je, unenguaji katika muziki ni uhuni. pata jibu la swali hilo na mengine mengi toka kwa malkia wa unenguaji nchini aisha madinda katika www.bongocelebrity.com

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. Hao watoto aliozaa Aisha Madinda, amezaa na Fikiri Madinda?

    ReplyDelete
  2. nawapenda twanga wazee wa mugongozzzzzzzzzzzzzzzzzz wawa keep it up gelz

    ReplyDelete
  3. Wanenguaji ni kama wafanyakazi maofisi hiyo lazima ieleweke, tatizo bwana hawa wenzetu kujiheshimu kwao ni kazi sana, maana wenyewe wanajidharau na kujirahisisha ovyo na kujisahau kuwa wapo kazini. Sikatai licha ya kudharauliwa na watu kuwa wanajiuza wangekuwa ngangali haya yote yasingetokea na watu wangechukulia wako kazini!

    ReplyDelete
  4. Tanzania: Country to Spend $1m in U.S. Tourism Promotion Campaign


    Apolinari Tairo


    Tanzania plans to spend $1 million (Tsh1.2 trillion) on its first ever tourism-marketing campaign in the US, which will concentrate television and outdoor advertising.

    The campaign, being undertaken under the banner of "Tanzania, the Land of Kilimanjaro, Zanzibar and the Serengeti," is expected to attract one million tourists annually.
    President Jakaya Kikwete launched the campaign in major American cities when he attended the UN General Assembly recently.

    Television commercials will be aired on CNN, CNN Headline News, CNN Airport as well as CNN.com with the aim of persuading more American tourists to visit the country.

    The campaign was launched to coincide with the ongoing campaign in the US to attract black American investors to participate the Eighth Leon Sullivan Summit to be held in Tanzania mid next year.

    More investments in the accommodation and transportation sectors are needed for Tanzania to attract one million tourists by 2010.

    This essentially means building more tourist hotels in Serengeti National Park and the northern tourist circuit of the country.

    Minister for Natural Resources and Tourism Prof Jumanne Maghembe last week said the media campaign, together with a simultaneous Tanzania Travel Agent Specialist Programme offered by Travel Agent University, will help the country reach this goal by 2008.

    Tanzania currently receives 612,000 visitors per year.

    The marketing campaign in the US is also expected to increase the tourism annual earnings from $700 million to $1 million by 2010.

    "Tanzania allows unconditional repatriation of net profits, dividends, royalties and foreign loan repayments to foreign investors in the tourism sector," he said.

    ReplyDelete
  5. anon hapo Juu, hilo commercial la Tanzania nimeliona leo CNN, i was so impressed felt so good to see Tanzania inaanza kuamka

    ReplyDelete
  6. Hivi huchoki kuweka picha za Twanga kila kukicha? Maana picha za hao Twanga zimewekwa mara nyingi kuliko picha nyingine yeyote ile. Hebu tutafutie picha nyingine bwana! :(

    ReplyDelete
  7. Uhuni mtupu

    ReplyDelete
  8. Tanzania on CNN : Mi bado sijaliona hilo tangazo. Hebu kama kuna mhusika anasoma maoni haya aliweke basi kwenye You Tube halafu awasiliane na Michuzi apost hiyo Link.

    Au Michuzi naomba uwashtue hao maafisa wa Utalii waliweke tangazo la nchi yetu kwenye Youtube.com

    Asante

    ReplyDelete
  9. wadada wamepaka poda ka machangudoa.Kuvaa gani hiyo nayo,visuruali vya mpira,vitawaunguza moto.Viuno gani bwana wa kawaida tu hawa nao.Vaa yao hainistui,na mekapu hizo za mtaa wa kongo basi tulie tu.Hebu waende shule wakajiendeleze kiakili kwanza.

    ReplyDelete
  10. Mchuki yule wa nne pale kama kalemewa hivi au anaenda namba two hapo.

    ReplyDelete
  11. MAMBO KWA SOKSI

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...