amani akimpa tafu ambwene yesaya kwenye uzinduzi wa albamu mpya ya ay pamoja na viwalo na tovutu klabu ya maisha usiku kuamkia leo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. Michuzi eeh, tafadhali hebu niweke wazi, vp AY alizungumzia uhusiano wake na huyo mtoto wa kenya...manake nlisoma news flan hivi eti AY alimdunga kibend Amani!!! anyone out there knows anything obout these guys please tell me...

    ReplyDelete
  2. Michuzi hata mimi nilipata issue hii ya AY na Amani katika Newz moja hivi, ebu tuweke wazi, au kama vp mwendee hewani ili tupate uhakika wa jambo hili.

    ReplyDelete
  3. Na miye niliwahi sikia kuwa Amani ni wifi yetu,tena alikuwa mjamzito hebu tufafanulie.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...