Home
Unlabelled
wangoni
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
MICHUZI, MAHELA HAYO YANAMFUATA MKAPA!
ReplyDeleteEncouraging democracy
The winner of the Mo Ibrahim prize for African governance is to be announced on 22 October at a ceremony in London hosted by former UN Secretary General Kofi Annan.
Mo Ibrahim
Sudanese businessman Mo Ibrahim is sponsoring the prize
The financial backer of the prize, the Sudanese businessman Mo Ibrahim - the man behind Africa's successful CelTel mobile phone networks - is awarding $500,000 (£245,000) per year for 10 years, and $200,000 (£98,000) per year thereafter, for life... so the prize is actually more than the $5m (£2.45m) that made Joaquim Chissano gasp.
The idea is to encourage democracy, transparency and decency.
All 11 former presidents who left office in Africa in 2004, 2005 or 2006 are automatically eligible for consideration.
A spokesman for Mo Ibrahim said the "long list" of candidates (i.e. the list of eligibles who have not been selected in any way by the judges) was, in no particular order:
* Mathieu Kerekou (Benin)
* Azali Assoumani (Comoros)
* Domitien Ndayizeye (Burundi)
* Henrique Rosa (Guinea Bissau)
* Maaouya Ould Sid'Ahmed Taya (Mauritania)
* Joaquim Chissano (Mozambique)
* Sam Nujoma (Namibia)
* Benjamin Mkapa (Tanzania)
* Abass Bonfoh (Togo)
* Gnassingbe Eyadema (Togo)
* Bakili Muluzi (Malawi)
* France-Albert Rene (Seychelles)
* Abdiqassim Salad Hassan (Somalia)
Michu hebu twende mbele jamani hawa watu wa zamani wa nini? habari zao pelekeni meuseum jamani.
ReplyDeletehizi picha sio walipigwa saa chache kabla hawajanyongwa na wajerumani? ndio maana picha halisi ya mtwa mkwawa huwezi kuipata.
ReplyDeleteMr Cooper anapokelewa na naibu waziri MMMh tanzania tunakwenda wapi, mawaziri wetu hawana kazi kiasi hicho ehh MUNGU tusaidie
ReplyDeletehttp://mwananchi.co.tz/
Huyo anayesema watu hao wazamani ni wa nini, ni wale waliozaliwa juzi, hawajua kabisa faida ya machifu wakati huo, akaja Nyerere akawaondoa.
ReplyDeleteWewe kijana uliyezaliwa juzi, ukifikisha uzeeni utakua pia hutaki kuwa na picha za utotoni?
Hawa wazee wetu wengi walikua waadilifu,lakini baadhi yao walitawala bila uadilifu wakawauza watu wao utumwani,pia waliuza na ardhi yao.Ila watajitetea/tunawatetea kwamba hawakuwa na elimu.Je viongozi wa sasa wanaongoza nchi kwa uadilifu? Kama mtakumbuka azimio la Arusha,mambo mazuri yaliyokuwapo katika azimio hilo kama suala la utawala bora na uadilifu kitu ambacho Tanzania yetu ya leo haina watu wa namna hii tena.Azimio lilitaka viongozi wasijihusishe na biashara kuhofia mgongano wa kimaslahi.Je ni viongozi wangapi leo hii wanalitekeleza hili? Hata vinara wa ubepari hili jambo wanaliwekea umuhimu.Leo hii sijawahi kusikia Bill Clinton akimiliki kampuni au kuendelea na biashara zake na hii ni hadi atakapomaliza muda wake(nasikia miaka 10). Siku hizi si ajabu kusikia waziri fulani ni 'body member' wa kampuni fulani tena inayogongana mojakwa moja na wizara yake. Usawa wa kibiashara katika mazingira haya haupo kabisa hapa na hii huchochea rushwa.Viongozi kama kina Chifu Mkwawa ni wachache kabisa katika jamii ya viongozi wetu wa Tanzania. Tujifunze kutokana na viongozi wetu hawa (waliokua safi)wa zamani waliojali uzalendo
ReplyDeleteAnonymous wa 5:43PM unasahau kuwa Waziri Diria na wengine walienda airport kumpokes Michael Jackson!
ReplyDelete