Wadau wa familia ya mh. Mutaki walio ushelisheli toka shoto James, Kelly, Naki, Felix na Baraka tunakutakia anko Michuzi na wadau wote duniani Iddi Mubaraka na Nyerere Day njema.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. uko ushelisheli ndio wapi?

    lakinai kaka michuzi naweeee
    unanibada kiuno kwa mbavu

    ReplyDelete
  2. Hivi mnakumbuka ni walimu wangapi ...kama wewe ni msichana walishakutaka ukiwa shuleni...Mimi nakumbuuka o level...mwalimu alikua ananisumbua mpaka shule nilikua naona chungu lakini wa kumwambia huna. Unaogopa kusema nyumbani kwa vile utaambiwa wewe ndio unamtaa huyo mwalimu au unadanganya. Basi kila siku anataka ufanye usafi kwenye ofisi yake. Nilikua siendi. Na kunichapa alikua ananichapa sana tu.
    ......Ilikua taabu sana. Hivi wanawapa adhabu hao wasio na akili na kubaka watoto wa watu



    Mwalimu mkuu wa shule ya Ipole ambaka mwanafunzi

    2007-10-13 14:19:18
    Na Radio One Habari


    Jeshi la polisi mkoani Tabora linamshikilia mwalimu mkuu wa shule ya msingi ya Ipole wilayani Sikonge Bwana Samson Mwaibale kwa tuhuma za kumbaka mwanafunzi wa darasa la sita.

    Mwanafunzi huyo anadaiwa kubakwa nyumbani kwa mwalimu huyo mwishoni mwa wiki iliyopita katika kijiji cha Ipole.

    Kamanda wa polisi wa mkoa Bwana Muhud Mshihiri amedai kuwa siku ya tukio mwanafunzi huyo alifika nyumbani kwa mwalimu mkuu kuchukua funguo kwa ajili ya kufanya usafi ofisini kwake na ndipo alipombaka baada ya kumvutia chumbani kwake.

    Mwanafunzi huyo aliwaeleza wazazi wake juu ya tukio hilo baada ya kupata maumivu makali sehemu za siri na kutokwa damu nyingi na ndipo kwa ushirikiano wa Ofisa Mtendaji wa Kata, Bwana Eutack Mtondo walitoa taarifa polisi na mtuhumiwa kutiwa mbaroni.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...