
KESI NAMBA 1474 YA 2007 MAHAKAMA YA KISUTU, DAR
SHAILESH PRAGHJI VITHLANI
ANATAKIWA KUISAIDIA POLISI JUU YA TUHUMA ZA UNUNUZI WA RADA. UKIMUONA RIPOTI POLISI KARIBU YAKO AMA PIGA SIMU INTERPOL 33-472 44 700
http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/eg/2007-11-09T10_37_26-08_00
SHAILESH PRAGHJI VITHLANI
ANATAKIWA KUISAIDIA POLISI JUU YA TUHUMA ZA UNUNUZI WA RADA. UKIMUONA RIPOTI POLISI KARIBU YAKO AMA PIGA SIMU INTERPOL 33-472 44 700
http://mwanakijiji.podOmatic.com/entry/eg/2007-11-09T10_37_26-08_00
Mnamuonea Tu Mbona Kama Hawa Tunao Kibao Tu Hapa Bongo Au Kawazidi Mgao??? Muacheni Alifuata Kanuni Za Chukua Chako Mapema Tatizo Nn?.Kazi Kweli Kweli
ReplyDeleteDah kusaidia Polisi usisikie,Labda polisi wa huku Ughaibuni nako sina hakika ukiwasaidia inakuwaje,lakini wa Home kule ni balaa asee usisikie kuwasaidia,utajuta!Msaada hugeuka majuto!!
ReplyDeleteIla Sasa this rada case is becoming more serious,Maana wakati jamaa wananunua sijui hawakusikia kelele ama ndio kutia Pamba masikioni??Kwa mtaji huu tutajua mengi ngoja tu!!
Huyu Vithlani na Mwenzake Somaiya Inabidi waelezi Jamaa gani wa Serikalini Wameshirikiana nao maana sio wao wenyewe!!
Nilisoma na Mtoto Mmoja Wa Vithlani..Pambaf alikuwa anaringa sana maana alikuwa na fedha kweli,kumbe alikuwa ala pesa za walipa kodi wavuja jasho wa Tanzania ambazo ziliibiwa na Baba Yake!!
We Need Accountability in Tanzania and Africa Generally!!
God Bless Tanzania,God Bless Africa!!
FISADI MWINGINE! WASIENDE MBALI, YUKO INDIA, PAKISTAN, BANGLADESH AU INDONESIA. IT VERY EASY TO HIDE ON THESE CONTRIES IF U HAV A BRIT PASSPORT. KUMBUKA KAMA ANA BRIT PASSPORT HE PROBALY POSSES OTHER FIVE OF AFRICAN COUNTRIES NA CANADA OR AUSTRALIA. NA WANAOMTAFUTA WASITURIDHISHE TU TUNATAKA KUSIKIA ACCOUNT YAKE FROZEN!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! THAT IS WHAT MATTERS FIRST, IN USA TAKING CARE OF THIS WHILE THEY DEAL WITH U.
ReplyDeleteHUYO NI MPAMBE TU.............. ANAE HUSIKA MNA MJUA
ReplyDeleteSASA WAJAMANI TUNAMTAFUTA MTU WAKUWASAIDIA POLISI.............
ReplyDeleteWAKATI MKAPA YUPO NYUMBANI
YEYE NDIYE ANAYEFAA KUSAIDIA POLISI
SASA MKAPA MBONA HAKAMATWI WAKATI YEYE NDIYE ALIYETIA SAINI?????
ReplyDeletendo mnamtafuta leo wakati mmeshamtafutia sehemu ya kujificha, hapo mnawapunga macho wananchi na bongo yalivo mazozo kweli yataamini
ReplyDeleteKama muuaji aliachiwa je unategemea huyu atakamatwa,hii ni danganya toto tu,kwani yeye ndiye aliyeidhinisha malipo.In procurement prcedure everything is clearly stipulated under Procurement Act.Sasa kama taratibu zote zipo na zikavunjwa basi waanze kushughulikiwa wote waliohusika na mchakato mzima wa ununuzi wa Rada hiyo.
ReplyDeletewatanzania tuache usanii. hii ni kiinimacho. tumesahau jinsi Mkapa alivyolishulipalia suala hili. alivyolisisitiza hata kutoa maneno ya kashfa kwa waliolipinga. alikuwa kama mbogo aliyejeruhiwa. kumbe alikuwa analinda maslahi yake. sasa kwa nini yeye asiwe wa kwanza kuisaidia polisi. je ameshaojiwa. TUTALINDANA MPAKA LINI. TUTAOGOPANA MPAKA LINI. nakupongeza uliyesema tufros account
ReplyDeleteKamateni wote basi, hata waliosaini mkataba wa IPTL ambao unatuzidia machungu ya maisha mpaka leo na utaendelea kuvi-affect hata vizazi vyetu vingi vijavyo siku za mbeleni..
ReplyDeleteMungeanza kumkamata aliyesaini mkataba wa umeme wa IPTL kwanza kabla ya kumfukuzia Vithlani... Tunadanganyana tu hapa.
Halafu tunakua hatuna aibu kusema tutaleta "Maisha Bora kwa Wote". Kama kweli tuko serious basi tungeyaboresha wakati ulee kabla ya kushika kalamu ya kusaini mkataba wa IPTL.
Kwa kweli hii inji IMEOZA.....yaani hilo CHANGA LA MACHO analengeshewa nani.....ndio hatukatai kwamba sisi ni WADANGANYIKA ila kwa hili TUMESHTUKA.....Yaani mumchukue ponjoro, mmeshamlipa pesa zake kwa kukubali kuchafuliwa jina lake, mmemsafirisha kwenda kumficha.....halafu sasa (huku mmeziba pua)...."ANATAFUTWA NA POLISI".....wanga wakubwa nyie!!!
ReplyDeleteACHENI HIZO NYINYI.MMESHAMPA KAPESA
ReplyDeleteKAKE SASA ANAKULA MAISHA YAKE HAPA
(JINA KAPUNI) ETI MNAONGEA KWA SAUTI
NYEMBAMBA ''ANATAFUTWA NA POLISI''
YANI HIVI MNADHANI WATU HAWANA AKILI EEE.KWENDENI HUKO.MSHINDWE
NA MLEGEE WACHAWI WAKUBWA.MBONA
HAMJAMKAMATA BWM? YAONE VILE