wa majudge.....
Hii ni shindano la kwao kusaidaiana scholaship na wengine wanasindikiza tu.
She is a very beautiful lady with romantic eyes, smile to die for, beautiful complexion and wowowo la kukata na shoka udenda unakutoka kwa kuliangalia, guu la kihaya limenona kuanzia juu mpaka chini....halafu muweke yule Rachia sijui racia wako kama ataona ndani...Yeah! Black is beautiful!
ReplyDeleteMichu hebu nipenyezee email yake...maana natafuta mchumba.
Basi mtuonyeshe hao warembo wengine ili tuweze kupiga kura. Kwani lazima tumpigie huyu kwa vile ni Mtanzania? Haya mashindano kama ni fair to all, basi tuwache tujichagulie tunayemtaka ashinde!!!!!!! Kuna watanzania wengine wanaoshindana naye au yeye tu?
ReplyDeleteThis girl is beautiful, she was amazing in Carlifornia. Ohh my God she was the only girl from Arizona and was able to kick off the girls who are from Vegas and Carlifornia.
ReplyDeleteShe is full of talent, Rachel break the history since she is the First Tanzanian to be on the competition.
Wlifamnyia mtimanyongo wa Miss Arusha sasa angalia anavyotikisa. Rachel anang'ara Carlifornia kwani she is VIP for every event.
Please let us vote for her, she is something, am telling you guys. Let us vote for her every day, till Nov third. RACHEL I WILL VOTE FOR YOU. PLEASE SHOW THEM WHAT TANZANIA HAVE. GOOD LUCK MY DEAR. aLL THE BEST, AND i WILL BE IN ATL FOR YOU.
Rachel my dear, punguza make up kidogo. You wear too much make up yaani inaficha hata sura unabadilika kidogo. Tafuta professionals (make up artists) wakutengeneze. Yaani wala hauhitaji kukandika that much.
ReplyDeleteleo bwawa la maini mmepingwa basi anayeyusha stori .maneno mengi.ha ha ha
ReplyDeleteKAKA MICHUZI HATUWEZI KUWA TUNASUPPORT VITU VINGINE AMBAVYO HAVIELEWEKI...HII KITU NI NO NO NO KABISA HUYU DEMU HAWEZI KUWA MISS KITU CHOCHOTE ANA MTINDI KAMA ANANYONYESHA MAJAMBAZI YA KIZAIRE HELLLLL NO..TUMEKATAA KUMPA KURA ZETU HATA KAMA DADA YAKE ALIKUWA MISS JOSEPH KUSAGA TANZANIA...
ReplyDeleteMichuzi sasa na wewe uwe fair, tumpigie kura kwa sababu ni Mtanzania mwenzetu au tumpigie kura kama anafaa? Mi haijalishi ni nani, nitampigia aneyefaa, maana na mimi katika maisha yangu nimefanikiwa on merit na sio kwa sababu mtu alinijua, tukienda hivyo watoto wa wakulima hatuwezi kufika mbali. Maana haitakuwa haki kumnyima kura Mburundi au msenegal kama anafaa ati kisa, nimpe mtanzania mwenzangu. Ila kama Rachel anafaa basi nitampa kura yangu, ila kigezo cha Utanzania mimi sikifagilii! Nafagilia uwezo wa mtu.
ReplyDeleteKila lakheri washiriki wote!
Yeah she's attractive but my vote goes to Miss Eritrea,she's simply drop dead gorgeous.
ReplyDeleteNo offense to my Tanzanian brothers and sisters lol!
MH!
ReplyDeleteMIE WALA SIELEWI!
Huku Marekani kuna sikukuu inaitwa Haloween..ndo wanavaa make-up namna hiyo..I don't know about your talents lakini jamani punguza kidogo hiyo make-up....hayo ni madude ya weupe..sisi wabongo natural looks zinatosha..au watafute wamassai wakufundishe kuweka make-up..Ila nakutakia kila la kheri..japokuwa competition unayo dada....!!
ReplyDeleteKwa kweli Rachel chakula ya mtoto anayo. Kama majudge watafikiria na hilo basi kesha kuwa MISS.
ReplyDeleteDADA TUNASHUKURU SANA KWA JUHUDI ZAKO NA MWENYENZI MUNGU AKUSAIDIE. SISI WABONGO HATUVOTI HOVYO HOVYO MPAKA TUONE MUWAKILISHI ANALIPA KAMA HULIPI HUPATI KITU DADA.HII ITATUSAIDIA KUWA NA WAREMBO SAHIHI. FLAVIANA ANALIPA.
ReplyDeletehuyu demu amezeeka,si apumzike au huu ukoo wa Temu tangia Hoyce wameona hii ndiyo dili na hakuna mambo mengine katika maisha?
ReplyDeleteJamani nataka kuwaambieni Rachel kuwa na mtindi ni Mungu kampa. Kwanza ndio fashion marekani angalieni waakina Pamela Anderson wanavyofanya implants ili wawe na maziwa makubwa. Huyu dada ndiye mtanzania aliyefunika Carlifornia, Arizona na Las Vegas. Sio tuu kachaguliwa bila vigezo. Hata ukiangalia website event ya Carlifornia Rachel ndio kafunika.
