Mkubwa kum salaam, naomba unisamehe nimepitia uani,barazani mtandao wangu umekataa. Naomba anika hapo barazani. Hawa washikaji toka nimemaliza nao elimu ya kusomana kuandika kiswahili (elimu ya msingi) karibu miaka21 iliyopita sijui wapo kona ipi ya dunia hii!!! Ebana ee!! washikaji tuliomaliza elimu ya msingi pamoja atakaeona jina lake tuwasiliane:
.HUSSEN MKAMBALA,
.ALVIN MBWAMBO,
.ANDREUW ASENGA.
.SETH MIHAYO
.AHMAD RAJABU,
.IDDI TUMBO
MOBILE: 81 80 34206532
Kutoka kwangu,
YASSIR FADHILI (Arafat)kijijini.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 5 mpaka sasa

  1. wewe unasema miaka 21 iliyopita unafanya na unawazeesha wenzako waonekane wazeeeeeee. Ungesema tu mwaka mliomaliza wote darasa la saba na shule kieleweke.

    Majina mengine especially ya kiislamu huwa ni wengi wenye jina linalofanana sasa kama Ahmad Rajabu ni huyu ninayemfahamu kweli he is too young to be graduated 21 yrs ago. Nitamtumia hii link aone labda ni yeye labda sio yeye...Good luck

    ReplyDelete
  2. anonymous usigonge jiwe! Kama Ahmad Rajabu alisoma na muandika Yassir Fadhili au anakumbuka angalau mmoja ya hao walioandikwa, basi atajijua kuwa ni yeye. Nakubaliana nawe kuwa ni better kutoa more info: mwaka na shule nk.
    Mie nilimaliza Primary Karume (Mwembechai) 1977 na sijioni mzee, na wale niliosoma nao na wako hai bado tukikutana hatujioni wazee (tunakumbushana Wander Boys, Zinga Pool)na hatusahau kuwanyie na watoto wetu ndo mlicheza nao mpira ndimu.
    Blackmpingo

    ReplyDelete
  3. kweli mjomba kama alivyosema mjomba hapo juu ni muhimu shule gani na mwaka.Nakutakia kila la kheri ktk utafutaji wako mjomba.

    ReplyDelete
  4. bro michuzi nitundikie hii,namtafuta paschal simon masanilo tuliachana makurumla shule ya msingi 1974,taarifa zisizo rasmi mara ya mwisho alikuwa chicago,mawasiliano yangu +225732111888,email dunny1958@hotmail.com

    ReplyDelete
  5. Kwa kukusaidia tu SETH MIHAYO yupo ARUSHA anafanya kazi Tanzania National Parks (TANAPA)Anuani yao 3134 Arusha.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...