Home
Unlabelled
simba
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
PRISONS SIKU ZOTE NI MBABE WA SIMBA ! JAMAA WALE KWELI NI WAKALI KINOMA, SIMBA HUWA ANASHIKWA SHARUBU NA KUWA MPOLE SANA. PRISONS NI KIBOKO KWA KWELI NA MWAKA HUU SIJUI NI NANI ATAWASHIKA. OSWALD MORRIS NA YONAH NDAMBILA WANAPIGA BAO KAMA HAWANA AKILI NZURI.
ReplyDeleteMZOZAJI
Michiu hii hoja si mahala pake hebu tupe ile stori ya JK alipokwenda mwanza kwenye campagn nakumbuka kuna mjamaa alitaka kumkata mtama akakutw na mahirizi kibao..kuna jamaa huku ughaibuni hawaijui nilipowasimulia ukazuka ubishi mkubwaa wanaona mimi fix..hebu nisaidie ndugu yangu niondokane na jina hili la ufix
ReplyDeleteSasa hao wachezaji wa Simba walikuwa wanambong'olea nani?
ReplyDeleteNajua wapo mashabiki wa Simba ambao ni mabingwa wa kubishana lakini hawawajui wachezaji wao kwa sura.
ReplyDeleteKwa faida tu kwao, kuanzia kushoto waliosimama: Juma Kaseja, Nico Nyagawa, Said Sued,Said Kokoo, Joseph Kaniki, George Owino.
Walioinama kutoka kushoto: Yondani, Kisiga, Moses Odhiambo, Yahaya Akilimali na Sudi Abdallah.
Walikuwa wanawabong'olea prisons mbeya..ti ti tiiii
ReplyDelete