Home
Unlabelled
ushelisheli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
uko ushelisheli ndio wapi?
ReplyDeletelakinai kaka michuzi naweeee
unanibada kiuno kwa mbavu
Hivi mnakumbuka ni walimu wangapi ...kama wewe ni msichana walishakutaka ukiwa shuleni...Mimi nakumbuuka o level...mwalimu alikua ananisumbua mpaka shule nilikua naona chungu lakini wa kumwambia huna. Unaogopa kusema nyumbani kwa vile utaambiwa wewe ndio unamtaa huyo mwalimu au unadanganya. Basi kila siku anataka ufanye usafi kwenye ofisi yake. Nilikua siendi. Na kunichapa alikua ananichapa sana tu.
ReplyDelete......Ilikua taabu sana. Hivi wanawapa adhabu hao wasio na akili na kubaka watoto wa watu
Mwalimu mkuu wa shule ya Ipole ambaka mwanafunzi
2007-10-13 14:19:18
Na Radio One Habari
Jeshi la polisi mkoani Tabora linamshikilia mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Ipole wilayani Sikonge Bwana Samson Mwaibale kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita.
Mwanafunzi huyo anadaiwa kubakwa nyumbani kwa mwalimu huyo mwishoni mwa wiki iliyopita katika kijiji cha Ipole.
Kamanda wa polisi wa mkoa Bwana Muhud Mshihiri amedai kuwa siku ya tukio mwanafunzi huyo alifika nyumbani kwa mwalimu mkuu kuchukua funguo kwa ajili ya kufanya usafi ofisini kwake na ndipo alipombaka baada ya kumvutia chumbani kwake.
Mwanafunzi huyo aliwaeleza wazazi wake juu ya tukio hilo baada ya kupata maumivu makali sehemu za siri na kutokwa damu nyingi na ndipo kwa ushirikiano wa Ofisa Mtendaji wa Kata, Bwana Eutack Mtondo walitoa taarifa polisi na mtuhumiwa kutiwa mbaroni.