Mkubwa kum salaam, naomba unisamehe nimepitia uani,barazani mtandao wangu umekataa. Naomba anika hapo barazani. Hawa washikaji toka nimemaliza nao elimu ya kusomana kuandika kiswahili (elimu ya msingi) karibu miaka21 iliyopita sijui wapo kona ipi ya dunia hii!!! Ebana ee!! washikaji tuliomaliza elimu ya msingi pamoja atakaeona jina lake tuwasiliane:
.HUSSEN MKAMBALA,
.ALVIN MBWAMBO,
.ANDREUW ASENGA.
.SETH MIHAYO
.AHMAD RAJABU,
.IDDI TUMBO
MOBILE: 81 80 34206532
Kutoka kwangu,
YASSIR FADHILI (Arafat)kijijini.
wewe unasema miaka 21 iliyopita unafanya na unawazeesha wenzako waonekane wazeeeeeee. Ungesema tu mwaka mliomaliza wote darasa la saba na shule kieleweke.
ReplyDeleteMajina mengine especially ya kiislamu huwa ni wengi wenye jina linalofanana sasa kama Ahmad Rajabu ni huyu ninayemfahamu kweli he is too young to be graduated 21 yrs ago. Nitamtumia hii link aone labda ni yeye labda sio yeye...Good luck
anonymous usigonge jiwe! Kama Ahmad Rajabu alisoma na muandika Yassir Fadhili au anakumbuka angalau mmoja ya hao walioandikwa, basi atajijua kuwa ni yeye. Nakubaliana nawe kuwa ni better kutoa more info: mwaka na shule nk.
ReplyDeleteMie nilimaliza Primary Karume (Mwembechai) 1977 na sijioni mzee, na wale niliosoma nao na wako hai bado tukikutana hatujioni wazee (tunakumbushana Wander Boys, Zinga Pool)na hatusahau kuwanyie na watoto wetu ndo mlicheza nao mpira ndimu.
Blackmpingo
kweli mjomba kama alivyosema mjomba hapo juu ni muhimu shule gani na mwaka.Nakutakia kila la kheri ktk utafutaji wako mjomba.
ReplyDeletebro michuzi nitundikie hii,namtafuta paschal simon masanilo tuliachana makurumla shule ya msingi 1974,taarifa zisizo rasmi mara ya mwisho alikuwa chicago,mawasiliano yangu +225732111888,email dunny1958@hotmail.com
ReplyDeleteKwa kukusaidia tu SETH MIHAYO yupo ARUSHA anafanya kazi Tanzania National Parks (TANAPA)Anuani yao 3134 Arusha.
ReplyDelete