ReplyDeleteCha kushangaza wewe mpumbavu unayetukana, haujalazimishwa kuvote, bali umeombwa kwa hiyo huo ni uamuzi wako.
Ninachooomba michuzi, mwambie Rachel akutumie more pictures kwani anapicha nzuri, saana, na yeye mwenyewe bomba kishenzi, kwa wale ambao hamjamuona.
Binti Rachel ndiye mtanzania pekee anayetuwakilisha, na ukitaka undani wake soma biography yake. Lakini ni MTANZANIA PEKEE. Kila mtu anauamuzi wake, hivyo ukishabofya wewe nendaga uakachague umpendaye, but Rachel is the HEAT. Subirini moto wake, kwani anaongea na stage na anajua kuvutia watu stejini. This girl is something mimi namtabiria mema, na dada ukishinda niko tayari kutoa ticketi ili uende tanzania ukawaonyeshe what you did. Allllllllllll the best RACHEL. Good luck!!!!
Ushauri wa bure kwa miss Temu. Biography is too long with full of lies. International student active member pale sio mahala pake. Make short and clear, kuexplain mpo wangapi, sijui kuna kaka yako mlevi sijui nini haimake sense. Make short and clear that is american way baby. CV ndefu kama Hilary clinton.
ReplyDeletebila kusema uongo miss TZ hamfikii hata kidogo wa somalia, eritrea, ethiopia wala nigeria. ingawa mimi ni mzalendo lakini nitaenda na miss ERITREA kwa umiss ni uzuri wala sio utaifa.
ReplyDeletekasera
kansas city
ndugu yangu mithubu hiyo NIDO mmmhhh!?!?!?
ReplyDeleteanon wa Tarehe October 4, 2007 3:04:00 AM NAMBA 4 KUTOKA MWANZO
ReplyDeleteACHA UJINGA kuvutia WAHAYA WEWE muhaya nini NYAMBAFU huyu demu NI MUCHAGA BABAANGU POLE SANA
mnaochonga mtatulia tuuu tumeshawazoea WAKUJA NYIE HATAKA KAMA SIO MZURI MCHUNA NGOZ HUVUTIA KWAKWE akifanikiwa NI MANUFAA KWAKWE TAIFA NA WEWE PIA KENGE Nyie
X_X
kwa kweli hiyo kitu ya ERITREA sio mchezo...dada Temu samahani hapo hupati kura yangu lazima mzuri ashinde
ReplyDeleteMimi mtanzania lakini nitampigia huyo wa Kenya
ReplyDeleteNASIKITIKA BINTI UMESEMA UONGO! KUJAZIA RESUME YAKO. UMEDAI WEWE NI MWANZILISHI WA BUNGE LA VIJANA.KWA HARAKAHARAKA; UMEZALIWA MWAKA 82, MEANING UNA MIAKA 25.BUNGE LA VIJANA LILIFUNGULIWA PALE MSIMBAZI MWAKA 98.WITH MAJORITY OF STUDENT BEING FOR 5 AND 6.SWALI AT 16 WERE U ALREADY IN HIGH SCHOOL?????.THIS WILL QUESTION OTHER CREDENTIAL OF YOURS!!! ANYWAY U WILL PATA MY KURA!
ReplyDeleteHonesty, Competition anayo. Hiyo photo shoot siku hiyo waliokua naye walimshauri vibaya too much makeups. na hii picha wameiedit ikawa too red.
ReplyDeleteKuna picha za wengine ziko natural kishenzi...wow....kwa wale tusiokujua hizi picha zimeharibu sana...Goodluck
WE ANON WA 8:17 ANGALIA MANENO YAKO.KUMBUKA MWANAMKE NI MAMA,DADA,SHANGAZI YAKO.USITUMIA MANENO KAMA ANA MTINDI SIJUI NINI.WEWE AMESALIWA WAPI? NI MUTU YA WAPI WEYE? ACHA MAWIVU YAKO EEE.
ReplyDeleteKAMA UNAMCHUKIA MEZEA BASI.KNOW ALL
YOU SAY BUT DONT SAY ALL THAT YOU KNOW.
JUNIOR-TURKEY
Mi nimekubali Miss wa DRC. Her smile blows me off. Temu acha uzushi kama sista yako
ReplyDeletehawa watu ndio wapotofu wakubwa wa jamii wanafanya mambo ya umiss yanamtazamo tofauti jana nili vote kimakosa anyway kazi kwako mungu nisamehe shetani aliniingia
ReplyDeletejamani waangalieni kinadada hawa Nigeria na Senegal i think ni wazuri zaidi ya huyu dada yetu.....
ReplyDeleteSenegal na Nigeria ni wazuri zaidi yake.
ReplyDeletetanzania ni kwa mwendo wa uongo uongo tu ndio uawin... Unashangaa CV ya huyu mwanadada ingia bunge la waheshimiwa wetu uone vichekesho...
ReplyDeleteKuna mbunge namfahamu akabisha ameonyesha ana degree mbili hahahahhahah.....
piga ua miss eritrea lazima aenda labda akina michuzi wafanye yale waliyoyafanya kwenye mizz tz 2007. yetu macho...
ReplyDeletekasera
kc
Wewe anony wa 4.40 watoto wa vikopo utawajua tu lazima watie matusi tu! Duh. Hivi umeshamjua baba yako ni nani? au ndio hasira za kutomjua baba yako mzazi unataka kurusha matusi kwa kila mtu. Mungu hakukosea kukufanya mtoto wa kikopo.
ReplyDeleteMichuzi utaniambia, labda niwe nimekufa na hii iwe ni rekodi, RACHEL NDIE ATAKAYESHINDA, kubalini mkatae ni shauri yenu.
ReplyDeleteNa kwa ufupi tuu, ningependa kuwajulisha bunge la vijana lilianza in 1997, amabapo shule za Dar-es-Salaaam ikiwepo, Tambaza, Makongo(Rachel alipokua akisoma), Shaaban Robert, Jangwani, Zanaki, Azania na baadhi zake ziliunda bunge hili. Kiongozi mkuu alikua ni Sebastian Ndege akiwa muwakilishi kutoka Tambaza.
Nakumbuka rachel alikua Form two, alipokuja, she was very motivated and signed up for the bunge la vijana.
Kwa ufupi Binge la vijana linahusu wanafunzi wa sekondani tuu, kwa kipindi hicho. Na likikua likifanyikia Karimjee Hall.
Watanzania hamtakaa tuwe na maendeleo, huyo fala Kasera wa Kansas anaongea ushenzi tuu kwanza mazamiaji unaropoka tuu. Kama hutaki kuvote hujalazimishwa acha, na ucha alaaa.
Rachel, wasikuzingue, YOU GOT IT ALL. Tunakusupport for every move you have made till today. Kaza mwendo ufike mama. We love you.
Nipo bize kidogo nasikiliza "brand new second hand" ya PETER TOSH.
ReplyDeletewewe anony 8:57AM take your words back eti labda uwe umekufa!!!! Nakwambia labda uanzishe shindano lako umpe ushindi wa bure lakini hata kama ni mtanzania mwenzangu...penye ukweli lazima pasemwe.
ReplyDeleteWewe Karigabagaho...acha upuuzi...unafikiri mabunge ya secondary yanamfanya mtu kuwa Miss somebody? Kama hujui kuvaa make-up utakuwaje Miss somebody? Labda wa huko gezaulole na kigugumo..!! Hapendwi mtu hapa..kama hujui kuvaa make-up na nywele kama ndama aliyetoka kulambwa na mama yake...Lol..usituletee za kulete..hapo dada Rachel...."IMEKULA KWAKO".....!!!
ReplyDeleteGood luck on this competition. I am routing for you.
ReplyDeleteHalafu watanzania tuwe na tabia ya kupeana moyo badala ya kuvunjana moyo..ndio namna pekee ya kukuza vipaji. sasa hapa wengine mmeshaanza ooh mara CV, sijui imekuwa nini, who cares? wewe unayesema huyu binti amedanganya kwenye CV yake, wewe umeshadanganya mara ngapi?
Dada huyo kweli ni mzuri lakini mbo ni mshamba sana hiyo rangi ya mdomo yatatarisha namna hiyo asipake sana hivyo ataonekana mnigeria bure.Wapambe tupo atutafute.Kura nitapiga lakini ngoma nzito wadada wa west wababe san watpeana wenyewe na sura zao nzito.Wadau pigeni kura msilete vilomo lomo sasa mkawapigie wakenya na wazambia maana hao ndio mnaoa kila siku eti nini hakuna anayewaangalia na kila kitu yes sir.Watanzania wazuri jamani,nyie mnao oa waganda na wazambi kweli mnakosa vilimbwende.Mimi siono ubaya wa huyu dada ila tu mekapu zipunguzwe ziwe neutral.
ReplyDeleterachel mwaya usiwasikilize hawa mambwiga..!!
ReplyDeletemnasema tu uzuri uzuri...nyie mlipo huko ni wazuri..????
Km yupo mzuri kushinda huyo RACHEL,JITOKEZE BASI TUKUONE?????PAMBAFFFFFFFFFFFFFFFFFFFFFF!!!
nani kathibitisha kuwa aliyoyasema kny CV yake ni uongo???
ht kama kweli kadanganya nani ambae hajadanganya?????wangapi hapo mnatumia PC za ofisini,nafasi mlizozipata kwa njia ya udanganyifu?vyeti bandia na upuuuzi mwingine??!
sijui mkoje??,eti jitu linasema waaaazi unaenda ku-mvote mtu wa ERITREA...sasa UNAMKOMOA NANI???si uende??hovyooooooooo!
Ney,bham